Katu usimkekete binti yako...

Tanzania bado tuna Safari ndefu Yani mtu kuharibiwa viungo vyako unaona heshima but wanaoamini hayo mambo wako huko kijijini na hawasafiri Ila wanaokuja huku mjini wanapata saikolojiko effects wallah, uchi tu wenyewe unatisha sasa ukikatwa hvo vya ndani ni shida
 
Haya.....
 
Eeeeeh... Nawewe unatetea mila za kipuuzi namna hii
 
Blaza nakuung mkono asilimia mia na tano
 
[emoji109] naked Truth..
Suala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.
 
Wanasema wanapunguza hisia mwanamke ili asiwe Malaya kipindi Cha ukuaji wake.lakini naona kwenye Hilo walipuyanga asilimia [emoji817],..watoto wanaanza mapenZ darasa la nne japo wamekeketwa..
Nini lengo hasa la ukeketaji kwa watoto wa kike
 
Acha tu ndugu yangu. Ni kweli tunasafari ndefu. Huwezi amini kuna vijana kabisa wamekulia na wanaishi mijini wanarudi vijijini kwa makusudi kabisa kuoa mabinti walio keketwa.

Ukisikiliza masimulizi ya masahibu wanayopitia mabinti waliokimbia ukeketaji, utalia sana. Kuna mmoja mama yake mzazi alituma vijana wakamfungie nyikani aliwe na wanyamapori kwa sababu alikataa kukeketwa, ili kupisha laana kwenye familia. Mwingine alikeketwa akafariki wakaenda kumtupa mtoni kwa sababu mila hairuhusu msiba kwa binti aliyekeketwa akafa!

Kuna mengi sana.
 

Ukeketaji ni uonevu, usilipambe lionekane la kawaida,hata kama umetoka huko..
 
Zenye mlio wa chupa ya soda ndo kazi zetu sisi wengine...za kujibanabana hatutaki.
 
Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..
Sio kila mtu anaandaliwa kwa kusuguliwa kisimi....mwingine ukimgusa njia ya haja kubwa anawika kama kuku na ndo raha yake. Analowa vizuri na kuwa tayari kwa tendo
 
Kitu ambacho hujui ni kwamba katika hizi jamii zenye mila za kukeketa mabinti wenyewe wanapenda na huwa wanajipeleka kukeketwa hata kama mzazi wake alikua hataki hayo mambo.
 
Ujinga ni janga Sana kwa taifa hili nadhani huo ukeketaji umekaa kishirikina flani hivi Kama matambiko ya kikoo na kikabila na swala Hilo ni zaidi ya tujuavyo. Watanzania ni wagumu wa mabadiliko Kuna marafiki wametoka tarime na ni wasomi Ila wanashabikia huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…