Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

On Catholic Political Philosophy - EWTN
UrlAdvisorGoodImage.png

On Catholic Political Philosophy

Q: What is political philosophy? Why is it incomplete in itself?

Father Schall: In one sense, political philosophy exists because both Plato and Cicero wrote books called "The Republic" and "The Laws," while Aristotle wrote "Ethics," "Politics" and "Metaphysics."

Though both the Old and New Testaments touch upon political things, neither — but more especially the New Testament — is directly a treatise on politics, on how to organize the city.

Indirectly, certain things in the New Testament, the "render to Caesar" and the "it is better to obey God than men," together with giving a cup of water and the trial of Christ, have had an enormous impact on our understanding of politics. Still, it was not the direct purpose of Revelation to tell us how to organize our polities.

We could figure this political information out mostly by our own powers, by experience and reason. This knowledge is why we still read the classic authors who were not influenced by Revelation.

The more subtle question that Revelation might be said to deal with is why, if we know both how we should live and how the city should be best organized from reason, can we not live that way? Why is the history of our political lives in almost all eras and places so often an account of disorder and failing human institutions?

Today, political philosophy is one of the few areas in which all things come together and must be sorted out. To understand political things we need to understand history, religion, ethics, science, manners, and all pertinent aspects of culture. Yet, politics looks at what is to be done but done for a good

The answer to this question, summed up in the doctrine of the Fall, or original sin, has always been one of the roots of political realism wherein we are most careful not to expect too much of politics as such.

Philosophy is a quest for knowledge of the whole of reality insofar as this knowledge can be ascertained by human reason open to reality.
 
Hujajibu swali langu. Ukilijibu nitakuelewesha tena vizuri kabisa MGEN.
Mimi kusuduilo langu toka moyonj ni kukusalalimu na kukutakia Amani na si kwa mujibu wa deen yeyote...Mwenzangu unayakuza hadi unanipa mtihani! Amani kila kiumbe Anaihitaji....
 
Mimi kusuduilo langu toka moyonj ni kukusalalimu na kukutakia Amani na si kwa mujibu wa deen yeyote...Mwenzangu unayakuza hadi unanipa mtihani! Amani kila kiumbe Anaihitaji....
Sasa hiyo salam imo kwenye Quran. Na wewe siku zote humu jf umekuwa unakashfu uislam kwamba Allah ni Abdull Qasem na Muhammad si mtume. Na quran umekuwa ukisema ni kitabu cha majini. Sasa leo unaitumiaje salam ya kitabu cha majini kuleta amani humu?
Naomba jibu.....
 
Sasa hiyo salam imo kwenye Quran. Na wewe siku zote humu jf umekuwa unakashfu uislam kwamba Allah ni Abdull Qasem na Muhammad si mtume. Na quran umekuwa ukisema ni kitabu cha majini. Sasa leo unaitumiaje salam ya kitabu cha majini kuleta amani humu?
Naomba jibu.....
Hiyo salamu ipo na si kwenye Quran tu..kwani kabla ya Quran watu walikuwa hawatakiani Amani? Hilo la Abdul qathem Mimi sija kashfu lolote...sababu maneno yaliyomo kwenye Quran Muhammad anasema ni ya Allah! Mimi uniaminishe kwamba ni maneno ya Allah kwa dalili za waziwazi hasa pale mahali muhammad walipo kutana na Allah na kumtuma! sasa badala ya kunipa dalili nishibe unaingia ghazab na kunitangaza kwamba nakashifu, hunitendei haki mkubwa! Haya nipe dalili [emoji120]
 
Bullets ya pili kutoka chini itazame tena inawezekana umedanganywa, ukiambiwa robo ya watu wote duniani ni wachina. Na huko Asia kuna zaidi ya nusu ya watu wote duniani na wana dini zao tofauti na dhehebu unaloliongelea.

Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
 
Hiyo salamu ipo na si kwenye Quran tu..kwani kabla ya Quran watu walikuwa hawatakiani Amani? Hilo la Abdul qathem Mimi sija kashfu lolote...sababu maneno yaliyomo kwenye Quran Muhammad anasema ni ya Allah! Mimi uniaminishe kwamba ni maneno ya Allah kwa dalili za waziwazi hasa pale mahali muhammad walipo kutana na Allah na kumtuma! sasa badala ya kunipa dalili nishibe unaingia ghazab na kunitangaza kwamba nakashifu, hunitendei haki mkubwa! Haya nipe dalili [emoji120]
Kwani mtume Paulo lini walikutana na Yesu akamfanya mtume?
 
Kazi kwenu hizo zinaishia hukohuko kwenu
Hii ni saratani [emoji4] kama hujui inatakiwa watu wema wasimame na kuchukua hatua kuingoa la sivyo itaenea mwili mzima na kuua [emoji15] [emoji47] sio unavyo toa majibu mepesi eti zitaishia huko kwenu wee uko peponi [emoji15]
 
Ukubali kwanza Yesu kafa ndio uulize hilo swali...kafa? Nipe dalili Kutumwa kwa muhammad na Allah [emoji15] [emoji4]
Mungu hufa? Na akifa roho yake inapokelewa na nani?
 
Wewe ni mwongo na unashabikia usichokijua. Ulichokiandika hapa hakina tofauti na masimulizi ya Alfu-Lela Ulela.

Mosi, Ukatoliki siyo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili. Kuna madola ya Kiislamu kama Saudi Arabia (Dola la Waislamu wa kisuni) na Iran (Dola la Waislamu wa kishia). Haya yote ni madola ya kidini yaliyonganishwa na uongozi wa kisiasa. Tofauti yao kidogo ni kwamba Serikali Kuu ya kanisa la Katoliki (The Holy See) ni mtu kisheria (Legal Personality) kwamba inaweza kusaini mikataba ya kimataifa na nchi nyingine bila kuihusisha Nchi ya Vatican. Mfano Mkataba wa Lateran wa mwaka 1929 wa kuanzisha nchi ya Vatican ulisainiwa baina ya Serikali ya Kanisa la Katoliki (The Holy See) na Nchi ya Italy.

Pili, Kanisa katoliki lina nguvu na linakusanya sana taarifa kuhusu raia wake na dunia nzima lakini ukweli ni kwamba Wakatoliki wanaweza wasiwe wa kwanza kwenye upelelezi japo wana nguvu kubwa sanaaaa. Hakuna dini na dhehebu lenye nguvu ya kepenyeza dini na madhehebu mengine kama WAYAHUDI (Nasema haipo na haitakuja tokea) Kinacholibeba kanisa la Katoliki ni uwepo wa Idadi kubwa ya Waumini duniani kote. Wapo waumini Bilioni moja na ushee, wapo karibia katika kila Bara na nchi, na kibaya zaidi ni kwamba kanisa lina Wasomi na watu wakubwa wenye ushawishi kutoka karibia kila Serikali hapa duniani.

Hapa naongelea watu wasomi na wenye ushawishi kama Mwalimj Nyerere, Raisi Mkapa, Raisi Mugabe, Raisi JF Kennedy, Raisi Joe Bidden, Raisi Nicolas Sarkozy na wengine wengi ni wakatoliki sugu na wana utii kwa Kanisa hivyo wakatoliki kwa aina hii ya watu ni lazima watakuwa mbele tu katika mambo mengi.

Lakini ukweli mchungu ni kwamba Wayahudi ni kakundi kadogo sana lakini shughuli yao dunia nzima tunaijua. Mfano mzuri tu Wamepenyeza na wamepunguza nguvu ya Uprotestanti huko Marekani haijapata tokea tangu Marekani ipate uhuru. Mwaka 1962 Myahudi Steven Engels alipewa ushindi na Mahakama ya Juu ya Marekani kuzuia kabisa wanafunzi kufanya maombi shuleni. Leo hii za media za Wayahudi huko Marekani zimefanikiwa sana kueneza Propaganda za Ndoa za Jinsia Moja hadi kupelekea kuruhusiwa kitu ambacho Waanglikani wa Wakatoliki wa Ulaya walishindwa kukfanya kabisa. Nguvu ya mashirika yao kama Anti-Defamation League na AIPAC siyo ya kawaida nchini Marekani. Ubaya zaidi ni kwamba Vyombo vyao vya habari na burudani vinaeneza Propaganda chafu na za kibaguzi dunia nzima.

