Katoto kadogo kalikuwa kananiita Anko alafu nirekebishe, hapana

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Nakumbuka ilikuwa 1997. Ilikuwa ndio mwaka wangu wa kwanza kuajiriwa. Nilipo panga Jirani yangu kulikuwa na familia moja hivi ambaye Mume alikuwa mfanyakazi wizara fulani hapa town, inasemekana kichwani alikuwa very well. Ila mama form four kisha akawa mama wa nyumbani. Walikuwa wamebahatika kupata mtoto 2. Wakike wa kwanza na wakiume akiwa mdogo sana. Huyu wa Kike alikuwa amenizoea sana, nikipita anko, ananikimbilia nambeba na mda mwingine weekend namchukuwa tunazunguka zunguka kwa ujumla familia yake ilinipenda hasa kwa kupenda watoto wao.
Ilipo fika katikati ya mwaka 1998 niliama kama unavyojua jiji la Bongo, kuhama kitu cha kawaida.
Sasa tare 05/01/13 nikiwa pale pande za quality center napata moja moto moja baridi. Punde nikamuona mtoto mkari kinoma. Nikaona isiwe tabu. Nikamcall, mtoto bila ajizi kasogea. Nikapiga mistari yangu mwisho wa siku kikaeleweka.
Punde nikaanza pata tabu, hii sura very familia kwangu.
Ilipo fika mida ya kati tukala kona kwenda kwa hotel moja hivi katikati ya jiji. Wakati na drive nikawa na mdadisi. Lahaula ndiye yule Anko wangu. Nilimuuliza anafanya nini, akaniambia yupo chuo katikati ya jiji. Nilicho fanya, moja kwa moja nikampeleka hostel, nikamwachia matumizi.
Kisha nikafanya utafiti kidogo wa familia yake, nikaambiwa wapo njema sana sasa hivi, wanaishi pande za mbezi beach.
Kichwani najiuliza why anko amekuwa mrahisi namna hii wakati kwao wako njema.

Nitakuja punde kwa muendelezo, usibanduke
 
Unataka sisi tusemeje Mkuu kwamtoro? Tabia ya mtu haifungamani na familia,dini,elimu,utajiri/umaskini wala jinsia.Tabia ni 'in-born'. Kwahiyo,ungesikia ni maskini ungekuja hapa kutuuliza? Kama umeshamtongoza,malizia kazi yako.Ukimwacha,ipo siku utajuta!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unamshangaa yeye wewe hujishangai?

Kwanini unamtongoza mtu siku moja na unataka kwenda nae gest mitaa ya kati siku hiyi hiyo? Kwanini uko mrahisi hivyo?

Wewe ndio wa kushangaliwa na kulaumiwa maana una umri, exposure na tunategemea hekima kuliko anko wako!
 
Nakumbuka ilikuwa 1997. Ilikuwa ndio mwaka wangu wa kwanza kuajiriwa. Nilipo panga Jirani yangu kulikuwa na familia moja hivi ambaye Mume alikuwa mfanyakazi wizara fulani hapa town, inasemekana kichwani alikuwa very well. Ila mama form four kisha akawa mama wa nyumbani. Walikuwa wamebahatika kupata mtoto 2. Wakike wa kwanza na wakiume akiwa mdogo sana. Huyu wa Kike alikuwa amenizoea sana, nikipita anko, ananikimbilia nambeba na mda mwingine weekend namchukuwa tunazunguka zunguka kwa ujumla familia yake ilinipenda hasa kwa kupenda watoto wao.
Ilipo fika katikati ya mwaka 1998 niliama kama unavyojua jiji la Bongo, kuhama kitu cha kawaida.
Sasa tare 05/01/13 nikiwa pale pande za quality center napata moja moto moja baridi. Punde nikamuona mtoto mkari kinoma. Nikaona isiwe tabu. Nikamcall, mtoto bila ajizi kasogea. Nikapiga mistari yangu mwisho wa siku kikaeleweka.
Punde nikaanza pata tabu, hii sura very familia kwangu.
Ilipo fika mida ya kati tukala kona kwenda kwa hotel moja hivi katikati ya jiji. Wakati na drive nikawa na mdadisi. Lahaula ndiye yule Anko wangu. Nilimuuliza anafanya nini, akaniambia yupo chuo katikati ya jiji. Nilicho fanya, moja kwa moja nikampeleka hostel, nikamwachia matumizi.
Kisha nikafanya utafiti kidogo wa familia yake, nikaambiwa wapo njema sana sasa hivi, wanaishi pande za mbezi beach.
Kichwani najiuliza why anko amekuwa mrahisi namna hii wakati kwao wako njema.

