Kauli tata Mei Mosi 2019

Kauli tata Mei Mosi 2019

Asante, but si walimu tu. Huu ni msiba wa taifa. Utasema mwanao anasoma private na mtoto wa rafiki yako, shangazi yako, mjombako na majority ya watz wanasoma wap?
Huko hospitali kuko salama? Kuna watu wengine wanauawa na manesi pasipokujijua. Iko siri watu wanaharibika viungo kwa kuchomwa sindano vibaya au dawa isiyosahihi. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa baadhi ya matukio hayo ni hasira za waganga kutendewa vibaya. Madaktari wamekuwa wakitufanyisha biashara. Anakuandikia dawa kanunue duka fulani kumbe dawa zipo lakini anatafuta 10%.
Walimu wengi wako vijijini na ndo benki za wakulima pia. Low purchasing power iliyoko vijijini sasahivi inawafanya wakulima kuishi maisha magum zaidi. Wanauza mazao yao kwa bei ya kutupwa. Debe la mahindi sh 2000 na hakuna mteja?
Wazazi wanashindwa kupeleka watoto hata shule za kata.
Huwezi amini hizo hela za elimu bure anazosema kapeleka shuleni anazichukua na kuzitumia mwenyewe. Mfano, umitashumta kuanzia wilaya hadi taifa inategemea michango toka shuleni.
Eti walimu wanasikitika, soon tutagundua nini kinaendelea. Mradi wa umeme ni bomu linasubiri kulipuka. MANENO HAYA HAYAWEZI KUELEWEKA HADI HAPO LITAKAPOTOKEA.
Chukua kadi ya ccm mkuu otherwise utapata pressure bure-Serikali hii kipaumbele chake ni ccm na sisi wanaccm tunaishi Tanzania ya pekee yetu-Ukimuona mwanaccm anao tatizo lolote na serikali hii basi jua huyo ni mchawi
 
niko field ndo maana naumia sana. Nasimamia taasisi ya elimu hapa kijijini.
Chukua kadi ya ccm mkuu otherwise utapata pressure bure-Serikali hii kipaumbele chake ni ccm na sisi wanaccm tunaishi Tanzania ya pekee yetu-Ukimuona mwanaccm anao tatizo lolote na serikali hii basi jua huyo ni mchawi
 
Hao wote hawawezi kuwepo na kuzalisha bila elimu. Simaanishi wasiajiriwa la hasha. Lakini tatizo la walimu nchini ni kubwa kuliko tunavyoliona na kwa bahati mbaya athari zake huonekana baada ya kitambo sana. Kuna shule zina walimu wawili, watatu au wanne tu toka awali hadi la saba na hali inakuwa hivyo kwa zaidi ya miaka saba. Ina maana watoto hao wanapohitimu wanakuwa hawajfikia kiwangu cha elimu stahiki yaani la saba, ingawa wako shuleni kwa miaka saba. Wanapokwenda sekondari kupitia mitihani magumashi hawawezi kuhimili elimu ya sekondari kwa kuwa msingi wao ni mbovu. Wakifika kidato cha nne ndo darasa zima dv3 wawili na dv4 10 the rest ni zero. Nini kitatokea hapa kama si kuiua jamii hii? Utapata hao marubani, waongoza watalii, manesi watatoka wap?
Jambo baya zaidi ni kuwa watoto wao wanasoma nje na kutuacha sisi maskini katika shule zisizo na walimu.
Wewe kinachokuuma hapa ni nini? Elimu ni bure na kama hujui maana ya bure basi tafuta kamusi ya kiswahili usome,usitusumbue sisi hapa
 
Hizo picha hilo ndilo kundi linalotumiaka sana na wanasiasa na kutipwa kama kondomu iliyotumika. Lakini ni kundi vumilivu na ambalo halina ubishi lipo tayari kutumika wakati wowote. Limekuwa kama mpira wa kona
 
Ualimu ni wito si mshahara mzuri-mateacher pigeni kazi-Hapa kazi tu
 
Mkuu kaeleweka vZur Sana!mpaka atakapokuwa anakarbia kutoka madarakan,ko ni mwaka 2024!

sijui kajuaje kuwa uchaguz ujao atashinda!!siasa za bongo bwana!!!!
Yeye hategemei sanduku LA kura, ana mbinu mbadala. Kilangila.
 
Mshana Jr naomba nisaidie takwimu nchi nzima kuna wafanyakazi wangapi?
 
Hao wote hawawezi kuwepo na kuzalisha bila elimu. Simaanishi wasiajiriwa la hasha. Lakini tatizo la walimu nchini ni kubwa kuliko tunavyoliona na kwa bahati mbaya athari zake huonekana baada ya kitambo sana. Kuna shule zina walimu wawili, watatu au wanne tu toka awali hadi la saba na hali inakuwa hivyo kwa zaidi ya miaka saba. Ina maana watoto hao wanapohitimu wanakuwa hawajfikia kiwangu cha elimu stahiki yaani la saba, ingawa wako shuleni kwa miaka saba. Wanapokwenda sekondari kupitia mitihani magumashi hawawezi kuhimili elimu ya sekondari kwa kuwa msingi wao ni mbovu. Wakifika kidato cha nne ndo darasa zima dv3 wawili na dv4 10 the rest ni zero. Nini kitatokea hapa kama si kuiua jamii hii? Utapata hao marubani, waongoza watalii, manesi watatoka wap?
Jambo baya zaidi ni kuwa watoto wao wanasoma nje na kutuacha sisi maskini katika shule zisizo na walimu.
Acha ubinafsi kwanza ndio akili itaweza kufikiri kwa kiwango chake..hatuzaliwi kufikiri hivyo unavyowaza, angalia mbali zaidi ya hapo..
 
Wewe ndio umesema nini hapa sasa. Kwenye nadharia za uongozi duniani kuna viongozi wa makundi makuu mawili. La kwanza ni wale ambao mkazo wao mkubwa na kipaumbele ni maendeleo ya vitu kwanza. Kundi la pili ni la viongozi ambao wao kipaumbele na mkazo mkubwa ni maendeleo na ustawi wa watu kwanza. Kwa hiyo sisi tumepata kiongozi wa kundi la kwanza. Ndio basi tena tutafanya nini. Tulikosea 25/10/2015, tuangalie tulipojikwaa na siyo tulipoangukia
Huelewi hata unachoandika, unapepesuka tu, sasa hivi umerukia sijui nadharia za makundi ya viongozi..hakuna kipaumbele bila kwanza uwezo na kujua matokeo ya vipaumbele.
 
Kuna kitu sijasikia watu wakikijadili sana ambacho Rais alikisema jana, ambacho hata mimi mwenyewe sijakielewa. Kuhusu fao la kujitoa. Alisema, Serikali imeamua (kwa kuwathamini wafanyakazi wa Tanzania) kukiacha kikokotoo cha zamani (Ambacho kwa maelezo ya Rais hakitumiki popote duniani) kiendelee kutumika. Kwa kufanya hivyo, Serikali imeamua kuchukua mzigo mkubwa ili kuwasaidia wafanyakazi wa Tanzania. I was totally confused. Mimi ni mfanyakazi. Nachangia kila mwezi kwa miaka zaidi ya 40 kabla ya kustaafu. Ninapopewa mkupuo wa asilimia 50 ya mafao yangu ya uzeeni kuna mtu au chombo kingine kimenifanyia hisani au huruma hapo? Hebu wahenga tusaidianeni hapa.
 
Back
Top Bottom