mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,903
- 5,055
ni ile hali ya kufua nguo halafu kila baada ya dakika tano unaigeuza geuza utafikiri unabanika samaki jikoni, na pia unahamisha nguo kila wakati kwa kufuata mwanga wa jua.
tulia we dogo nenda kwenye jukwaa la siasa.