Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

Pengine magazeti yetu ya bongo hayajampromote. Nawafahamu cartoonists kama Noah Yongolo, Nathan Mpangala (kijasti), Oscar Makoye (tolu), Fadhil Mohamed, Abul Kingo, Marko tibasima, Ibra radi Washokera, Chris Katembo. Hao ni wakongwe. Kuna wengine kama Masudi kipanya, Danny mzena, saidi michael, kassim Nongwa.. na wengi kibao
Huyo ndie mkongwe wao....
 
Ako very critical, ni vigumu sana kumpublish, juu atakera uongozi na kukusababishia ufungiwe. Hata Nation ya Kenya ilibidi wampumzishe
 
Taarifa za Salma Said zitapambwa na katuni za Gado kazi kweli kweli.
 
sasa mbona inaonyesha cuf , amefungwa kamba wakati amesusia mwenyewe , nadhani alihitaji kuongeza ubunifu zaidi ya hapo ili kukidhi halihalisi ya hapo

Jiulize kwanza hizo kamba nani kamfunga CUF wakati ZEC hata miguu ya kusimamia hana.
 
sasa mbona inaonyesha cuf , amefungwa kamba wakati amesusia mwenyewe , nadhani alihitaji kuongeza ubunifu zaidi ya hapo ili kukidhi halihalisi ya hapo
Kuwa muelewa kuhusu catoon,hizo kamba ni majeshi yaliyo tumika kuhakisha mafisiem yanashinda zanzibar.
 
Kweli kama katuni hiyo inawakilisha uchaguzi wa juzi bado alihitaji kuboresha zaidi mfano kuonyesha bondia akitangazwa peke yake ulingoni wakati mpinzani wake akiwa nje ya ulingo
 
Mungu wangu, hamjui GADO? Ukitoa Mlima kilimanjaro, Gado anafuata katika list ya vitu na watu wakenya wanajaribu kutanyang'anya.
Hahahaaaa.... Wale jamaa waongo sana.
 
kenya-catton-of-tanzania-jpg.61638

Gado ndiye alyesababishia gazeti la Eastafrican kufungiwa hapa Tz kwa kumchora JK
 
image.png
Mkuu Saint Ivuga hapo nitaomba msaada wako nami!
Mkuu wangu! I salute you!
Meseji yangu nilikuwa nataka nikuambiankuwa kutofahamu kitu sio kukosa exposure, inatokea tu kutokana na interest za mtu, kuna ndugu yangu hajawahi kufika marekani ila anayajua majiji yote na mitaa yake na s. africa anaijua yote ila hajawahi kutoa mguu hapa tz. Alikuwa na ndoto za ubaharia..
 
Back
Top Bottom