Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
Huwezi mchunguza binadamu ukammaliza mkuu; ni vizuri kama umeona nia yake njema. Ukaamua kuheshimu hisia zake kwako ..sasa kipindi cha friend zone siunakuwa unamtesa sana? Yaani yeye akae tu bila kupata papuchi ankuendekeza tu mpaka utakapoamua ww?? Na huku unaendelea wapa wengine yeye anavumia tuUache haraka, na usiwe na puta wala papara, friendzone ni nzuri maana unapata kumsoma mwanaume na kumfahamu haswa halafu ndo maamuzi yanafanyika, ukiwekwa friendzone maana upo kwenye kauchunguzi, mambo ya kukubali na kutoa game haraka haraka na kukubali haraka huwa yanaletaga mambo ya ajabu sana.
Asante mkuu; unajua sisi wengine tumeishia la pili c shule za kayumba.Heading yako isomeke hivi.
Let's be friends.[emoji119][emoji119].
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuuNakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Karibu sana mkuu.Asante mkuu; unajua sisi wengine tumeishia la pili c shule za kayumba.
Tupe uzoefu unasemaje mkuu
Thanks mkuu; hujatoa uzoefu wako unasemaje
Ndo ukweli; ila mwingine ndo hivyo kuwa rafiki na mtu anayempenda ni ngumu asije kumbaka burekiukweli mapenzi mazuri na ya uaminifu huanzia urafiki kwanza!
Ndo ukweli; ila mwingine ndo hivyo kuwa rafiki na mtu anayempenda ni ngumu asije kumbaka bure
Ok; karibu mkuu
Kweli ndo maana tunaona bora umwache na maisha yakeyah kweli mkuu,utakua unajiumiza moyo tu ukiwa unamwona!
Sio kila mwanamke anagusa moyo wako; wengine wanagusa mashine zetu tu inatosha; wanaogusa moyo ni wachache mkuuSasa na nyie mnabembelezaga nini... ukiona hataki si unaacha wanawake chungu nzima wote hawa.
Sio kila mwanamke anagusa moyo wako; wengine wanagusa mashine zetu tu inatosha; wanaogusa moyo ni wachache mkuu