Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

Nimesoma hiyo habari sikuona sehemu imeandikwa "Trump will never be..... " Ila ipo sehemu Obama amenukuliwa akisema. "I think Trump will not be..." Kama unapost issue na unatoa reference kisha una potosha maana yake, tukueleweje?
 
Mkuu mtu kama Trump anayetukana kulia na kushoto, ana kiburi, tajiri wa kupindukia, hivi umemsikia akitetea wanyonge?
Hata Marekani wanyonge ni wengi sana kuliko unavyodhani.
Kwa misingi hiyo Trump is a security threat!
Ajabu hao unaowaita wanyonge ndio wanampigia kura lukuki
 
mfano wako wa kusema kk angesema lowassa ni fisadi.kwani obama amemuita trump fisadi?kumbuka marekani kuna freedom of speech.go back to school.

swissme
wewe ndo nadhani urudi shule kwakua katajwa lowassa povu limekutoka
 
Hao ndiyo walimu wa demokrasia Duniani, Rais Obama amerudia ule usemi wake kwamba Mgombea Uraisi Donald Trump kamwe hatokuwa Rais wa Marekani!

Sasa swali linakuja yeye nani mpaka awasemee Wamarekani na kwanini atumie neno never. Huu usemi wa Rais Obama unazidi kunidhihirishia kile ninachokiamini siku zote kwamba Rais huwa hachaguliwi na wananchi kama wengi wanavyodhania bali huteuliwa na mfumo wa nchi, hivyo Trump mfumo umeshamkataa na hakuna kitu atafanya na haijalishi watu wanampenda vipi.

Mfumo wa Marekani sasa hivi unataka Myahudi Sanders ndiyo awe Rais, kama kwa Obama mfumo uliamua ni wakati wa Mtu mweusi au anayeitwa mweusi kulingana na defination ya Wazungu kwani kwangu mimi Obama siyo mweusi kama mimi !

Kwa maana haingii akilini mgombea anayeongoza kwenye kura zote za maoni tena kwa tofauti mpaka wa zaidi ya asilimia 10% wakati mwingine halafu Rais wa nchi aseme kwamba hawezi KAMWE kuwa Rais, swali ni kwamba kwanini?

Najua kuna watu watakuja hapa na blah blah zao kama kawaida yao kuteteta Marekani na kuanza kutoa maana ya Obama alichomaanisha lkn ametumia neno NEVER kama Rais wa Marekani na wala siyo mstaafu bali Rais aliye madarakani!

Fikiria tu hapa Tanzania wakati wa uchaguzi halafu Rais Kikwete angesema fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, hiyo ingepokelewaje? Kuna watu wangeenda mpaka ICC hapa!

Poleni wapiga kura wa Dunia hii, mimi sijawahi kupiga na kamwe sitokuja kupiga kura labda kama mimi ndiyo nagombea, kwa maana mshindi hupangwa na maelite siku zote, na hii ni Dunia nzima!

Obama: 'Trump will not be president'

Mkuu hujamtendea haki Obama the way ulivyoreport. Ulipaswa kusema na mengineyo aliyosema kabla hajasema hilo. Naomba nimnukuu hapa kwa faida ya wengine "I believe Donald J Trump will not be the president, because I "have faith in the American people". Being president is a serious job:, its not hosting a talk show or a reality show" mwisho wa kunukuu. Kimantiki kuna tofauti kubwa sana kati ya ulichoreport na hiki alichosema Obama.
 
Hivi mwanaume mzima umeona mfano wa kutoa ni huu "................. Fikiria tu hapa Tanzania wakati wa uchaguzi halafu Rais Kikwete angesema fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, hiyo ingepokelewaje? Kuna watu wangeenda mpaka ICC hapa!................."

