Kama kweli amejibu hivi ni makosa. Majibu kama haya yatafurahisha wafuasi wake lakini sidhani kama yanamsaidia katika utetezi wake.
Mimi nadhani Kibatala ange handle better utetezi wake maana angekuwa laser focused kwenye kuonyesha mapungufu ya mashtaka.
Kibatala aliweza kuonyesha mapungufu ya mashtaka dhidi ya Mbowe bila kutumia mno lugha ya kebehi. Ujumbe anaotaka kupeleka ungeeleweka vizuri kama angeongozwa na wakili kama Kibatala.
I hope Mahakama itampa ushindi au DPP ataghairi kuendelea na kesi.
Amandla...