Katika Uwanja wa Jamhuri wa Jijini Dodoma Simba imeichapa JKT Tanzania Mabao 4 kwa 0

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumapili 04, Oktoba 2020. Leo zitapigwa mechi tatu(3) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya GSM mbili kukutana Jana na GSM Form kuibuka mshindi dhidi ya GSM Coconut, lakini katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kuna bonge la mechi kati ya JKT Tanzania FC na Simba SC.

Je, JKT Tanzania FC ama Simba SC kuibuka mbabe? Kaa nasi usikose ukahadithiwa. Kumbuka mtanange ni kuanzia saa 10:00 jioni.

"Kulitaka mwana, kulipewa mwana".
#SimbaNguvuMoja.
#AnotherLevel.
View attachment 1589887
 
Nawaona Uto wanaongoza kwa muda.



120830639_205772840917631_5204559896252439940_n.jpg
 
Back
Top Bottom