Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Wazee wa mikoba minene wao wanachekelea hapo nyuma mhe. akihangaika na panya ila wanene ahhah wanabeba kwa sandarusi na mikoba yenye heshima! Kuja kulewa ujumbe hapo lazima uvuke ile kiwango cha Ukilaza !
hahahaha u said it all
 
huyu jamaa ni anaitwa Gao (jina la kazi) alikuwa anafanya kazi standard group kuna wakati alichora katuni kwenye gazeti la east Africa likimuonyesha mh raisi wa awamu ya nne akiwa amezungukwa na mabinti ambao hawakuvaa kimaadili gazeti hilo lilifungiwa hapa Tanzania na mwaka huu jamaa alifukuzwa kazi katika ofisi ya standard media kule Kenya kwa sasa anafanya kazi dw...habari ndiyo hiyo
Gado.
 
Nahisi anajuta kukimbilia ikulu, trend ya chuki kwa Baba Jane ninayoisoma kwenye mitandao na magazeti haiashirii mema
 
Nguvu iliyotumika Ni kubwa Sana yaani Ni sawa na kuawa panya kutumia gobore.
 
ed8c31ea13eedca91489ec4bbf6e6e33.jpg
 
huyu jamaa ni anaitwa Gao (jina la kazi) alikuwa anafanya kazi standard group kuna wakati alichora katuni kwenye gazeti la east Africa likimuonyesha mh raisi wa awamu ya nne akiwa amezungukwa na mabinti ambao hawakuvaa kimaadili gazeti hilo lilifungiwa hapa Tanzania na mwaka huu jamaa alifukuzwa kazi katika ofisi ya standard media kule Kenya kwa sasa anafanya kazi dw...habari ndiyo hiyo

Alifanya kazi Nation Media sio Standard Group
 
Back
Top Bottom