Mkuu, kwanini haunielewagi hivi?...Huyu mshkaji ujue kama simwelewagi ivi
Naona kama unamambo mengi Sana yani pilika Mana kwa siku unaeza achia hata nyuzi 5-6 ila nakupongeza kwa uandishi mzuriMkuu, kwanini haunielewagi hivi?...
Sipo busy sana. Mimi ni Taxi DriverNaona kama unamambo mengi Sana yani pilika Mana kwa siku unaeza achia hata nyuzi 5-6 ila nakupongeza kwa uandishi mzuri
Sawa mkuu Pamoja SanaSipo busy sana. Mimi ni Taxi Driver
Debtors ni wadaiwa na co wadai mkuu.Historia ya uhasibu inaonyesha kwamba Dr na Cr zilikuwa zilitumia na wafanyabiashara katika kutunza mahesabu yao. Debits zilikuwa kwa ajili ya kurekodi debtors(wadai). Debts were debtors and abreviated as Dr. kwa hiyo Dr oringinally ni Debtors. Ni hivyo pia kwa Cr sio kwamba r inawakilisha r ya Credit,Big No. It is abbrevated from Creditor-Cr. Hayo ni mambo ya karne ya 18 huko
Pole sana mkuu...Hii kitu nlikuwa naumiza kichwaaaaaa
Mkuu inayotumika ni hapo ni noun yaani Creditors na Debtors. Sio Debt na Credit.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?
Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".
View attachment 1626955
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sindano tena mkuu? Duuuh kweli wewe kibokoIla tu nkajisemeaga Dr ni doctors sasa swali kaingiaje kwenye pesa?. yaani Niko bank afu naona neno Dr akili ikawaza sindano ghafla.
Umeulizwa kwa kiswahili wewe umeenda ku google huko na kuleta kiingereza, 😁😁 be proud of your mind and languageThe terms debit (DR) and credit (CR) have Latin roots: debit comes from the word debitum, meaning "what is due," and credit comes from creditum, meaning "something entrusted to another or a loan."
When it comes to the DR and CR abbreviations for debit and credit, a few theories exist. One theory asserts that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum, which are debere and credere, respectively.
Another theory is that DR stands for "debit record" and CR stands for "credit record."
Finally, some believe the DR notation is short for "debtor" and CR is short for "creditor"
Hopefully this will answer your question!
Hayo maneno aliyouliza ni ya lugha ya kiswahili?Umeulizwa kwa kiswahili wewe umeenda ku google huko na kuleta kiingereza, be proud of your mind and language
Ina maana hakuna jibu moja?...When it comes to the DR and CR abbreviations for debit and credit, a few theories exist.
Kila mmoja anasema jibu lakeWhen it comes to the DR and CR abbreviations for debit and credit, a few theories exist. One theory asserts that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum, which are debere and credere, respectively
mhhh...Hayo maneno aliyouliza ni ya lugha ya kiswahili?
Kwa nini wewe basi usinge google ukamletea maana yake kwa kiswahili!?
Halafu angalia hitimisho lako, ungekuwa unajivunia lugha yako ungehitimisha hivyo!?