KATIKA KUMBUKUMBU: Jambo/Tukio

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Weka jambo ambalo ukikumbuka tafakari yake inakurusisha nyuma sana Leo ukikumbuka unabaki na tabasamu /furaha /huzuni.


Mimi nakumbuka wakati im Coming from the cold (sina kitu) ilikuwa inaweza pita siku simu isilie. ..hamna mtu anayepiga.

Nikikumbuka natabasam. ..get money get honey.
 
Mi nakumbuka mpaka nafika form two sikuwahi kuvaa kiatu kipya Ila sahizi nkivaa Leo naweza kirudia after two weeks.
Ama kweli glory to the Almighty God
 
Nakumbuka nilivyopata ajali mbili. ..moja ya gari nikazimia nilivyozinduka nikakuta wakina mama wanalia wakidhani nimekufa.

Nakumbuka ajali ya kuzama kwenye maji. ..kuja kushtuka nimeokolewa na wananichapa na mchanga nitapike maji niliyomeza.

Nikiangalia ukuu wa Mungu nastaajabu tu.
 
Back
Top Bottom