Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
kauli mbiu hii 🔨Kale unapopelekaga mboga!
kauli mbiu hii 🔨Kale unapopelekaga mboga!
Toa majani kwanza ng'ombe ashibeKama unaweza kunipa maziwa, njoo ule majani
Vijana wa jamiiforum hawawezi jua,Una akili sana 👊
Huu ni ukweli unaopindishwaHuo utapeli
Ukweli mchungu huu kwa wanaume wanaotaka vizuri kwa kitongaVijana wa jamiiforum hawawezi jua,
Ng'ombe anayelishwa na kutunzwa ni fahari kumtazama huwa anavutia, lakini hutoa maziwa halisi ,matamu na yenye virutubisho.
Acheni kukwepa majukumu.
Mwanaume kaumbiwa majukumu ni vile tu hali ni ngumuUkweli mchungu huu kwa wanaume wanaotaka vizuri kwa kitonga
Kale unapopelekaga mboga!
hahahaaa 🤓Ukweli mchungu huu kwa wanaume wanaotaka vizuri kwa kitonga
Yes maisha magumu ndio sababu wanaume kulalamika sanaMwanaume kaumbiwa majukumu ni vile tu hali ni ngumu
Huo ni utapeliToa majani kwanza ng'ombe ashibe
Ungana na akina Mbaga hujachelewaHuo ni utapeli
Kibua, samaki, mrenda..mboga unamaanisha nn
Oh 😂 i love mrendaKibua, samaki, mrenda..
Akakombe mboga?Sio apeleke mboga, ndo akale 😏
Njoo kupikie😌Oh 😂 i love mrenda
Wow,mim ni nani nikatae🙂Njoo kupikie😌
Nakusubiri😎Wow,mim ni nani nikatae🙂
mmekuja hadi na kauli mbiu''Ng'ombe asiyekupatia maziwa, usimpe majani''
Kazi kwenu mabaharia.