Wakatoliki na Ujanja wao wote walishindwa kabisa kuiangusha nguvu ya Kanisa la Orthodox la Ulaya Mashariki chini ya Ufalme wa Urusi. Hii ilipelekea Wakatoliki kujaribu kuwavuta warusi lakini kila walipojaribu kutuma mapadri na majesuit walikuta wanauawa, hadi waliposhindwa kabisa wakaamua kumtungia Propaganda za Uongo Mfalme wa Urusi na kuunza kumuita Ivan The Terrible kwamba ni muuaji sana.

Wakati wa Vita za Kidini (Crusades) kule Mashariki ya kati mnamo karne ya 11 na 12, Papa Urban alijaribu kuwavuta Warusi wajiunge na wenzao wa Uingereza, Hispania,Italia na Ufaranaa lakini ilishindikana na walijaribu fitna zote wakashindwa. Lakini mwaka 1917 kakundi kadogo kabisa kakiongozwa na Myahudi Vladmir Lenin na wenzake walifanya kitu ambacho hakuna taifa liliwahi kuweza. Walipindua Ufalme wa Urusi na Kuvunja mgongo wa Kanisa la Orthodox ambapo limeanza kurudi Kwenye ushawishi miaka ya 1990 baada ya Ukomunisti kufa na Urusi ya Kisovyeti kuanguka (Pitia tena historia)

Mwaka 1919 Wayahudi waliweza Kuharibu kabisa Dola la Kiislamu la Uturuki (Ottoman Empire) na kuligawa vipande vipande chini ya Mkataba wa siri wa Sykes-Pikot wa 1916 na kuyafanya baadhi ya majimbo yake kama Palestina yawe chini ya Ufalme wa Uingereza. Kumbuka hao Wakatoliki walishindwa kabisa kpigana na Waturuki kwa miaka mingi na kuna kipindi ilibakia kidogo tu wasingekuwepo leo hii kama tu Waturuki wangefanikiwa kuipiga Italia mwaka 1480.

Tatu, hujatutajia nchi ambazo zimeiga huo mfumo imara wa Kanisa la Kikatoliki. Ili kufanya hoja yako iwe na uzito ni vema ukaweka na ushahidi wa hayo madai yako.

Nne, Kuhusu kuongea na viongozi wa nchi kwa muda watakao hicho ni kitu cha kawaida sana kwasababu Kanisa la katoliki mbali na kuendesha shughuli za kidini pia linaendesha Shughuli za Kijamii,kisiasa na kiuchumi. Hivyo kupitia mashirika yao mengi ya kanisa kama CARITAS FOUNDATION, JESUIT FATHERS, CONSOLATA na mengineyo wamekuwa wabia wakubwa wa maendeleo kwenye nchi nyingi duniani, hivyo basi kama ambavyo Raisi Kenyatta anaweza kuongea na wawekezaji kuhusu Elimu vivyo hivyo ataongea na Wakatoliki kuhusu Elimu kwa muda wanaotaka kwasababu tu ya mchango wao kwenye Uchumi wa nchi husika na mara nyingine inaweza isiwe sababu ya dini mfano kwenye nchi za Kiislamu hawawezi kabisa kucheza karata ya dini bali karata ya Siasa au Uchumi.

