mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,221
- 9,059
N
Ewa sawasawa lakini tafadhali usije ukaweka kilichowauzi wenye mamlaka wa TZ wakati ule......mimi simo nisije wekwa mahala pasipojulikana nikaacha wanangu na mama yangu wakipata shida bureee kama yule mwandishi.
Na sasa karudi nyumbani TZ kama sijakosea.