Kauli hii ya Mwl Nyerere ina maana gani?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed Bakari. Pia nukuu hiyo inapatikana katika kitabu cha I SAW THE FUTURE AND HOW IT WORKS cha Prof Abdulrahaman Babu.
TUJADILI KWA PAMOJA, ALIKUWA ANA MAANA GANI?
 
Simple..Alitaka kuwabatiza akashindwa..machungu yalimtoka kinywani kwa hasira

Hasira huondoa busara wahenga walisema
 
kama hujaeleza the whole story ya alichosema, umetoa sentensi moja tu tutachangiaje?
 
ms anaawarifu anatarajia kujiunga na msomo ya Doctor of Engineering (Computer Engineering) katika chuo kimoja Huko Australia.(Jina la Chuo kwa sasa kapuni kuhofia baadhi ya wanajf kuhujumu)
Ni vizuri kuwaeleza wanajf wenzangu, na wale wanochonga eti hakusoma nawapa habari njema hiyo na kupunguza maneno maneno.
baada ya miaka michache nategemea ms kuwa dk .

labda ufanye kazi huko huko. uairudi huku.

wanaosoma computer engineering bongo ni masekretari.

utakubali kushkwashkwa na bosi wako? utakubali kuvaa kimini?
 
mkuu anasema anasomea Doctor of Computer engineering.... kwa usahihi inamaana anatibu au yeye ni mganga wa computer
 
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga

heshima na nishani ulivyopata hapa jf sikutegemea kama siku moja utatutangazia kuwa unaenda kujifunza usekretari australia halafu ukimaliza urudi bongo kuvaa kimini na kuokota vikaratasi vya bosi vikidondoka
 
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga

kazi ya usekretari ngumu kweli. ili uitwe company secretary lazima upite ngazi kama 10 hivi za usekretari na kila ngazi lazima uliwe.

utajuta kusomea usekretari ms
 
mkuu.... duu..... kwahiyo MS suna tayari ....
 
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga(vitoto vya miezi 2)

ninakusikitikia utakapoanza mafunzo kwa vitendo (field). huko ndiko walimu wa masekretari huwa wanaonesha urijali wao.
 
"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed Bakari. Pia nukuu hiyo inapatikana katika kitabu cha I SAW THE FUTURE AND HOW IT WORKS cha Prof Abdulrahaman Babu.
TUJADILI KWA PAMOJA, ALIKUWA ANA MAANA GANI?
wamemnukuu wakati gani? alikuwa wapi na akazungumza hayo
 
"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed Bakari. Pia nukuu hiyo inapatikana katika kitabu cha I SAW THE FUTURE AND HOW IT WORKS cha Prof Abdulrahaman Babu.
TUJADILI KWA PAMOJA, ALIKUWA ANA MAANA GANI?

Siwezi kuchangia kwa sababu hata hiyo kauli inayodaiwa kuwa ni yake siamini. Aliyeandika hicho kitabu na wewe mwenyewe najua hamkumpenda mwalimu kwa sababu ya mawazo yenu ya kipuuzi ya udini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom