dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,132
- 49,392
Unanikumbusha hadith ya lukman punda na mtoto wake. Mie nangojea mzee mtei amkosoe kuwa jk ni mdini ameteua watu wa dini moja.
Mtei hana haja ya kufanya hivyo kwa leo; In fact kwanza JK bado ana deni. Unataka kujifanya hujui ule uteuzi wa kwanza wa "wabunge wa rais" aliwajaza akina nani humo tena vingine vikongwe alimradi ni "mwenzetu". Na Tume ya Katiba pia akajaza akina nani? Ndio anajaribu ku-balance hivyo baada ya nafsi kumsuta. Au hilo hulioni Mkuu?