Upande wa pili wa Shilingi kwenye nchi za Kiislamu au Kihindu viongozi wa dini wanaweza kuongea na viongozi wa nchi muda wowote watakao kwasababu wao ni wadau wakubwa wa maendeleo ya nchi husika. Hebu jiulize leo ni kiongozi gani wa nchi anaweza kukataa kufanya mazungumzo na Sheikh Mkuu wa Waislamu hapa Duniani Ahmed Muhammed Ahmed El-Tayeb (The Grand Imam of Al-Hazar) ?? Hasahasa ukiangalia mchango wa dhehebu la Wasuni kwenye uchumi wa nchi mbali hapa duniani ???

Kibaya zaidi umesahau nchi kama Marekani viongozi wa Kilokole kama Marehemu Mchungaji Billy Graham walikuwa wanaenda hadi Ikulu kufanya maombi na kuhudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri tena kibaya zaidi mwaka huu Raisi Donald Trump amefululiza kutembelewa na wachungaji wakubwa kama Dr.Franklin Jentezen na Dr.Robert Morris ambao wamechaguliwa kuwa moja kati ya washauri wa karibu wa Raisi Trump hivyo huzungumza na viongozi muda wowote watakao.

NB: Wakatoliki ni dhehebu kubwa sana duniani lenye ushawishi mkubwa mno, lakini Serikali yake bado kuna sehemu huo ushawishi wao hauwezi kufanya kazi kirahisi au kufanikiwa hata kidogo. Kama nguvu hizo wanazo (Omnipotent) nakuhakikishia dunia yetu ingekuwa haina maendeleo kabisa kwasababu Kanisa la Roma lilivyoshika dunia tokea Karne ya 4 hadi ya 17 kulikuwa na kipindi kigumu chenye mateso kwa binadamu haijawahi tokea. (The Dark Ages)

Walificha Biblia na walikataa mtu asifikirie kabisa kwa kumnyima elimu kwa maksudi. Wanasayansi walioamua kufikiria nje ya boksi kama Galileo Galilei waliuawa na kanisa kisa tu kusema dunia yetu ni Mviringo.

Kanisa lilitawala Ulaya yote kimabavu lakini mwishoni likashindwa kuendeleza hiyo nguvu na mambo yakaliyokea puani. Upande wa pili pamoja na nguvu zao zote walishindwa kabisa kushinda vita za kidini dhidi ya Waislamu kule Yerusalem mnamo karne ya 12 ambapo walitamani sana Vatican ingekuwa Yerusalemu.

Mwaka 1648 (Peace of Westphalia) Kanisa na ushawishi wake lilishindwa tena kuhadaa uhuru wa mataifa na kukubali kwamba nchi zinazotaka kujitoa Rumi zitoke tu kwasababu Ulaya yote ilipigana Vita ya miaka thelathini (Thirty Years War) ya kidini kisa tu Warumi walitaka kutawala mataifa yote kidini na kimabavu.

Intelijensia Imara ya Kanisa Katoliki ilishindwa kabisa kumzuia Napoleon Bournaparte kumfunga Gerezani Papa Pius wa VII hadi mwaka 1809 hadi 1812. Hivyo wako Imara lakini lazima uje kwamba mwanadamu atabakia kuwa mwanadamu mwenye udhaifu tu.

Haya tena sasa,
Hao Wakatoliki walishindwa kabisa kuwazima Waprotestanti Chini ya Martin Luther, Walishindwa kabisa kuwazima waanglikani nchini Uingereza mwaka 1601, hebu tafuta kitabu kiitwacho (THE PROTESTANS: RADICALS WHO CHANGED THE WORLD) ndiyo utaelewa jinsi gani Wakatoliki walijaribu kuua maelfu ya Waprotestanti lakini kumbe ndiyo wanaendelea kwachochoea.

Tena walishindwa kabisa kuzima uhuru wa mawazo wa Karne ya 18 na 19 (Age of Enlightenment), japo wao hawakupenda na hawapendi binadamu awe huru kifikra kwasababu Kama watawala wengine tu hapa duniani wanadamu wanapokuwa huru sana kifikra siku zote ni lazima inawaletea sana matatizo watawala wa Kikatoliki tokea siku za Martin Luther, Niccolo Machiavelli, Adam Weishapt, Oliver Cromwell, Napoleon Bournaparte, George Washington, Voltaire, Baron Montesquieu, John Locke na Hugo Grotius.