Ulitakiwa kujiuliza pia, why wewe umekuwa mchafu na dhaifu kiasi hicho wakati ni mkubwa kwa umri na kimo? Ina maana ukiona binti mzuri tu tayari akili huamia chini?

Natumaini na binti yako wababa wenzako watampeleka hotelini hivyo hivyo!
 
Unataka sisi tusemeje Mkuu kwamtoro? Tabia ya mtu haifungamani na familia,dini,elimu,utajiri/umaskini wala jinsia.Tabia ni 'in-born'. Kwahiyo,ungesikia ni maskini ungekuja hapa kutuuliza? Kama umeshamtongoza,malizia kazi yako.Ukimwacha,ipo siku utajuta!

Suppose ni Ashura???
 
Wazazi wa ki dot com vs Watoto wa Kidigitali is equal to JANGA KUBWA SANA LA KITAIFA
 
kwamtoro, your days are numbered
Nakumbuka ilikuwa 1997. Ilikuwa ndio mwaka wangu wa kwanza kuajiriwa. Nilipo panga Jirani yangu kulikuwa na familia moja hivi ambaye Mume alikuwa mfanyakazi wizara fulani hapa town, inasemekana kichwani alikuwa very well. Ila mama form four kisha akawa mama wa nyumbani. Walikuwa wamebahatika kupata mtoto 2. Wakike wa kwanza na wakiume akiwa mdogo sana. Huyu wa Kike alikuwa amenizoea sana, nikipita anko, ananikimbilia nambeba na mda mwingine weekend namchukuwa tunazunguka zunguka kwa ujumla familia yake ilinipenda hasa kwa kupenda watoto wao.
Ilipo fika katikati ya mwaka 1998 niliama kama unavyojua jiji la Bongo, kuhama kitu cha kawaida.
Sasa tare 05/01/13 nikiwa pale pande za quality center napata moja moto moja baridi. Punde nikamuona mtoto mkari kinoma. Nikaona isiwe tabu. Nikamcall, mtoto bila ajizi kasogea. Nikapiga mistari yangu mwisho wa siku kikaeleweka.
Punde nikaanza pata tabu, hii sura very familia kwangu.
Ilipo fika mida ya kati tukala kona kwenda kwa hotel moja hivi katikati ya jiji. Wakati na drive nikawa na mdadisi. Lahaula ndiye yule Anko wangu. Nilimuuliza anafanya nini, akaniambia yupo chuo katikati ya jiji. Nilicho fanya, moja kwa moja nikampeleka hostel, nikamwachia matumizi.
Kisha nikafanya utafiti kidogo wa familia yake, nikaambiwa wapo njema sana sasa hivi, wanaishi pande za mbezi beach.
Kichwani najiuliza why anko amekuwa mrahisi namna hii wakati kwao wako njema.
 
Last edited by a moderator:
Suppose ni Ashura???

Da Kaunga, kwani Ashura ndo mwanae? ukweli wanaume tutahukumiwa sn, kwani sisi ndo chanzo cha maovu mengi sn, ukimuona msichana tu basi akili haitulii, mpaka umkosee Mungu, uhuru tulionao na kutopata mimba kama dada zetu kunawafanya wengi wetu kujisahau na kufanya mambo mengi mabaya.
Mungu endelea kutusamehe sisi waja wako.
 
Huyu mleta mada anataka kutupa njaa tu,yaani hata kutongoza kwake mitaani tukujadili hapa? Kweli? Halafu,yeye si Mjomba wa damu wa huyo Binti...Ashura ni mpwa wangu wa damu.

Kwani inaleta utofauti gani, assume huyo binti ndio mpwa wako Ashura; na amekutana na mtoa mada kama alivyoelezea, bado utamshauri amgegede? Kwa vile sio binti yangu basi aharibiwe tu?

