Kauli tata Mei Mosi 2019

Kauli tata Mei Mosi 2019

Kuna kitu sijasikia watu wakikijadili sana ambacho Rais alikisema jana, ambacho hata mimi mwenyewe sijakielewa. Kuhusu fao la kujitoa. Alisema, Serikali imeamua (kwa kuwathamini wafanyakazi wa Tanzania) kukiacha kikokotoo cha zamani (Ambacho kwa maelezo ya Rais hakitumiki popote duniani) kiendelee kutumika. Kwa kufanya hivyo, Serikali imeamua kuchukua mzigo mkubwa ili kuwasaidia wafanyakazi wa Tanzania. I was totally confused. Mimi ni mfanyakazi. Nachangia kila mwezi kwa miaka zaidi ya 40 kabla ya kustaafu. Ninapopewa mkupuo wa asilimia 50 ya mafao yangu ya uzeeni kuna mtu au chombo kingine kimenifanyia hisani au huruma hapo? Hebu wahenga tusaidianeni hapa.
Wana wanasema ukisikia changa la macho ndio hili
 
Tuone mwenendo wa chaguzi kuu nchini halaf tuone uwezekano wa CCM kuendelea kuongoza nchi. Naanzia kwa JK, awamu ya kwanza alipata 81%. Awamu ya pili alipata 68%.
Kama baba Jesca aliingia kwa 58%, kwa ambayo ni pungufu zaidi ya handsome wa taifa na anayetajwa kuwa aliwajali wafanyakazi. Kumbuka hapa na kura za wizi ziko humohumo. Safari hii atapata 48%. Kazi itakuwa imekwisha.
CHADEMA popote mlipo mrejesheni W. S aje achukue fomu. TL amekwisha poteza dira na FM atawaliza, msimwamini kabisa FM.
TANZANIA BILA MAGUFULI INAWEZEKANA.

Ila hapo kwa WS umefika mbali sasa!!bwana Yule si anaongozwa na tumbo pia???

Tundulissu is our president ila sijui mwaka gan!!!!!!
 
Mh ni jasiri muongoza njia ambaye pia ni kauzu sana.Kwa hii njia anayotupitisha tutaona matunda yake mbeleni tusimkwamishe.kuhusu uchaguzi ujao naona kama hakutokuwa na uchaguzi kwa vile upinzani ushapotezwa na hauna agenda yenye mshiko.Nina maanisha hata wakilibeba hili wananchi wana matumaini na mwenye nchi.
 
Mh ni jasiri muongoza njia ambaye pia ni kauzu sana.Kwa hii njia anayotupitisha tutaona matunda yake mbeleni tusimkwamishe.kuhusu uchaguzi ujao naona kama hakutokuwa na uchaguzi kwa vile upinzani ushapotezwa na hauna agenda yenye mshiko.Nina maanisha hata wakilibeba hili wananchi wana matumaini na mwenye nchi.
tusimkwamishe.kuhusu uchaguzi ujao naona kama hakutokuwa na uchaguzi kwa vile upinzani ushapotezwa na hauna agenda yenye mshiko.Nina maanisha hata wakilibeba hili wananchi wana matumaini na mwenye nchi. KUNA VITU HUVIJUI BADO
 
Back
Top Bottom