Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

Lete credible source ya habari kwamba Trump alisema hivyo kuhusu viongozi wa Afrika. Usiquote tu uzushi huu. Hakusema hayo mambo.
Nilimsikia kwa masikio yangu, akimjibu mwandishi wa habari wa kiafrika alipo ulizwa swali kuhusu Zimbabwe.
 
Hebu tuambie ukweli gani huo aliousema ambao wewe unauafiki? Tuorodheshee japo kwa kifupi tu. Tafadhali usilete habari za kutoka magazeti ya tashtiti (satirical magazines) yanayodai Trump kasema hili au lile kuhusu Afrika au viongozi wa Afrika. Kwa sababu hayo mambo hakuyasema. Sasa sema yale ambayo utatuambia kabisa na source zake ili tupime kwamba ni kweli.
Lete credible source ya habari kwamba Trump alisema hivyo kuhusu viongozi wa Afrika. Usiquote tu uzushi huu. Hakusema hayo mambo.

We vipi? Eti tuna qoute uzushi!! Unafikiri kila mtu ni mbumbumbu hajui anacho sema.
 
Ni hizo talk show zilizomuweka Obama madarakani kwa vipindi viwili.
Inakuwaje anataka kufunga dirisha aliloingilia!
 
😱 I am going to shoot someone with my arrow if they keep on praising the idiot without even listening to his moronic speeches or verifying the things attributed to him. The guy is spewing garbage, hate and buffoonery. And people swallow the nonsense uncritically. I am setting my arrow ready.
 
Haijalishi Trump anasema nini au anafanya nini bali wapiga kura wa Marekani wanataka nini, na mpaka sasa hivi kura za maoni zote zinaonyesha kwamba Trump ndiye anayetakiwa na Wamarekani hivyo kwa Raisi nchi kusema kwamba hawezi KAMWE kuwa Raisi wa Marekani wakati ndiye anayeongoza kwa kupendwa na watu hilo kwangu linaacha maswali mengi klk majibu kuhusu hii inayoitwa demokrasia ya Marekani!
pasco alishasemaga kuna voting na vetting, pia njoseph stallin aliwahi sema hv;
thosse who cast votes decide nothing but those who count the votes decide everything" achana na blah blah cjui marekani kuna demokrasi, rejea mambo ya george bush mtoto na aligore ile 2004 then ndio uje hapa, yaani kwa ufupi kama yahudi hakutaki you will never ever get into the white house
 
😱 I am going to shoot someone with my arrow if they keep on praising the idiot without even listening to his moronic speeches or verifying the things attributed to him. The guy is spewing garbage, hate and buffoonery. And people swallow the nonsense uncritically. I am setting my arrow ready.
You have a partner in me! Do it.
 
trump triumphant ...like his name keep going ...go go...trump...
 
Back
Top Bottom