OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Professor Ndio kwanza kazi apewe nafasiNdalichako awajibike
Professor Ndio kwanza kazi apewe nafasiNdalichako awajibike
Kama tatizo ni lugha tungetegemea somo la kiswahili liongoze kwa ufaulu!? Is that the case?This is a very serious issue; lina-contribute more than 25% ya matokeo mabovu shule za Serikali. Mtoto aliyeanzia English medium tangu vidudu huwezi kumfananisha na aliyetokea Kiswahili medium wanapoingia F.I. Nina kibinti changu kiko Class V; hizo nondo wanazopewa ni balaa; kuanzia Mathematics, English, etc. For sure it is great; acha tu watupige hizo ada ni halali yao na naomba Serikali isiingilie kabisa hili suala kwa shule binafsi kama walivyotaka kufanya. Waboreshe zao tutapeleka watoto huko.
Exactly; that is the case. Matokeo ya 2016 yanaonesha Kiswahili ndilo somo lililoongoza kwa ufaulu; the last likiwa Mathematics kama kawaida.Kama tatizo ni lugha tungetegemea somo la kiswahili liongoze kwa ufaulu!? Is that the case?
Shule nyingi zimefaulu kwa kishindo kwa kiwango cha F katika somo la KISWAHILI .Je nacho chafundishwa kwa kithungu ?Tatizo ni "Kithungu" masomo yanafundishwa Kimalikia wakati walimu na wanafunzi hawaijui hiyo lugha!?
What do we expect?
Nashauri Shule zote (Form 1-6) waweke wakalimani
huyu itakuwa wa nyeburu secondaryUnajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?
Utakuwa ni form six failure toka "kidete secondary" pale Mjimwema Wilaya ya Kigamboni au Somangila Day ya huko huko Kigamboni.
Yafanyike haya kama hatutaona mabadiliko:katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Kunawatu wanasema kwamba sababu kubwa ya shule za serekali kutokufanya vizuri ni.Kuna mambo mengi sana yanayofanya shule za serikali zisifanye vizuri. Na mjadala wa kuzifanya ziwe shindani kama za binafsi hauwezi kufikia mwafaka bila baadhi ya watoto na wazazi kuhathirika kwa namna moja au nyingine.
Umesema hawana morali halafu unasema ni wavivu. Kipi ni kipi!!!katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Walivyo wa ajabu suluhu la tatizo hili watazifungia za watu binafsi 93, ili 7 za serikali ziwe za kwanza.katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Nikatagemea ungezitaja hizo shule 7katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Acha uchochezi serikali imeboresha elimu kwenye shule zake,hahahahahah!katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu