Sasa huyo rafiki yako si ungeweka AKA (au jina la bandia) kama hilo ni jina lake la kweli huoni kwamba sio busara na ni kuingialia maisha ya mtu kuanza kumjadili ?

I wish ningekuwa muhindi nikajua wanachukuliaje. Lakini najua kuna wababa waswahili, na hawawataki watoto wao waswahili. This has nothing to do with wahindi, much to my being a black racist!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.