IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Habari wandugu Hivi karibuni nimemsikia waziri Angela Kairuki (TAMISEMI) akiwapa tahadhari waajiri kuwa makini wanapotoa uhamisho.Swali Je uhamisho umeshaanza kutolewa? Kama ndio ni kwa utaratibu gani? Manake mimi nimeshakamilisha kila kitu mpaka jina langu lilitoka kuwa natakiwa kuhama kwa sababu maalumu.Anayejua/ambaye ameshahama anijuze kwani nasikia kuwa tayari watu kadhaa wamehama.