Kwa akili zako hizi ndogo hivi waache wamarekani wafanye yao.
Nyie vigeu geu kweli hata kinyonga haoni ndani kikwete angesema hivyo UKAWA wangekuwa ICC na hata kumwandikia papa Francis barua ya kumsemea Kikwete
 
Republican lazima ishike inji. Mlengo wa Obama mabwanyenye wengi hawautaki. Kwanza system ya Us ilitaka kujisafisha kwa kumuingiza Black President, lakini raia hawataki hata kidogo watu weusi.
 
kimtazamo Obama kapotoka kusema maneno hayo kwa utengamano wa demokrasia kwani yeye ni mkuu wa nchi kwa wakati huu hakupaswa kuwafundisha wamalekani njisi ya kumpata kiongozi wa nchi yao hali ya kuwa wakati yeye anagombea nafasi hiyo Bush hakuwahi kumkejeri kuwa haiwezekani yeye kushinda hata kama alionekana hatoshi kwa nafasi hiyo hakuna chuo kinafundisha majukumu ya Rais wa nchi aawache wamalekani waamue nani atakuwa Rais wao Go Trump Rudisha ukoloni afrika
 
Hao ndiyo walimu wa demokrasia Duniani, Rais Obama amerudia ule usemi wake kwamba Mgombea Uraisi Donald Trump kamwe hatokuwa Rais wa Marekani!

Sasa swali linakuja yeye nani mpaka awasemee Wamarekani na kwanini atumie neno never. Huu usemi wa Rais Obama unazidi kunidhihirishia kile ninachokiamini siku zote kwamba Rais huwa hachaguliwi na wananchi kama wengi wanavyodhania bali huteuliwa na mfumo wa nchi, hivyo Trump mfumo umeshamkataa na hakuna kitu atafanya na haijalishi watu wanampenda vipi.

Mfumo wa Marekani sasa hivi unataka Myahudi Sanders ndiyo awe Rais, kama kwa Obama mfumo uliamua ni wakati wa Mtu mweusi au anayeitwa mweusi kulingana na defination ya Wazungu kwani kwangu mimi Obama siyo mweusi kama mimi !

Kwa maana haingii akilini mgombea anayeongoza kwenye kura zote za maoni tena kwa tofauti mpaka wa zaidi ya asilimia 10% wakati mwingine halafu Rais wa nchi aseme kwamba hawezi KAMWE kuwa Rais, swali ni kwamba kwanini?

Najua kuna watu watakuja hapa na blah blah zao kama kawaida yao kuteteta Marekani na kuanza kutoa maana ya Obama alichomaanisha lkn ametumia neno NEVER kama Rais wa Marekani na wala siyo mstaafu bali Rais aliye madarakani!

Fikiria tu hapa Tanzania wakati wa uchaguzi halafu Rais Kikwete angesema fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, hiyo ingepokelewaje? Kuna watu wangeenda mpaka ICC hapa!

Poleni wapiga kura wa Dunia hii, mimi sijawahi kupiga na kamwe sitokuja kupiga kura labda kama mimi ndiyo nagombea, kwa maana mshindi hupangwa na maelite siku zote, na hii ni Dunia nzima!

Obama: 'Trump will not be president'

Ndugu, siasa ni sayansi. huusisha research na mipango mbali mbali.

ili hio system ya nchi ikukubari uwe raisi, lazima ufanye vizuri katika mipango yako, maana uraisi wa marekani na nchi zilizo endelea hauji kwa bahati au kupewa.

lazima uwashawishi noble people wa hio nchi kabla hujafika kwenye mchakato wa uchaguzi kwa wananchi, maana hawa watu muhimu katika nchi wanajua status ya nchi yao vizuri kuliko wananchi wa kawaida.

mpaka kufika kusimamishwa kuwa mgombea, yani wagombea wawili wa republican na democratic inamaana system imewakubari hao watu kila mmoja kwa asilimia zinazokaribiana, so huwaachi wananchi wawasikilize na kumchagua mmoja wao.

kwakifupi huwezi simamishwa kuwa candidate wa urais marekani bila system ya nchi yao kukukubari.

kwa swala la Obama na Donald Trump, possibly inaweza ikawa ni technique ya kumpa umaarufu na njia nzuri trump kuingia white house, KAMA wamerekani wengi wana mchukia obama kwa sasa, wanaweza amua kuonesha kuwa wao wanamtaka trump. Upande mwingine yaweza kuwa obama kweli hamtaki trump awe mrithi wake, atafanikiwa kama wamarekani wengi wanaendelea kumusikiliza na kumuamini Obama.

mimi nazani trump ananjiaa nzuri zaidi ya kwenda ikulu kama hata teleza mbeleni huko.

PIA KWA AFRIKA MASHARIKI, HUWEZI KUSHINDA URAISI KATIKA NCHI HIZI TANZANIA NA UGANDA, URAIS NI ZAWADI KWA WACHACHE WAMLANGO FURANI, HATA NCHI NZIMA MPIGE KULA YA KUMKATA, ATAKUWA RAISI TU, SUBIRI UONE UGANDA
 
Ajabu hao unaowaita wanyonge ndio wanampigia kura lukuki

Speaking at the Asean economic summit in California, the president was asked by a reporter about Mr Trump.

The electorate will not pick him, said Mr Obama, because "they recognise that being president is a serious job".

"It's not hosting a talk show or a reality show, it's not promotion, it's not marketing, it's hard. It's not a matter of pandering and doing whatever will get you in the news on a given day."

Source: BBC webpage
 
Obama amemaliza presidency yake aendeeee...àache mzee wa kazi Trump aingie apige kazi! Hawa viongozi mafisadi wa africa wanao ua wananchi wao kwa ajili ha madaraka washugulikiwe ipasavyo!
 
Trump is BOLD but in real life he is a libility
 
Hi
Haijalishi Trump anasema nini au anafanya nini bali wapiga kura wa Marekani wanataka nini, na mpaka sasa hivi kura za maoni zote zinaonyesha kwamba Trump ndiye anayetakiwa na Wamarekani hivyo kwa Raisi nchi kusema kwamba hawezi KAMWE kuwa Raisi wa Marekani wakati ndiye anayeongoza kwa kupendwa na watu hilo kwangu linaacha maswali mengi klk majibu kuhusu hii inayoitwa demokrasia ya Marekani!
Hilo neno NEVER umelisikia wapi?

Mbona huyo muandishi amemquote lakini sijalisikia?
 
Mkuu mtu kama Trump anayetukana kulia na kushoto, ana kiburi, tajiri wa kupindukia, hivi umemsikia akitetea wanyonge?
Hata Marekani wanyonge ni wengi sana kuliko unavyodhani.
Kwa misingi hiyo Trump is a security threat!
anajitambulisha yeye ni wa matajiri tu na maskini na weusi ni wajinga na waislaam ni magaidi. obama anajua wamarekani hawahitaji kabisa mtu kama trump kua rais wao
 
Republican lazima ishike inji. Mlengo wa Obama mabwanyenye wengi hawautaki. Kwanza system ya Us ilitaka kujisafisha kwa kumuingiza Black President, lakini raia hawataki hata kidogo watu weusi.
Ana haki ya kusema ni Democratic Na Trump ni Republican. Keshaona tishio la chama cha Republican kushika dola via Trump. Ni mambo ya upinzani angekuwa Republican anamshambulia mwenzie ingeshangaza.
 
Mkuu mtu kama Trump anayetukana kulia na kushoto, ana kiburi, tajiri wa kupindukia, hivi umemsikia akitetea wanyonge?
Hata Marekani wanyonge ni wengi sana kuliko unavyodhani.
Kwa misingi hiyo Trump is a security threat!

12717464_1659479327647031_3553923600051082350_n.jpg

na kweli nmekwenda kwa kwenye web jebbush.com inani direct kwa website ya trump
 
Back
Top Bottom