Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Huyu Mungu wako wa kufa na kufufuka? Hebu niambie siku alipokufa roho yake ilienda mbinguni au ilibakia duniani inazunguuka hewani?
Tatizo lako nini? Hoja hapo Atakalo Anaweza [emoji123] [emoji106] ndipo nikajiuliza wewe mungu wako anao Uwezo huo? Umebakia kama maharage yakichemka...jibu swali halafu tuendelee na mjadala...[emoji15]
 
Kwa hiyo Mungu akitaka afe inawezekana. Ndipo nikakuuliza alipokufa roho yake alitaka iende wapi? Iende mbinguni au ielee hewani tu hala duniani?
 
Kwa hiyo Mungu akitaka afe inawezekana. Ndipo nikakuuliza alipokufa roho yake alitaka iende wapi? Iende mbinguni au ielee hewani tu hala duniani?
Mimi Mungu aliyonifunulia ndiyo Nayahubiri na tuwafundishe Wanangu na Yale yaliyo Sirini kwake bado ni siri yake [emoji4] dhahir eeh...[emoji15] [emoji47]
 
Mimi Mungu aliyonifunulia ndiyo Nayahubiri na tuwafundishe Wanangu na Yale yaliyo Sirini kwake bado ni siri yake [emoji4] dhahir eeh...[emoji15] [emoji47]
Kama yale ya sirini bado ni siri yake wewe umejuaje?
 
Mimi Mungu aliyonifunulia ndiyo Nayahubiri na tuwafundishe Wanangu na Yale yaliyo Sirini kwake bado ni siri yake [emoji4] dhahir eeh...[emoji15] [emoji47]
Jibu swali langu sasa hili. Je Mungu akifa dunia itabakia na nani?
 
Kanisa Katolike ni Kasa la Majeshi, kama Mungu aitwavyo Mungu wa Majeshi. Katika Historia ya kanisa katoliki, vita vilishawahi kuanzishwa na viongozi wake. Pia amani ilishalindwa na viongozi wa kanisa katoliki. Hata kwa nyakati tulizonazo ni ukweli usiopingika kuwa Kanisa katoliki limehifadhi amani ya dunia. Bila uongozi dhabiti wa kanisa katoliki amani ya dunia ingekuwa imetikiswa vibaya kuliko ilivyotikiswa na vita vikuu vya dunia. Kiongozi wa kaniza Papa Mtakatifu ana nguvu nyingi na ambazo wengi hawazifahamu, zingine zikiwa ni siri kuu.

Mbali na yaho kanisa katoliki ndilo pioneer mkubwa wa elimu na afya duniani. Kanisa katoliki kwa enzi na enzi limekuwa likitoa elimu kwa jamii, tena elimu bora kabisa. Limejenga mashule na vyuo. shule zingine zilikabidhiwa kwa serikali za nchi husika. Pia Kanisa katoliki limesaidia katiaka huduma za kijamii hasa afya kila lilipopita. zahanati na hospitali nyingi zilijengwa na kanisa, na hadi leo kuna hostpitali na zahanati zinazotoa huduma nzuri na za kutegemewa, zote zimejengwa na kanisa katoliki. Mengine ni maji, na barabara kwa baadhi ya maeneo.

Historia inalibeba kanisa hili. Ni kanisa la kwanza kabisa kuasisiwa na jamii ya kikristo ilyoanzishwa miaka takribani 50 baada ya Yesu kuzaliwa. Mtume Petro ndiye kiongozi wake mkuu wa kwanza. Alikuwa Papa wa kanisa katoliki baada ya kufika Roma na kuliasisi kanisa kama Yesu alivyomuahidi. Makanisa yote ya kikristo yameanzia katika kanisa katoliki baada ya kuasi na mengine kujitenga.

Kanisa Katoliki ndio kanisa kongwe zaidi duniani. Kila mtu analionea husuda zaidi ya anavyoonea husuda dini yake.

