Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,897
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao

UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.

Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.

Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.

Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
 
TEC hawajawahi kuwa CHAWA wa mwanadamu. Wale jamaa PhD zao walizipata kihalali.

Watakualika kiroho safi uchangie ujenzi wa Kanisa lao au kituo cha kutolea huduma za kijamii! Siku ukizingua, au ukiwaletea mazoea; usitegemee watanyamaza! Watakuzingua tu.
 
Wamefanya nini hicho kisichosemwa na ambacho hatuoni hata impact yake ktk kudeal na wadhalimu?
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
IMG-20250812-WA0014.jpg
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Ila wkt wa kutafuta uhuru lugha haikua hii wkt huo nyie wagalatia ndo wanufaika wakubwa..Nyerere alipoingia madarakani kabidhiwa nchi nyie ndo mlikua wanufaika kwa kuwa mlipata fursa ya kusoma na kusomeshwa na mkoloni kwa misingi ya ubaguzi wa dini
Mkaanza ufisadi na kumchezea shere mgalatia mwenzenu Nyerere...nchi ikakosa kusonga mbele sasa ndo mnajifanya nyie ndo mnajua hatma ya hii nchi kwa kuwa?
 
Wakati wagalatia wanafaidi hao wa Ishmael walikuwa wapi?
 
Ila wkt wa kutafuta uhuru lugha haikua hii wkt huo nyie wagalatia ndo wanufaika wakubwa..Nyerere alipoingia madarakani kabidhiwa nchi nyie ndo mlikua wanufaika kwa kuwa mlipata fursa ya kusoma na kusomeshwa na mkoloni kwa misingi ya ubaguzi wa dini
Mkaanza ufisadi na kumchezea shere mgalatia mwenzenu Nyerere...nchi ikakosa kusonga mbele sasa ndo mnajifanya nyie ndo mnajua hatma ya hii nchi kwa kuwa?
Wewe hicho ni kichwa chako kweli au shingles imefura?
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Ni kweli kabisaa gentleman,
wapewe maua yao kwasabb makasisi katoliki kwa kulawiti vijana wadogo, kuvunja ndoa za waamini wake, kupiga mimba visichana vya watu na kutelekeza watoto mitaani, kudhulumu maisha ya maalbino hiyo ndio sura ya kanisa na kazi ya maana sana wanafanya.

wakatoliki wapewe maua yao kwasabb hawapendi na hawataki kuskia kabisaa habari ya kiongozi wa nchi asie mkatoliki, ni muhimu sana wakapewa maua yao kwa ubaguzi wa kidini na chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki 🐒
 
Sawa sheikh . Waislam ndiyo hawana matatizo ya kunyanyasa na kutoa haki kwa watu. Kwenye jumuia tunajua nani anasaidia na nani ni mbinafsi. Hospital za kwenye jamii za wenzetu ziko wapi? Shule za kwenye jamii ziko wapi na zinafanya vizuri au kufelisha watoto tu. Haki ni muhimu kwa jamii yetu na Mungu wetu ataondoa na kuzuia wapinga haki na tuko hapa tutaona
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Wanajitoa ufahamu baada ya yule mmoja wao kutolewa ngeu.

Wakati wa yule mkatoliki mwenzao walikuwa wapi kuisimamia nchi badala yake walimezea mateso yetu?

Nasema hiviiii: wakikaidi wapigwe tu.
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
RC ni kanisa lililowafanyia mabaya kwa binadamu kuliko serikali za ki-dikiteta
Imeandikwa vema jtk kitabu hiki;
"The dark side of the Catholic Church : crimes committed against humanity and the human spirit / Antony Stockwell"
 
Back
Top Bottom