Huyo mdogo nje "ndani mkubwa huyoo"..an elephant in a room....haka katoto huwa naogopa hata kuiona picha yake..at the age of less than 20yrs tayari kana damu ya mtu mkononi.
Am sorry to say this but nakaogopa nahisi kanaweza kuniuwa nay time like marehemu stiv k.
A simple question to all ladies in here...lara1 kubwa la maadui
just imagine in 5yrs to come "kaka yako wa damu" anakuja nyumbani kwenu anawaita wazazi wako ana kusema amepata mchumba anataka kuoa..na nyie mawifi muna hamu ya kumuona wifi yenu anayeolewa...
Weekend ijayo kaka anamleta wifi home..hamadddd...huyu hapa lulu. Je will you accept awe new family member wenuuuuuu?