Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

Tumsifu Yesu Kristu....

Ile Sala ya novena Tanzania nzima inaanza lini
 
Sasa wewe uliyeishia madrasa unabishana na mimi niliyekuwepo! Hata hivyo wapi nimeandika mkutano ulitayarishwa na kanisa Katoliki!
Hakuna mkutano ulioitishwa na kanisa katoliki weeh mgalatia..ndo wale wale una ego za Tony kapola ndo inspiration mnazojiona bora kulikoni kiumbe chct humu..
Sasa kusoma kwako kote ndo umeambiwa mtungi wa gesi umejazwa na mdomo ukaamini ndo usomi huo yanii sie madrasa ndo vipofu au nyie?
Na kusoma kwako kote talaka unaenda itafuta mahakamani tena unamkuta hakimu muislam..sasa umesoma au weeh ni kasongo tuu 🤣🤣
 
Wakati wagalatia wanafaidi hao wa Ishmael walikuwa wapi?
TAA ndo chama kwnz cha harakati za uhuru nchi hii chama ambacho kilikua chini ya viongozi wake wakiwa ni waislam na baraza lake likiwa na mashekhe na wazee wa kiislam...
Wkt huo nyie full kujiachia na kujipendekeza kwa wakoloni na kutupiga vita hata tusipate fursa za kusoma na ikipatikana lazima ubatizwe ili usome...
Shida ilianza tulipopata uhuru kila nyanja mwl Nyerere alwaweka kutokana na mlipata fursa za kusoma lkn matokeo yake mkakengeuka mkaanza ufisadi na kupoteza uzalendo wa nchi na kumuona bwege mgalatia mwenzenu sasa iweje leo mnajiona mnaweza kila kitu mpk kujaza mitungi ya gas kwa mdomo pia tukae tuamini kisa eti umesoma una degree na masters?..mashekhe walianzisha chama cha kisiasa cha kwnz chini bila ya kuwa na masters wala kuleta egos zozote
 
Sijawahi kusikia mtu wa dini nyingine aliyekataliwa kusoma au kutibiwa katika shule na hospitali za wagalatia. Huo ubaguzi wa kidini katika elimu ulisimuliwa na nani? Na mpaka sasa mnatibiwa katika hospitali zao na kujazana katika shule zao. Uwe na aibu kidogo unapoleta mambo ya kibaguzi.

Amandla...
 
Unamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.

Amandla...
 
Haya maumiv yote ni kwasababu imeguswa angle ya kutokua na haki kwa watawala!!
 

Attachments

  • IMG_20230114_175213.jpg
    21.5 KB · Views: 18
Hospital au shule ipi inayotoa huduma hizo buree bila malipo tenaa isitoshe huduma zenyw ni ghali mpk ikapelekea bunge likahoji iweje taasisi za kidini tena zenu wagalatia ni huduma za kibiashara na ni ghari mlalahoi hutii mguu..
Mpk serikali inakuja kushtuka misamaha ya kodi iliyokua ikitoa kwa taasisi za kidini ni kazi buree it's too late kipindi cha Mkapa akanza kiasi kwa sheria mpya za VAT akaja Kikwete akaongezea akaja mwamba mwnyw Magufuli akapiga nyundo kabisaa hakuna bure wala misamaha ya kodi tena ndo bifu lenu nyie wagalatia lilipoanzia hamna lolote hamuwezi kushindana na serikali matapeli wakubwa nyie wanyonyaji juzi bunge tena kipindi hichi Samia wabunge tena wagalatia wenzenu wanapiga kelele huduma za hospitali na shule hasa zebu wagalatia ni ghali
 
Unamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.

Amandla...
Hilo hapo baraza la wazee wa TAA baada ya kulibadilisha lisionekane ni la kiislam tena mpk ikabidi iwekwe amri wkt wa kufungua vikao isitumike assalaam alykum
 

Attachments

  • Screenshot_20250813-221844_Chrome.jpg
    352.8 KB · Views: 19
Sema kanisa na mapadri wao ila sio wananchi wake maana wengi viongozi mambwa haya
 
Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.

Amandla...
 
Hilo hapo baraza la wazee wa TAA baada ya kulibadilisha lisionekane ni la kiislam tena mpk ikabidi iwekwe amri wkt wa kufungua vikao isitumike assalaam alykum
Baraza lake wazee wa TAA yumo Nyerere? Unanipotezea muda. Kwaheri.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…