Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Gado yuko wapi sasa? Aliwaona Rodent sasa hajawaona Rabbits wa Makinikia na pua zao za kuchongoka, au Rabbit wa Escrow? Mnafiki tu hiyo bora akawafanyie kazi bwana zake wazungu huko DW.
 
Huyu GADO ameshindwa kuchora katuni za nchi yao wakiuana sababu ya ukabila anaingilia mambo ya Tz yasiyo muhusu,hakika huyu ni wakula naye sahani moja labda asikanyage ardhi ya Tz.
Anatutahadharisha tusije kufikia kama kwao tatizo ni kuwa wewe ni mmoja kati ya wale wakuda mnaotumwa na serikali mnaojifanya kuja kutuharibia mada zetu humu.

Humu JF members wengi tunajitambua wachache mnaojifanya hamuelewi tunajua tu mmetumwa na serikali hamtupi shida siku hizi...
 
uhakiki
kodi kukatwa mara mbilimbili
watumishi kusogoa meno
kulimia meno
familia nyingi zinahangaika

sijui ni mtza yupi anainjoi haya matatizo
 
hata mi ni mtaalam wa katuni, lakini sipendi kutumiwa kama huyu GADO. sipendi matatizo kwa nisiyoyajua pia na kumdhiaki mkuu wa nchi. gado uhuru wa habar bila sheria ni uwenda wazimu. poor gado

Sheria ipi mkuu!?

Nchi haina sheria sasa wala haki tena, ina matamko tu na ukurupukaji wa wanaojipendekeza, CCM wanafanya kampeni halafu UKAWA wamezuiwa, na kukamatwa hovyo...

Hatuna Jaji Mkuu mpaka sasa...

Majaji wanaambiwa wafunge watu ili wapewe pesa,

Kadhihakiwa Baba Wa Taifa kwa maana alitamka wazi kiongozi asiyeheshimu katiba na sheria hatufai kabisa..
 
Back
Top Bottom