Ushahidi wa hili hebu angalia hii ndoa ovu baina ya Serikali ya Tanzania na Kanisa Katoliki inavyoumiza na kudumaza maendeleo ya Watanzania. Watanzania tukiwa gizani maswali yatapungua na hasa yale yanayohusu maslahi ya moja kwa moja ya Kanisa la Katoliki.

Hilo la mwisho hujakosea kabisa Ukatoliki ni zaidi ya dini: Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki ametangaza wazi kabisa kuwa hataki hata kusikia Uwepo wa mabadiliko ya Katiba, Haki za Binadamu, Uhuru wa vyombo vya habari, Uwazi na Uwajibikaji wa viongozi mbele ya Ummah. Amini Amini haya atayatolea Waraka Maalum na waumini wote watatii kwa kusema “HUU NI USEMI WA MUNGU” hii haitajalisha kama wako CHADEMA, ACT, NCCR, TLP au CUF.

Teh teh teh teh....
Kwa akili kama zako mtoa mada maendeleo hapa nchini Sahau kabisa.

CC: Consigliere, Gentries
mkuu intelijinsia imara haimaanishi kwamba ndo hushindwi na kitu chochote so kushindwa kwa baadhi ya operations za kanisa katoliki haimaanishi kwamba intelijinsia yao sio imara wako vizuri sana kwenye hyo sekta, umesema kwamba myahudi ndo anayeongoza sasa na yeye ilikuaje akachinjwa na hilter tena kama njiwa??? umemsifia myahudi kwenye mambo mengi ya intelijinsia Ila kuna sehem na yeye hua anachemka, mfano kashindwa kumdhibiti Hezbollah, kashindwa kuzuia iran asiwe na nuclear, alishindwa kuzuia influence ya hilter.
 
mkuu intelijinsia imara haimaanishi kwamba ndo hushindwi na kitu chochote so kushindwa kwa baadhi ya operations za kanisa katoliki haimaanishi kwamba intelijinsia yao sio imara wako vizuri sana kwenye hyo sekta, umesema kwamba myahudi ndo anayeongoza sasa na yeye ilikuaje akachinjwa na hilter tena kama njiwa??? umemsifia myahudi kwenye mambo mengi ya intelijinsia Ila kuna sehem na yeye hua anachemka, mfano kashindwa kumdhibiti Hezbollah, kashindwa kuzuia iran asiwe na nuclear, alishindwa kuzuia influence ya hilter.

Naomba nieleweke vizuri!
Mleta mada amesema kwamba Kanisa la Katoliki ndicho chombo chenye Intelijensia Imara hapa duniani.
Mimi nimekubaliana naye kabisa kwamba Kanisa la Katoliki lina Intelijensia Imara na yenye nguvu sana kupindukia.
Lakini nimekanusha uvumi wake wa kusema kwamba wao ndiyo wanaoongoza au wa kwanza hapa duniani.

Hilo la Intelijensia kushindwa au kutoshindwa kama kigezo umelileta wewe saa hizi.
Niseme tu kwamba naubaliana na wewe kwenye usemi kwamba "Intelijensia Imara haimanishi kwamba hushindwi"
Kwasababu hivi ni vyombo vya Kiraia na hivyo haviwezi kukosa kuwa na mapungufu ya kibinadamu siku na siku.
Kikubwa zaidi hatuhukumu Ufanisi wa mtu kwa kuangalia Mapungufu yake ya Kibinadamu au Human Errors; Tutakuwa tunakosea sana na siku zote tutaishia kumwona ni kiumbe dhaifu.

kitaalamu mafanikio ya taasisi yoyote ile tunaangalia vitu kama:
  1. Mafanikio yake ndani ya muda aliopewa. (Ametumia muda gani kufanikiwa)
  2. Matumizi ya Rasilimali zake. (Ametumia kiasi gani hadi kufanikisha mipango yake)
  3. Uwezo wa kurekebisha madhaifu yake kwa haraka. (Kijifanyia tathmini ya wazi)
  4. Kufikia lengo kuu bila kuruhusu mafanikio ya mpito kukuharibu. (Kufanya kitu kizuri lakini sicho sahihi)
  5. Uimara kipindi cha hatari. (Unafanya nini pale unapoguswa kwenye kidonda)
  6. Aina gani ya maadui umepambana nao. (Wana nguvu kama zako au wamekushinda ??)

