Kauli kama hizi za CHADEMA zinapotosha watanzania na historia ya nchi kwa ujumla

Waziri aliyopo madarakani anatokana na chama tawala CCM na mara nyingi utakuta anatokana na chama hicho, wanapozungumza wakiwa bungeni huwa wanateteana sana mfa mbunge wa upinzani akiuliza swali Spika hata kama alikuwa na furaha sura ile inabadilika kabisa swali ni kwamba hivi hawa wako kulinda chama au wananchi!...nisaidieni,tufanyaje...
 
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana mamlaka kabisa ya kupinga ufisadi,hata pale ccm walipotangaza kupambana na ufisadi wao walibeza hatua hiyo,sasa tuwaeleweje?? wengine wasishiriki katika kupinga ufisadi?
kwanini historia ya nchi inapotoshwa?? kujinadi kwa CDM kwamba wao ndio walioanzisha hoja za ufisadi na kutamka hadharani majina hadharani ni kukana au kudharau juhudi za mwl NYERERE ambaye alipinga ufisadi kwa vitendo na ninaweza kusema ndio muasisi wa vita vya ufisadi hapa nchini kwahiyo hakuna anaeweza kujitapa zaidi yake,Nyerere alipinga matendo yote ya kifisadi bila kuogopa mtu,ndugu zangu cdm ufisadi si tuu kudokoa mali za umma na hata kujilimbikizia mali,angalia miradi na mabiashara makubwa yanayomilikwa na viongozi wenu,angalia mavazi wanayovaa,angalia maisha yao kiujumla,watoto wao wanakosoma,nini tofauti iliyoko kati yao na maisha ya kifisadi? wengi wao tunajua maisha yao yalikuwaje kabla hawajawa wanasiasa,lakini sasa ni kula starehe na kuwajaza wananchi hofu kuwa nchi yao inaliwa wakati na wao wamo kwenye kula hiyo national cake(ref to 90 million) wala hawakuzikataa!hii inanikumbusha novel moja inaitwa"beautyfull ones are not yet born" kuna ndege anaitwa chichidodo,huyu ndege alikuwa hapendi kinyesi lakini alikuwa anakula wale wadudu wanaotoka/ishi katika kile kinyesi. Cha msingi CDM waache unafiki kama wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko,basi yaanzie kwao kwanza,KAMA KWELI WANAPINGA UFISADI BASI MAISHA YAO YADHIHIRISHE HIVYO

Umeandika utitiri lakini sijaona cha maana. Bila Chadema suala la 'gamba' tusingediriki hata kusikia.
 
umelewa pombe za kienyeji manake mtu mwenye akili timam hawezi kuthubutu kuandika ulichoandika wewe kalale kwanza pombe ziishe
 
Nimelazimika kuachangia chochote kwenye hii thread baada ya kutambua imeletwa kwetu na Kashaga. Umekuja na thread zisizokuwa na ukweli wala mashiko kama kawaida yako. Cdm haijawahi kumzuia mtu kupambana na ufisadi ila inapingana na usanii wa ccm katika haya mapambano.. Haiingii akilini kumpa fisadi miezi mitatu eti ajipime halafu aamue.wenyewe halafu unasema unapambana na ufisadi!
Bado nakushauri Kashaga, uongo uliotuandikia kuhusu karatu utaendelea kukutafuna hadi lini. Ni afadhali ukatuletea thread ya kutubu hiyo dhambi, ututake radhi na kukiri kosa.. Hilo litakusaidia kurudi duniani na kutoka huko kuzimu ulipo! Ni ushauri tu.
 
