Mfano mim nachunga maneno now days nimekuwa kunguru Wa Zanzibar more than I was
haliwezi kufungiwa. ni ulimwenguni kote a kina vipanya wapo!! cartoons zipo. duhh ameshondwa majama ya sukari!! naoina kimyaaaa- bei elekezi 2,200. mwisho itafikia 3,000. tulieni muone!!
Kwa sababu ccm wanaona aibu!!Mbona wanao Comment ni CHADEMA
Inabidi iwe hivyo tu maana hakuna namna tena. Namba inasomeka kotekote japo waloimba ndo wanaisoma zaidi.Mfano mim nachunga maneno now days nimekuwa kunguru Wa Zanzibar more than I was
Tena anatumia riffle kua panya.Hatari sana, vipanya ndo vinamtoa jasho![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimeikubali signature yako...be blessed, nimeicopy na nitaitumia sana tu.haliwezi kufungiwa. ni ulimwenguni kote a kina vipanya wapo!! cartoons zipo. duhh ameshondwa majama ya sukari!! naoina kimyaaaa- bei elekezi 2,200. mwisho itafikia 3,000. tulieni muone!!
Anatumiwa na nani? Kama Obama anachorwa huyu wakwetu ni nani asichorwe?hata mi ni mtaalam wa katuni, lakini sipendi kutumiwa kama huyu GADO. sipendi matatizo kwa nisiyoyajua pia na kumdhiaki mkuu wa nchi. gado uhuru wa habar bila sheria ni uwenda wazimu. poor gado
Hahahaaaaa wanatuchora sana..
asante kwa marekebishoAlifanya kazi Nation Media sio Standard Group
Aende DW akafungie kudadeki kama uwezo upo uku kztuzoea sisi wanyonge tunayemuabudu kama mungu mtuHili gazeti lijiandae kufungiwa, haiwezekani Gado amdhalilishe Rais wa JMTZ
Anasema ukweli ndio hali halisi ilivyo wala hatumiwi ni kipajihata mi ni mtaalam wa katuni, lakini sipendi kutumiwa kama huyu GADO. sipendi matatizo kwa nisiyoyajua pia na kumdhiaki mkuu wa nchi. gado uhuru wa habar bila sheria ni uwenda wazimu. poor gado
Hiyo sio dhihaka,jaribu kutafuta Oxford dictionary ya Kiswahili ujifunze maana ya neno dhihaka.hata mi ni mtaalam wa katuni, lakini sipendi kutumiwa kama huyu GADO. sipendi matatizo kwa nisiyoyajua pia na kumdhiaki mkuu wa nchi. gado uhuru wa habar bila sheria ni uwenda wazimu. poor gado