NB 1: Wewe mkuu umeangalia upande moja tu wa mambo (Matukio) na kujibu bandiko langu bila kuangalia mlolongo wa mzima wa mambo hadi kupelekea hayo matukio. Walimwengu tunasema "Palipo na moshi hapokosi kuwa na moto" au "Where there is smoke there is fire" hivyo ni lazima tujifunze kupembua vizuri mambo na kujaribu kujua nini kipo nyuma ya pazia. Kumaliza huu Mjadala na kuwekana sawa zaidi hebu tufanye kitu kiitwacho SOMO LA ULINGANIFU au COMPARATIVE ANALYSIS.

Mosi, Kanisa la Katoliki ndilo lenye waunimi wengi kuliko wote duniani, wapo Bilioni moja na pointi mbili.
Hapa nazungumzia kila rangi na kila jamii ya dunia ina mwanandugu ambaye Mkatoliki katika kila Bara.
Bahati nzuri waumini wake wengi ni watu wenye Ushawishi mkubwa hapa duniani katika nyanja zote kama nilivyowatolea mifano hapo juu. Hili limewafanya Wakatoliki kuwa na nguvu sana hapa duniani kwa kipindi kirefu; Lakini Wayahudi wako kama Milioni 14 tu hapa duniani na idadi kubwa waliyowahi kuwa nayo ni Milioni 17 mwaka 1938 ambayo ni sawa na Asilimia 0.8% ya idadi ya watu duniani kwa kipindi hicho.

Kanisa Katoliki anabebwa na Ukubwa ambao unalifanya Kanisa liwe kila sehemu(Omnipresent) kuliko hata K.G.B ya Urusi.
Hivyo wako kila ofisi kubwa , kila mtaa, kila kijiji, kila kitongoji na kila shule hapa duniani. Wayahudi hawapo hapa kila sehemu ya dunia hii lakini mambo wanayoyafanya yana kiwango sawa na ambacho Wakatoliki wanafanya. Hapo mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima ujiulize kuna nini kimefichika hapo.

NB 2: Hakuna mwanadamu anayeweza kuishi hapa duniani bila kuonana na Mkatoliki katika maisha yake yote, lakini kuna uwezekano wa mwanadamu kuweza kuishi hapa duniani bila kuonana kabisa na Myahudi yoyote yule lakini. Hata wewe huenda hujawahi kuonana na Myahudi yoyote yule katika maisha yako lakini unawachukia sana kwasababu matendo yao yanaathiri maisha yako kwa kiasi kikubwa sana: Hapa tunaanzia kwenye Mifumo ya Kibenki ya dunia (Central Banking Systems) wanayomiliki hadi nguvu katika vyombo vyombo vya habari kama FOX, CNN na ABC.

