Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,056
23,506
Republican Donald Trump will not be president because it's a "serious job", President Barack Obama has said. "I continue to believe that Mr Trump will not be president. And the reason is because I have a lot of faith in the American people,"said Mr Obama.

Mr Trump, a billionaire businessman, is the frontrunner in the race to be his party's choice for the White House. He has won one state primary already, and leads the polls in South Carolina, where Republicans vote on Saturday.

Speaking at the Asean economic summit in California, the president was asked by a reporter about Mr Trump. The electorate will not pick him, said Mr Obama, because "they recognise that being president is a serious job".

"It's not hosting a talk show or a reality show, it's not promotion, it's not marketing, it's hard. It's not a matter of pandering and doing whatever will get you in the news on a given day."

Mr Trump responded by saying it was a compliment to be criticised by a president who had done so much damage to the country. The New York hotel developer's antipathy to Mr Obama goes back a number of years - he used to
demand that the president produce proof that he was born in the US.

And his election campaign has continuously made headlines, for controversial remarks and policies. Mr Trump said he would deport 11 million undocumented immigrants, build a wall on the southern border paid for by Mexico and that Muslims should be stopped from entering the US.

_88306036_hi030522855.jpg
 
mfano wako wa kusema kk angesema lowassa ni fisadi.kwani obama amemuita trump fisadi?kumbuka marekani kuna freedom of speech.go back to school.


swissme
 
HAHAHAHA DONALD ANATAKA WAAFRICA TUTAWALIWE TENA KWA KUWA HATUWEZI KUJISIMAMIA MEANS AKIWA RAISI WA MAREKANI HEE WAAFRIKA TUNAOPENDA KUTEMBEZA BAKULI LA NJAA TUNATAWALIWA BILA KUFURUKUTA KHAAAAA HAFAI
 
Mkuu mtu kama Trump anayetukana kulia na kushoto, ana kiburi, tajiri wa kupindukia, hivi umemsikia akitetea wanyonge?
Hata Marekani wanyonge ni wengi sana kuliko unavyodhani.
Kwa misingi hiyo Trump is a security threat!


Haijalishi Trump anasema nini au anafanya nini bali wapiga kura wa Marekani wanataka nini, na mpaka sasa hivi kura za maoni zote zinaonyesha kwamba Trump ndiye anayetakiwa na Wamarekani hivyo kwa Raisi nchi kusema kwamba hawezi KAMWE kuwa Raisi wa Marekani wakati ndiye anayeongoza kwa kupendwa na watu hilo kwangu linaacha maswali mengi klk majibu kuhusu hii inayoitwa demokrasia ya Marekani!
 
Mleta mada wakakupime Akili sio bure

Unafikiri Marekani ni kama huku,Mtoto wa Mzee.msoga akisema rais hatotoka kaskazini basi itakuwa hivyo hivyo

Obama kusema hivyo,hizo ni tambo za kisiasa tu.


Hahah kwa Mzungu kila Goti litapigwa!
 
Haijalishi Trump anasema nini au anafanya nini bali wapiga kura wa Marekani wanataka nini, na mpaka sasa hivi kura za maoni zote zinaonyesha kwamba Trump ndiye anayetakiwa na Wamarekani hivyo kwa Raisi nchi kusema kwamba hawezi KAMWE kuwa Raisi wa Marekani wakati ndiye anayeongoza kwa kupendwa na watu hilo kwangu linaacha maswali mengi klk majibu kuhusu hii inayoitwa demokrasia ya Marekani!
Kila nchi ina wakuu wa kaya, kama wamesema Trump hafai, basi hata afurukute vipi, hatapata urais.
Na Marekani ilivyo ovyo, Trump na utajiri wake anaweza kula Shaba kuizima ndoto yake.
Markani inaendeshwa na vikundi ambayo vimekula yamini kati yao.
Si unakumbuka John F. Kennedy, aliwakasirisha "wazee", wakamla Shaba.
Mdogo wake aliyekuwa Attorney General alipotaka kuchunguza ili akue mwisho wake naye alikula Shaba.
Marekani uisikie hivy hivyo!
 
Hivi mwanaume mzima umeona mfano wa kutoa ni huu "................. Fikiria tu hapa Tanzania wakati wa uchaguzi halafu Rais Kikwete angesema fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, hiyo ingepokelewaje? Kuna watu wangeenda mpaka ICC hapa!................."

Kwa akili zako hizi ndogo hivi waache wamarekani wafanye yao.
 
Back
Top Bottom