chadema siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana mamlaka kabisa ya kupinga ufisadi,hata pale ccm walipotangaza kupambana na ufisadi wao walibeza hatua hiyo,sasa tuwaeleweje?? Wengine wasishiriki katika kupinga ufisadi?
Kwanini historia ya nchi inapotoshwa?? Kujinadi kwa cdm kwamba wao ndio walioanzisha hoja za ufisadi na kutamka hadharani majina hadharani ni kukana au kudharau juhudi za mwl nyerere ambaye alipinga ufisadi kwa vitendo na ninaweza kusema ndio muasisi wa vita vya ufisadi hapa nchini kwahiyo hakuna anaeweza kujitapa zaidi yake,nyerere alipinga matendo yote ya kifisadi bila kuogopa mtu,ndugu zangu cdm ufisadi si tuu kudokoa mali za umma na hata kujilimbikizia mali,angalia miradi na mabiashara makubwa yanayomilikwa na viongozi wenu,angalia mavazi wanayovaa,angalia maisha yao kiujumla,watoto wao wanakosoma,nini tofauti iliyoko kati yao na maisha ya kifisadi? Wengi wao tunajua maisha yao yalikuwaje kabla hawajawa wanasiasa,lakini sasa ni kula starehe na kuwajaza wananchi hofu kuwa nchi yao inaliwa wakati na wao wamo kwenye kula hiyo national cake(ref to 90 million) wala hawakuzikataa!hii inanikumbusha novel moja inaitwa"beautyfull ones are not yet born" kuna ndege anaitwa chichidodo,huyu ndege alikuwa hapendi kinyesi lakini alikuwa anakula wale wadudu wanaotoka/ishi katika kile kinyesi. Cha msingi cdm waache unafiki kama wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko,basi yaanzie kwao kwanza,kama kweli wanapinga ufisadi basi maisha yao yadhihirishe hivyo
watetezi wa ccm naona leo mmeingia kwa miguu yote.
 
Usipotoshe umma eti CDM wanajidai kuwa wao pekee ndio wanaopambana na mafisadi. Kuna wadu wengi wanapambana na mafisadi(siyo CCM) mfano Kituo cha kutetea Haki za Binadamu Tanzania. CCM ndio wanaojidai kupambana na mafisadi kwa kuwapa siku 90 wanachama wake wanaotuhumiwa na kwa ufisdadi bila kuwataja majina. Kama kweli Jakaya na CCM wanapambana na mafisadi inawapasa wawataje wahusika bila aibu. Sasa wakisema wanawapa siku 90 bila kutaja majina wahusika watajuaje kuwa wanatuhumiwa? Kinachofanywa na CCM ni danganya toto tu!
 
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana mamlaka kabisa ya kupinga ufisadi,hata pale ccm walipotangaza kupambana na ufisadi wao walibeza hatua hiyo,sasa tuwaeleweje?? wengine wasishiriki katika kupinga ufisadi?
kwanini historia ya nchi inapotoshwa?? kujinadi kwa CDM kwamba wao ndio walioanzisha hoja za ufisadi na kutamka hadharani majina hadharani ni kukana au kudharau juhudi za mwl NYERERE ambaye alipinga ufisadi kwa vitendo na ninaweza kusema ndio muasisi wa vita vya ufisadi hapa nchini kwahiyo hakuna anaeweza kujitapa zaidi yake,Nyerere alipinga matendo yote ya kifisadi bila kuogopa mtu,ndugu zangu cdm ufisadi si tuu kudokoa mali za umma na hata kujilimbikizia mali,angalia miradi na mabiashara makubwa yanayomilikwa na viongozi wenu,angalia mavazi wanayovaa,angalia maisha yao kiujumla,watoto wao wanakosoma,nini tofauti iliyoko kati yao na maisha ya kifisadi? wengi wao tunajua maisha yao yalikuwaje kabla hawajawa wanasiasa,lakini sasa ni kula starehe na kuwajaza wananchi hofu kuwa nchi yao inaliwa wakati na wao wamo kwenye kula hiyo national cake(ref to 90 million) wala hawakuzikataa!hii inanikumbusha novel moja inaitwa"beautyfull ones are not yet born" kuna ndege anaitwa chichidodo,huyu ndege alikuwa hapendi kinyesi lakini alikuwa anakula wale wadudu wanaotoka/ishi katika kile kinyesi. Cha msingi CDM waache unafiki kama wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko,basi yaanzie kwao kwanza,KAMA KWELI WANAPINGA UFISADI BASI MAISHA YAO YADHIHIRISHE HIVYO