Pili, Kanisa la Katoliki kwa muda wa zaidi ya Miaka 1000 lilitambaa nyuma ya migongo wa Falme za Ulaya: Ilikuwa ngumu kutenga maslahi ya Kisiasa ya Wafalme kama Charlemagne, Richard The Lion Heart na Louis The Bourbon kwasababu hawa wafalme walijua dhahiri kabisa kwamba bila nguvu ya ushawishi wa Kanisa na dini wasingeweza kutawala nchi zao kirahisi. Hebu kumbuka Kilichomfanya hadi Mfalme Constantine kuwa Mkristo kilikuwa ni kutaka kuungwa mkono na Wakristo waliokuwa kwenye Dola la Rumi ambaa walikuwa na idadi kubwa na bahati mbaya walichukia sana Mfumo wa Rumi kwasababu waliteswa sana na Wafalme wa Rumi kama Nero waliotaka ukristo upotee kabisa. Hivyo Wafalme walitegemea Kanisa kusaidia kufikia malengo yao ya kisiasa na Kanisa lilitegemea wafalme kulinda maslahi mapana ya Kanisa. Mifano hai katika hili ipo mingi sana hata hapa Tanzania ndicho kinachoendelea na kimeanza tokea zama za Uhuru na Mzee Nyerere: kwamba Kanisa linasaidia Serikali ya Tanzania kwenye mambo fulani fulani huku Serikali ya Tanzania inalinda maslahi fulani fulani ya Kanisa la Katoliki na ndiyo maana unaweza ukamtukana Mzee Kakobe lakini huwezi kumtukana Kadinali Pengo.

Haya Wayahudi kwa zaidi ya miaka 2000 walikaa uhamishoni bila kuwa na nchi yao wenyewe,
  1. Wameuliwa na Warumi Mnamo Karne ya kwanza mwaka 70 A.D (Hekalu la Suleimani likavunjwa)
  2. Wameuawa sana na Waarabu na Waislamu baada ya kukataa kubadili dini zao kipindi mtume yupo hai.
  3. Wameuwawa sana na Kanisa Katoliki kuanzia Karne ya 12 hadi 19. (The Inquisition)
  4. Wameuwawa sana na Waprotestanti baada ya Martin Luther kushindwa kuwabadilisha (Soma kitabu chake kinaitwa JEWS AND THEIR LIES)
  5. Wameuwawa na Warusi, Wajerumani, Wamarekani na Wapolandi.
Yote haya wamefanyiwa bila kwasababu hawakuwa na taifa lao,
Lakini katika yote hayo na udogo wao huo wao ndiyo waliweza kutimiza malengo ya kutisha katika dunia hii ndani ya muda mfupi. Walifanya ambayo hata Kanisa la Katoliki lilishindwa kipindi linatawala Ulaya yote na bado lina nguvu.
  1. Waliweza kuutwaa Palestina bila kutmia maghuvuu mengi: kitu ambacho kanisa imekuwa ikijaribu kukifanya tokea Karne ya 6 hadi 15 kwa kupitia Vita za Kidini zilizopigwa na mataifa makubwa(Crusades) Kanisa lilitamani sana Kusambaratisha dola la Kiislamu la Uturuki (Ottoman Empire ) lilikuwa linatawala Mashariki ya kati kwa zaidi ya miaka 500. Kibaya zaidi hata Vita ya Kwanza ya Dunia 1914-1919 inapiganwa miaka miwili ya mwanzo alishinda Ujerumani akiwa na maswahiba wake Austria na Uturuki na Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Arthur Zimmerman alipanga kabisa Uingereza ikubali kushindwa na warudi kwenye hali ya mwanzo (Status Quo Ante) na akakubali. Lakini Wazayuni wakafanya fitna na kumwambia Uingereza usikubali sisi tutamuingiza Marekani kwenye hii vita Upande wako lakini baada ya hapa tunaomba utupe Palestina kama nchi. Mwaka 1948 wakajipatia nchi bila kutumia maghuvu mengiiiiii na dunia ikabaki inashangaa mpaka leo na ndiyo maana wanitwa wavamizi: leo hii bado wapo na wanajifanyia wanavyotaka lakini dunia nzima inaogopa kuwakosoa. (Jiulize kwanini kakundi kadogo kanatusumbua wote ??)
  2. Wamefanikiwa kushikilia Uchumi wa dunia kwa kutumia mifumo ya Benki: kama unafuatilia historia kwa undani zaidi utakuja kujua kwamba Kanisa Katoliki ni Wataalamu sana sanaaa wa michezo ya Kibenki na kiuchumi, lakini kuna sehemu ziliwasumbua sana kama Uturuki na Mongolia. Mapapa wengi wa Katoliki walijaribu kutawala eneo la kibiashara la Uchina liitwalo Chinese Silk Road lakini kwasababu ya Vichaa kama Chengis Khan na Qublai Khan walishindwa kufanya hivyo, kibaya zaidi baada ya kuzaliwa Uprotestanti ndiyo kabisaaa ikawa ngumu sana. Lakini haya Mayahudi hayakutumia nguvu nyingi sana wakabuni mfumo wa kukopesha mataifa wakati wa Vita na wakalikopesha taifa lenye nguvu duniani kama Uingereza kipindi hicho na mchezo ukawa umekwisha kwasababu . Meyer Rothschild akajisifu kabisa kwa kusema "The man that controls Britain's money supply controls the British empire. And i control the money supply" Haikuishia hapo wakatuletea mfumo wa Central Banking ambao umewezesha uchumi wa dunia kushikiliwa na Mataifa ya Magharibi kama Marekani. Leo hii hatupumui wala hatufanyi lolote bila wao kujua kinachoendelea.
NB 3: Yote haya wameyafanya na mengine mengi wameyafanya wao peke yao kama jamii hata kabla ya taifa la Israeli halijazaliwa. Ukumbuke zaidi kwamba kipindi chote hichi walikuwa wanafukuzwa toka nchi moja hadi nyingine na wanauliwa sana kutokana na tabia zao. Umetolea mfano Adolf Hitler kuwaua kama kuku lakini pia umesahau kwamba ni wao wenyewe ndiyo waliokuwepo kwenye Vyombo vya Usalama na Kisiasa vya Urusi kama The Red Army, K.G.B, G.R.U na C.P.S.U wakapiga fitna kubwa sana na wakamsaidi sana Joseph Stalin katika kuvunja mgongo wa jeshi la Adolf Hitler. Au unadhania ile chuki ya Wanazi na Hitler ilikuwa ni ya bure tu ??? (Adolf Hitler alikuwa anawaogopa sanaaa, ndiyo maana akataka awafute wote lakini wakamshinda bado)

