Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,307
4,585
IMG-20160323-WA0008.jpg
Msanii Gado sasa atakuwa akichora kwa ajili ya DW. Hii hapa kazi yake ya kwanza kuhusu uchaguzi wa marudio Zanzibar.
Source: DW Whatsapp
 
sasa mbona inaonyesha cuf , amefungwa kamba wakati amesusia mwenyewe , nadhani alihitaji kuongeza ubunifu zaidi ya hapo ili kukidhi halihalisi ya hapo
 
Kweli mkuu unadhihirisha kuwa Watz tuna lack exposure, huyu ni mtanzania mwenzio na almost one of the most successful cartoonist in sub-sahara region.
Msome zaidi hapa: The Coronation of M7, The King Of Uganda - Gado
Mgeni? Huyu alianzia na gazeti la SANI la akina KIPEPE toka 1985 alipomrithi marehemu Phillip Ndunguru

ndunguru-kazi-bure.jpg
Pengine magazeti yetu ya bongo hayajampromote. Nawafahamu cartoonists kama Noah Yongolo, Nathan Mpangala (kijasti), Oscar Makoye (tolu), Fadhil Mohamed, Abul Kingo, Marko tibasima, Ibra radi Washokera, Chris Katembo. Hao ni wakongwe. Kuna wengine kama Masudi kipanya, Danny mzena, saidi michael, kassim Nongwa.. na wengi kibao
 
Back
Top Bottom