kashaga tangu ulete post zako zote sijawahi kuona hata moja yenye kuandikwa kistadi,unadai kumili biashara kubwa ndo ufisadi? Au uelewi maana ya ufisadi?mtu anaweza kuwa tajiri lakini akabaki msafi,si majambazi wa ccm! Pia usimhusishe mwl na hawa maghaidi wa uchumi,mwl alituambia JK ubongo wake ni mdogo mno na LOWASA ni mchafu fisadi!lakini baada ya yeye kutoka usukani,RA,MANGULA,EL wote ndo wakashika nchi,JK alisema kuwa ccm ni safi na imara(2010),ktk kampeni kasema 'rowasa safiii...' kaenda kwa chenge ivo ivo kwa lostiamu na anawashika mikono! Pia mke wake kakazia ktk Uwt,na ajabu mtoto wa kike wa kiislama anashikana mikono na waume za watu ktk hadhara na kuinua mikono juu! Kaja makinda/spika kasema mwaka jana kuwa tanzania Hamna ufisadi na ufisadi yeye ajuavyo si mali bali ni ufuska,je mbona mnaanza kutimuana ccm? Katiba yenyewe haipo kwenye ilani yenu ya ccm na leo mmekubali matakwa cdm,nyie mlihadi OIC kumbe munawadanya wenye uelewa mdogo,2010 mmeifuta rasmi! Eti historia ya nchi inapotoshwa ivi ni makala ipi ya cdm au hata jf imekaa na kueleza historia ya nchi,tofauti na ile inayohusu ukombozi wa zanzibar na john okello,ni wapi wameongelea historia ya nchi? Au kwako historia ya nchi ni kuhusu ufisadi? Unaongelea milioni 90 kuwa cdm wasingechukua,huu ni upunguani,kwani ccm walikataa?au ccm ndo wenye haki ya kula ela iyo,wakila cdm tayari wamekuwa fisadi. Je iyo ela haikuidhinisha kisheria? Au kila ela kubwa ni ufisadi regardless kuwa legal au illegal?? Na je hawatalipa wamepewa bure toka hazina kama ccm yetu ilivobeba kodi yetu bil.1.5 kwa ajili ya mabango na ma tsheti ambayo mpaka leo ni matambala ya deki na vazi rasmi la wafagia barabara na waokota chupa pamoja na wazoa taka wa manispaa za majiji? We kama una hoja ya msingi ilete,na hatutakubali mwenyekiti wenu hawafukuze rostamu na chenge wakati yeye ndo fisadi nambari moja!
 
Sasa si bora kuishi maisha halisi tujue nyie ni mabepari, kuliko ya kijamaa feki ndani ya ccm
 
kiukweli mimi sijamuelewa kushaga kimantiki anataka kutujuza nini? Historia inaharibiwa vp na CDM? Duuh yaelekea jukwaa hili limeanza kuwa gumu kwangu
 
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana mamlaka kabisa ya kupinga ufisadi,hata pale ccm walipotangaza kupambana na ufisadi wao walibeza hatua hiyo,sasa tuwaeleweje?? wengine wasishiriki katika kupinga ufisadi?
kwanini historia ya nchi inapotoshwa?? kujinadi kwa CDM kwamba wao ndio walioanzisha hoja za ufisadi na kutamka hadharani majina hadharani ni kukana au kudharau juhudi za mwl NYERERE ambaye alipinga ufisadi kwa vitendo na ninaweza kusema ndio muasisi wa vita vya ufisadi hapa nchini kwahiyo hakuna anaeweza kujitapa zaidi yake,Nyerere alipinga matendo yote ya kifisadi bila kuogopa mtu,ndugu zangu cdm ufisadi si tuu kudokoa mali za umma na hata kujilimbikizia mali,angalia miradi na mabiashara makubwa yanayomilikwa na viongozi wenu,angalia mavazi wanayovaa,angalia maisha yao kiujumla,watoto wao wanakosoma,nini tofauti iliyoko kati yao na maisha ya kifisadi? wengi wao tunajua maisha yao yalikuwaje kabla hawajawa wanasiasa,lakini sasa ni kula starehe na kuwajaza wananchi hofu kuwa nchi yao inaliwa wakati na wao wamo kwenye kula hiyo national cake(ref to 90 million) wala hawakuzikataa!hii inanikumbusha novel moja inaitwa"beautyfull ones are not yet born" kuna ndege anaitwa chichidodo,huyu ndege alikuwa hapendi kinyesi lakini alikuwa anakula wale wadudu wanaotoka/ishi katika kile kinyesi. Cha msingi CDM waache unafiki kama wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko,basi yaanzie kwao kwanza,KAMA KWELI WANAPINGA UFISADI BASI MAISHA YAO YADHIHIRISHE HIVYO

Kashaga aka MS siku zako zinahesabika tumeanza na wafadhili wako sasa utafuata wewe, acha kuwatetea mafisadi.
 