Tatu, Kanisa la Katoliki katika miaka yake 1000 ya utawala limekuwa likipata misuko-suko mingi ya ndani mwake.
Maadui wengi na wakubwa wa kanisa ni wale ambao walitoka ndani ya Kanisa na walikuwa wafuasi sugu sanaaaa.
Hebu angalia mifano hai kuona maadui wakubwa wa Kanisa:
  1. Martin Luther na Waprotestani.
  2. Adam Weishapt na The Bavarian Order of the Illuminati ilianzishwa.
  3. Napoleon Bournaparte wa Ufaransa.
  4. Waanglikani wa Uingereza.
Maadui wachache kama Uislamu na Orthodox walitoka nje na walipambana na Kanisa pale tu lilipotaka kuingilia anga zao kama Palestina kwa nchi kama Uturuki na Kueneza Ukatoliki kwa nchi za Ulaya Mashariki zilizokuwa chini ya Urusi. Wayahudi wameanza kupambana na maadui kama Dola la Mrumi, Madola yote ya Kiislamu kuwahi kutokea, Falme Karibia zote za Ulaya.

NB 4: Hakuna utawala mkubwa duniani (WORLD SUPER POWERS) ambao ushawahi tokea duniani huko nyuma halafu usifarakane na wayahudi. Kuanzia Misri kipindi hicho ni Kemet, Babeli, Umedi na Uajemi, Ugiriki, Rumi hadi leo kufikia U.S.S.R ya 1991 lakini jamaa wanadundika tu kama ambavyo Kanisa Katolikialinadundika leo hii baada ya kupitia misukos suko mikubwa huko nyuma.

Najua hutapenda kusikia haya lakini pima mwenyewe, fanya utafiti wako mwenyewe na ujipatiea majibu yako mwenywe.
Usininukuu vibaya kwasababu haya ni maoni yangu binafsi.........
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom