Katika shule bora 100, shule za seriakli ni 7 tu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
Profesa Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
 
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb:prof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Kale ka salary na kenyewe ni tatizo pia , mwambie pia wazir waongezewe pia salary ili wawe na motisha ya kufundisha, hawezi kupata moraly ya kufundisha wakati mshahara haumaliz mwezi ikifika tarehe 18 tu hoi
 
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb:prof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu

Unajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?

Utakuwa ni form six failure toka "kidete secondary" pale Mjimwema Wilaya ya Kigamboni au Somangila Day ya huko huko Kigamboni.
 
Ndalichako ni jipu
 
Juzi nilikua naangalia taarifa ya habari ITV wanasema hivyo vitabu wanavyotakiwa kufundishia hakuna hata kitabu kimoja mashuleni, sa hivi wanatumia uzoefu, vile vilivyopo vimeshatolewa kwenye mtaala, sasa hapo unamlaumu kwa lipi mwalimu?
 
Tatizo ni "Kithungu" masomo yanafundishwa Kimalikia wakati walimu na wanafunzi hawaijui hiyo lugha!?
What do we expect?

Nashauri Shule zote (Form 1-6) waweke wakalimani
Una uhakika mkuu? Mbona sisi tulisoma huko na kupasua vibaya mno.

Nilienda A - Level shule ya serikali mchepuo wa Sayansi, PCB. Mwalimu wa Physics alikuwa ndiye headmaster, mwalimu wa biology alikuwa msaidizi wa headmaster (na hawa wote walikuwa busy mambo ya utawala). Chemistry, tulikuwa tunaazmishwa mwalimu kutoka shule binafsi.

LAKINI kila anapopata muda headmaster anakuja kupiga pindi hata usiku ... Practical zote alitufundisha, the same to second master. Morale yao ilikuwa juu..!

Mwisho wa siku tukatoka na kwenda chuo.

Tatizo linajulikana, serikali imekuwa mtesaji wa watumishi wake ... Sio kwenye elimu tu, pote huko huduma hazina morale.
 
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb:prof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Msipende kuangalua upande mmoja je mshahara wa mwalumu wa serekali na private ni sawa hapo ndo utajua kwa nini morali ni ndoho kwa walimu wetu wa serikali
 
Tatizo ni "Kithungu" masomo yanafundishwa Kimalikia wakati walimu na wanafunzi hawaijui hiyo lugha!?
What do we expect?
...
This is a very serious issue; lina-contribute more than 25% ya matokeo mabovu shule za Serikali. Mtoto aliyeanzia English medium tangu vidudu huwezi kumfananisha na aliyetokea Kiswahili medium wanapoingia F.I. Nina kibinti changu kiko Class V; hizo nondo wanazopewa ni balaa; kuanzia Mathematics, English, etc. For sure it is great; acha tu watupige hizo ada ni halali yao na naomba Serikali isiingilie kabisa hili suala kwa shule binafsi kama walivyotaka kufanya. Waboreshe zao tutapeleka watoto huko.
 
Unajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?

Utakuwa ni form six failure toka "kidete secondary" pale Mjimwema Wilaya ya Kigamboni au Somangila Day ya huko huko Kigamboni.
unijui sikujui bora ukae kimya
 
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb:prof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu

wanalala mchana au usiku! tuanzie hapo kwanza!
 
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb:prof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
elimu sio mwalimu tuu dogo..na wasiwasi na elimu yako kama ata mzunguko wa elimu hauujui...
 
Unajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?

Utakuwa ni form six failure toka "kidete secondary" pale Mjimwema Wilaya ya Kigamboni au Somangila Day ya huko huko Kigamboni.
kilaza huyo
 
Mimi nawasifu sana walimu tena wanatakiwa washikamane zaidi watumie mbinu hiihii kuonyesha umuhimu wao kwa serikali na jamii nzima katika kudai madai yao.
Wala wasiogope kushushwa vyeo kwani " MBEGU LAZIMA MOJA IFE KWENYE UDONGO ILI ICHIPUE NA KUZAA MATUNDA MENGI"
 
Back
Top Bottom