MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,592
good analysis sema "umeandika kishabiki"
wakati unacompare catholic na wayahudi umeomgea tu upande mmoja tu wa kanisa katika phenomena ambazo kwayo wewe umesema zimefeli,hujaongea upande wa pili wa kanisa katika events ambazo ilifaulu. kuongelea kushindwa kwa kanisa na kuongea kufaulu kwa wayahudi mizani haijakaa sawa!
katika uchambuzi wako ulitakiwa uonyeshe sehemu zote matukio yapi katoliki ilishindwa na matukio yapi ilifaulu,vivyo hivyo na wayahudi 'matukio gani walifeli' na yapi walifaulu.
kuchambua upande mmoja wa ufaulu wa 'wayahudi' na kulinganisha na upandewa kufeli kwa katoliki, hii ni BIAS, na mizani haiwezi kuwa sawa.
Kwa hiyo mkuu kwenye mabandiko yangu yote hapa hujaona kitu ???
Halafu ulitegemea mimi nikuandikie kila kitu kwenye bandiko la maneno chini ya 500 ???
Hata Yesu hakuwafundisha mitume wake kila kitu na wala hakuna mwalimu duniani afanyaye hivyo.
Ukiona mtu hajaeleweka GOOGLE ipo mkuu......