mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Sijajua, ila mara nyingi propaganda kama hizo hawezi kuwafanyia watu kama wakenya.Kwa hiyo unataka kusema katumwa na Kenyatta mkuu?
Gado ni mtanzania lakini hajielewi alikuwa anafanya nation media ya kenya baadae akahamia DW ya ujerumani na nikawaida kueneza propaganda kama hizo kwa JPM na kuna katuni nyingi zingine zinaonesha kashfa kubwa kwa JPM alizochora gado akiwa DW, siwezi kuzipost hizo katuni kwani nitazidi kuusambaza ujinga wake.