Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Katuni ya Rais Magufuli by Gado

June.05.16.Magufuli.Fighting.Corruption.jpg
Hana lolote huyo gado njaa ndio inayomsumbua kwa kutaka umaarufu kwa kupitia JPM, mbona sijawahi muona aki mchora uhuru kenyata hivyo?
 
Sijui hajistukii tu,maana kila kukicha wanamshangiliia wanazidi kupungua tu,muda huwa haudanganyi maisha yanavyokwenda watu wanazidi kuona ukweli mwisho atabaki peke yake na wapambe wake tu
Wenye akili za visoda hawawezi kuisha nchini. Hata humu wapo wengi tu. Watamshangilia tu hata afanye nini.
 
Hana lolote huyo gado njaa ndio inayomsumbua kwa kutaka umaarufu kwa kupitia JPM, mbona sijawahi muona aki mchora uhuru kenyata hivyo?

Akimtoa Kenyatta hivyo kesho yake tutasikia nyumba anayoishi Nairobi ilichomwa moto.

Jaribuni kupitia katuni zake katika webu yake. Kenyata na Rutto wanachorwa sana. Walipokua na kesi icc alikua anawafunga bomu la icc miguuni.
 
Yaani we Gado unamaanisha kuwa huyo katuni anahangaika na *kipanya* buku kidogo kimaskini kilichonusa tu mlango wa nyumba yake wakati kuna mapanyabuku makubwa ameyaacha hapo yamekula yamevimbiana mwishoni yakaiba kila kitu ndani
 
Jaribuni kupitia katuni zake katika webu yake. Kenyata na Rutto wanachorwa sana. Walipokua na kesi icc alikua anawafunga bomu la icc miguuni.
Gado ni mjinga sana., ni mtanzania ila baada ya kufanya nation media ya kenya na DW ya ujerumani anajiona kamaliza kila kitu.
Hiyo sio mara ya kwanza kumchora JPM hivyo na hicho sio kitu cha kushangilia watanzania.
Watanzania ni watu wa ajabu hawaeleweki nini wanataka na ndio mana hawaendelei na wanakuwa vile vile kila siku.
Wenzetu Rwanda walivyompata Kagame wanampa sapoti ya kutosha hata Nigeria walivyompata Buhari wanampa sapoti ya kutosha sababu ni maraisi wazuri pia ikiwemi yule wa sudani kusini.
Ila wengi ya walio toa comment lengo lao sio kukosoa ila nikuona JPM anashindwa mipango yake ili waongee zaidi.
Hayo mambo aliyochora gado, JPM hawezi kuyamaliza yote kwa siku moja kwa kuwa hata mwaka hajamaliza madarakani na yanahitaji uchunguzi na utafiti wa kutosha ili kumfanya afanye uamuzi wa uhakika.
 
Mkuu siwezi kumwita Gado ni mjinga!
Actually ni ukweli kwamba JPM anatumia nguvu nyingi kwa mambo madogo! (Hiyo katuni inasadifu yule kijana aliyefungwa miaka 3 kwa kitu kidogo sana katika dunia ya demokrasia).
 
Nani aliyekwambia duniani kuna demokrasia?
Ni uingereza yenye utawala wa kifalme au marekani inayobadilisha vyama viwili?
Au unataka demokrasia walioitaka Libya kwa kumuita Gadafi Dikteta.!
Hizi nchi changa huwa zina vibaraka wengi sana wanaofanya mambo yao kwa maslah ya mataifa kama U.S.A, U.K n.k kiongozi usipokuwa na msimamo hauwezi fika malengo ya nchi.
Angalia maraisi kama Kagame, Buhari huwa wanamsimamo kwenye jambo lenye maslah na nchi zao na unaona hizo nchi zinavyopiga hatua kiuchumi.
Gado ni mjinga sababu yeye ni mtanzania ila anatumiwa na mataifa mengine kupotosha uongozi wa JPM duniani.
Yule kijana ajafungwa na JPM, ali alikiuka sheria za mtandao na sheria ikamhukumu, hivi hali itakuaje kila mtu akiamka asubuh anaanza kutukana mtu bila sababu za msingi?
 
Mkuu najua hakuna demokrasi kwa asilimia 100! Yes...ni kweli....
Ila kuna haja gani hasa ya kumfunga kijana kwa kuandika upuuzi kwenye mtandao?
Kwa upande, hivi kuna tofauti ipi kati ya hiyo katuni ya Gado na hii ya Kipanya hapa?
upload_2016-6-14_12-11-46.png

Chanzo
 
haliwezi kufungiwa. ni ulimwenguni kote a kina vipanya wapo!! cartoons zipo. duhh ameshondwa majama ya sukari!! naoina kimyaaaa- bei elekezi 2,200. mwisho itafikia 3,000. tulieni muone!!
walisema mbona nyama kilo sh 7000
na watu wananunua?
sasa mpaka ifike buku 7
 
Mkuu najua hakuna demokrasi kwa asilimia 100! Yes...ni kweli....
Ila kuna haja gani hasa ya kumfunga kijana kwa kuandika upuuzi kwenye mtandao?
Kwa upande, hivi kuna tofauti ipi kati ya hiyo katuni ya Gado na hii ya Kipanya hapa?
View attachment 356419

Chanzo
Jambo la kumfunga yule kijana limekaa kisheria sio kosa la JPM kwani alifanya kosa la mtandao kinyume na sheria imechukua mkondo wake.
Kuna wale watu waliokuwa wanaandika taarifa za uongo kuhusu mkuu wa majeshi Davis Mwamunyange kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka jana walipatikana na wakafungwa kuna matukio mengi ya namna hiyo watu wanafanya badae wanakamatwa ikithibika wanafungwa.
Ni jambo la sheria, ila kwa kuwa ni Rais watu wanaleta mambo ya siasa.
Ishu ya Masoud Kipanya sina tatizo nae zimekaa kiuhalisia ingawa mda mwingine nae huwa ina mgharim mfano ile aliyoonesha JPM na lowasa wako ulingoni kisha JPM akaangushwa na Dkt Slaa akawa anaingia na kisu ulingoni.
Gado ni mjinga sana sababu amekaa kueneza propaganda chafu kwa JPM na ameanza tangu JPM amekuwa Rais.
Fatilia katuni zako kule DW utaona
 
Back
Top Bottom