Wewe huelewi maana ya upinzani. uko mgando kwanye chama kimoja. CDM wanataka kwenda ikulu. Sasa kila kosa la ccm watalitumia, hata ukilia. Hivyo ccm wanatakiwa kudaka tuhuma kuzichunguza na kuzifanyia kazi. Soma mambo ya siasa katika nchi mbalimbali uone.:redfaces:
 
Unataka kutuabia kuwa kuwa CHDEMA hawana haki ya kupambana na mafiasad kwa kuwa Mwl NYERERE did da same???????????....... :teeth:
 
Kuna kazi ya mwanakijiji inasema SIO JUKUMU LA CHADEMA kuimarisha watawala.jaribu kuisoma itakusaidia.
 
Ni rahisi, CDM wamepambana kwa kutaja orodha ya mafisadi.
Ebu tuonyeshe jinsi vyama vingine na taasisi zilivyofanya katika kupambana na huo ufisadi unaopigania wewe.
Haitoshi tu kushutumu CDM, tupe uhalisia wa mapambano hayo toka vyanzo vingine tutakuunga mkono.
 
Mkubwa kashaga,unapotumia mrejeo kwa serikali ya Mwl.Nyerere na serikali yetu ya sasa kulazimisha zifanane kwenye kupambana na rushwa roho yangu imeshtuka,Nyerere alikuwa mara nyingi anajua na anamaanisha alichokisema na hakuwekwa madarakani kutumika kama viongozi wetu wa sasa ambao wanawekwa madarakani na kundi la watu wachache kwa tegemeo la kugawana uchumi wa nchi,hilo ndugu yangu halikuumi wala halikuhusu-hongera.Nyerere alikuwa na uwezo wa kukemea hadharani na kuchukuliwa hatua kali kwa wahuska,je, leo si tunashudia mafisi-ahadi ndo wanapigiwa/kuombewa kura majimboni na huyo rafki yetu unayesema anapigana na ufisadi? Muulize Babako kipindi cha uhujumu uchumi nini kilikuwa kinatokea.Kiongozi mwenye dhamiri ya kweli hawashirikishi mafisadi kumshauri jinsi ya kupambana na ufisadi,kiongozi jasiri na mwenyekutumikia watu na taifa lake hawezi akatoa msamaha kwa wakwapuaji wa uchumi wa wananchi.Lakini tujue kwamba mama,bibi,babu,na ndugu zetu wa hali ya chini ndiyo wahanga wa matokeo ya ufisadi.Kiongozi yeyote anayewekwa madarakani na kundi la watu lazima akubali kutumika kama itumiwavyo kondomu na mara tu baada ya wahusika kujinafasi yenyewe hujikuta ikiishia kwenye dust bin.
 
sidhani kama nizambi kuishi maisha yakifahali malinyingi tunacho jaji jee? Hizomali umezipatakwanjia halali kamaviongoziwa cdm wanbiashala zao halali wanalipa kodi kunaubayagani? ningekuona unaona mbali kamaungetowa vielelezo vyaupatikanaji wamali zao ili tuwajadili mafisadi wanao anikwa kusemwa kirasiku wanatajwa fulani kaiba mf kagoda epa dowans mikataba madini rada nk jee? Cdm wapi wanaiba? nikukumbushe huwezi ukawa upo jararani ujiite musafi niunafiki ccm ndowanashikilia silikali ufisadi wote unawofanyika silikalini wao ndowakuwajibika kuiwajibisha silikali hawasubutu kufanyahayo kwasababu waondowanao husika mimi niwwanachama hai wa ccm ninachowasihi siasa nimaisha halisia ya watu cdm wanachopigania nihaki yakiramutanzania rafikiyangu inawezekana hujuwi maana ya ccm viongozi tulionao kwasasa kujiita wana ccm nizambi hawana hizosifa kuitwa wana ccm wamejaa ubinafis wameishiwa utuu wapo tayali kuuza utu wamutu iliwapate mali nahiyo simaadili ya ccm tulio wengi tunapotea kwaushabiki hatutafuti ukweli
kumbe na burundi wapo wana ccm,mana kwa lafidh yakiswahili chako utakua umetoka jana buyenzi au makamba,au bujumbura.
 
Umesema kweli, watoe kwanza boriti, ndipo wataona kibanzi kwa wenzao. Hivi hao malaika wa chadema ni kina nani??? Nao ni wizi mtupu, wachumia tumbo watupu, usanii wenu tumeisha ushtukia
 
Back
Top Bottom