Ndio kanisa pekee pia ambalo limebobea katika philosophy na theology achilia mbali psychology, sociology na law. Kwa kusaidia tu gofya hapa uone mbali ya hayo niliyotaja, mambo ambayo baadhi ya mapadre na waumini wake wamefanya kwa nyakati mbalimbali: A List of 244 Priest-Scientists (From Acosta to Zupi), List of Lay Catholic scientists - Wikipedia
 
Ama kweli North Corea ukishikwa na Biblia ni shida. Hebu tafakari ukisoma sana Bible unakuwa mtumwa wa mawazo, utabaki kila kitu namwachia Mungu, umwachie wewe ufanye nini? Sikatai ni kitabu kitakatifu kwa Wakristu, usikariri maneno yake ila ongezea na ya kwako. Mtu anakariri na Katiba yake ambayo ni mwongozo wa maisha yake hajui hata neno moja, ni uuuungwana!!! Watu walioandika Bible huwajui lakini katiba unashirikirishwa kikamilifu. Mimi kwa kiapo natumia Katina ya nchi
 
Na kama wapo mapadri wanasayansi si watoke ili wawe huru na kazi yao? Dunia inawataka kwa nini wanajificha kwenye Bible? Ndio maana waseminari waliokua na uwezo wa sayansi waliachia form six na sasa ni wanasayansi wazuri. Waliachana na vitu ambavyo havina majibu.
 
Unasahau ukweli kwamba Wayahudi wako Milioni 14 tu na Wakatoliki mko Billioni 1.2,
Lakini wana cha ajabu ni kwamba wana nguvu kubwa utadhani wao ndiyo wako wengi dunia nzima.
Mbona hutaki kukubali huu ukweli mchungu ???
Sipo tayari kabisa eti kuamini Wayahudi ni zaidi ya Katoliki ktk hilo ulisemalo!Nakubali kutokukubaliana.
 
Sipo tayari kabisa eti kuamini Wayahudi ni zaidi ya Katoliki ktk hilo ulisemalo!Nakubali kutokukubaliana.

Hatuwezi kukubaliana katika kila kitu na wala mimi sitaki nikulazimishe ukubaliane na mimi,
Lakini nimekupa mifano hai kabisa ya Kihistoria na kitaalamu kwamba upitie upya halafu kwa muda wako halafu uamue.
Hii ndiyo Taaluma na Usomi; Kukubali kujifunza kitu kipya kila siku iitwayo leo.
Pamoja sana mkuu
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!

Ndio Dhehebu Pekee la kikristo Tajiri Duniani!
Ndio Dhehebu pekee Lenye Misimamo isiyo yumba duniani.
Ndio Dhehebu pekee lenye Kesi Nyingi za Ulawiti Duniani
Kanisa Katoliki ni Taasisi Kubwa Duniani Hilo halina Ubishi.
 
Hii ndiyo Taaluma na Usomi; Kukubali kujifunza kitu kipya kila siku iitwayo leo.[/QUOTE]
USHAULI mwema sana kwangu na asante!
 
Mungu keshakufa sasa! Amekufa akaacha wanadamu wako hai.
Kwa hiyo huamini kwamba!; Mungu anaweza kuwa amekufa na wakati huo huo yuko Hai? Mbona kinywa chako kizito hutaki kutamka [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji348]
 
Kwa hiyo huamini kwamba!; Mungu anaweza kuwa amekufa na wakati huo huo yuko Hai? Mbona kinywa chako kizito hutaki kutamka [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji348]
Sasa huyo Mungu akifa hebu tuambie inakuwaje?
 
Sasa huyo Mungu akifa hebu tuambie inakuwaje?
Pole malyenge kama nimekukwaza [emoji120] najua mchana huu karibu kigogo sambusa upate [emoji117]
a9dcf7c6c7e95d40904f9af95a3349a7.jpg
ushushie na [emoji117]
0aba480b96014c9d5fc130db184ceab1.jpg
unaona kanavyotoa jasho? [emoji39] [emoji4]
 
Pole wewe uliyefiwa na Mungu. Sijui matanga yake waliposoma walimwomba Mungu yupi ili aiweke roho ya marehemu Mungu pema peponi?
 
Pole wewe uliyefiwa na Mungu. Sijui matanga yake waliposoma walimwomba Mungu yupi ili aiweke roho ya marehemu Mungu pema peponi?
Au pilau
f730a8ac15b81ca55873a4cfee584c76.jpg
la huyu [emoji117]
cf68a5477982f9abbe60d6521b35f2f8.jpg
mbuzi Katoliki [emoji39] na glasi [emoji117]
25f97cd6a5d6d7bd955ef2f64cf31242.jpg
alihamdulilahi[emoji120]
 
Back
Top Bottom