Sijui nimekosea, but somewhere you mentioned you want to be into politics; kama ndivyo basi as a verified user be careful in what you post kwenye haya majukwaa. Some people will remember comments kama hizi na tunaweza kuona jinsi gani haufai kuongoza. (kama nimechanganya madesa nisamehe lakini) But still as a verified user, Ashura anaweza join baadaye na posts hazipotei rafiki.
 
mimi naona mleta mada ndio ayuko sawa,na anaitaji ushauri nasahaa na wa haraka,utatongozaje siku moja,harafu ukalale naye inaonekana umezoea kuchukua mabinti wanaojiuza,hii si tabia nzuri kwa sasa magonjwa mengi,pia hii siyo sifa ni ujinga tu,ulifaa utulie kama vip uoe uwe na familia yako,si kuchukua mademu wa barabarani si tabia nzuri,

naona tumshangae alieleta mada kwanza,kabla ya kumshangaa binti uyo
 
Kwani inaleta utofauti gani, assume huyo binti ndio mpwa wako Ashura; na amekutana na mtoa mada kama alivyoelezea, bado utamshauri amgegede? Kwa vile sio binti yangu basi aharibiwe tu?

Sijui nimekosea, but somewhere you mentioned you want to be into politics; kama ndivyo basi as a verified user be careful in what you post kwenye haya majukwaa. Some people will remember comments kama hizi na tunaweza kuona jinsi gani haufai kuongoza. (kama nimechanganya madesa nisamehe lakini) But still as a verified user, Ashura anaweza join baadaye na posts hazipotei rafiki.
Nimekuelewa Mkuu Kaunga. Lakini mleta mada naye 'anabore'.Yes,I will be more careful..thanks
 
Last edited by a moderator:
Da Kaunga, kwani Ashura ndo mwanae? ukweli wanaume tutahukumiwa sn, kwani sisi ndo chanzo cha maovu mengi sn, ukimuona msichana tu basi akili haitulii, mpaka umkosee Mungu, uhuru tulionao na kutopata mimba kama dada zetu kunawafanya wengi wetu kujisahau na kufanya mambo mengi mabaya.
Mungu endelea kutusamehe sisi waja wako.

Hapana, Ashura ni mtoto wa dada yake; na amekuwa akihangaika na education yake kutokana na kabinti kuwa mcharuko. Tafuta uzi mmoja unaitwa "Waraka" alileta hiyo story.

Yaani mwanaume malaya, ambaye anatongoza malaya halafu anasemea umalaya wa mwanamke ambaye amekubali ombi lake la kufanya umalaya. Kazi kweli kweli!
 
Ulitakiwa kujiuliza pia, why wewe umekuwa mchafu na dhaifu kiasi hicho wakati ni mkubwa kwa umri na kimo? Ina maana ukiona binti mzuri tu tayari akili huamia chini?Natumaini na binti yako wababa wenzako watampeleka hotelini hivyo hivyo!
Ndio sample ya viongozi wetu hawa..Maana kule kwenye love connect amesema anataka kugombea MADARAKA..
 
kupenda totoz kutagharimu maisha yako au we mwenzet hauna mtoto wa kwako akifanyiwa hivyo unakuwa mkali kumbe na wewe ndo tabia yako na mmeambiwa kabisa ''enyi wababa msiwachokoze watoto wenu'' sasa huyo mpwa wako si mwanao
 
Ujue mimi MENTALITY YA WANAUME WENGI kuwa ukikubali kuhave nae SEX basi 1. Kakuzidi akili, 2. Umekubali sababu ya shida!!!!!!!!! inanishangaza na kunisikitisha sanaaaaaa! DAMN!!!!!!!!!!! RELAX GUY!!!!!!! ITS JUST SEX!!!!!!!!! COME ON YOU PEOPLE!!!!!!

Yaani ukimpa anaona kama ni PRIVILAGE AU HONOUR Flani hivi ya wewe kumpa! Hakubuki kuwa WE WOMEN DO ENJOY PART OF THE GAME TOO!!!!!!!! Afterall IT TAKES 2 TO TANGO!!!!!!!

Badilikeni bwanaaa!!!!!! SEX IS JUST A RECREATIONAL ACTIVITY!!!!!!:cheer2: Tumepewa buree na tunapeana bureeeeeee!!!!!!! DONT MAKE IT A BIG DEAL!

Hata kama kwao ni njema ankoo wako nae ana HISIA pia!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom