Wangeishije milele wakati hawakula mti wa uzima,nafikiri kifo kingekuwepo tu,hata tusingejua Mema na mabaya.Lakini warumi najaribu tu kuwaza kuwa kufa walikoambiwa wanadam na MUNGU ni kule kuwa na ukomo wa kuishi! Mwanzoni ilikuaa mwanadan aishi milele na kutokuzeeka.
Sema nnachoshangaa hapa ni kwann hii hukumu ilienda kwa viumbe vyote na haikuishia kwa wanyama tu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia baada ya dhambi hiyo ndipo binadamu alianza kufa na hadi leo tunakufa hakikaWalikufa kiroho Yesu alipokuja ndipo tulipofufuliwa kiroho. Shetani aliona kwa maono yake ila kiukweli walikufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:
Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.
Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...
Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'
Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.
The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.
Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.
He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.
The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.
It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.
"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.
Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."
He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.
Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".
He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"
Source: Pope likens fake news to Bible's serpent
Katika hilo bandiko umeona wapi nimeAndika hayo uyasemayo? Weka nukuu... Ukishindwa basi elewa kuwa una "hallucinations" na hiyo ni dalili kuwa u "schizophrenic".Hivi wewe faiza aliyekwambia Papa ndo mwakilishi wa ukristo Ni nani?mbona unapendaga kuwa Na kimbelembele kweny mambo hata usiyoyajua?so akisema papa ndo unadhani Ni Kweli ?sasa kwa taarifa yako papa anasikilizwa Na wakatoliki tu tena wakatoliki baadhi sio wote.Asilimia kubwa ya madhehebu ya kikristo yako against papa.Wewe kusema papa ndo anawakilisha ukristo Ni sawa Na Mimi MKRISTO Leo niseme sheikh wenu sheikh yahya ndo anaewakilisha uislamu huku Tanzania Na yale majini aliyokuwa anatumia basi Dini yenu waislamu wote inakubali kutumia majini.Upunguze kiherehre kwa vitu usivyovijua especially Dini za watu unaboaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos kaka! Huyo shetani angeaminiwa Kama kina Adam wangekuwepo Leo Ila kwa hakika walikufa?kaka mleta mada kifo hakikuwa Mpango wa Mungu in the beginning kimekuja baada ya dhambi Na hakika watu wanakufa.Mungu alimwmbia hakika atakufa lakini hakukuwa Na timeframe .Mungu hata Leo anaweza kukwambia I will bless you.Unaweza ukawa blessed Leo au hata after 3yrs ndo uka receive blessings zako.Yusufu aliomgea Na Mungu katika njozi like kitu kilikuja kutimia ages after .Mungu alimwmbia Ibrahim atambariki atakuwa baba wa mataifa mengi wakati mkewe akiwa mgumba.Ile haikutimia kesho yake but ilitimia.You need to learn about the promises of God first and how he operates ...he promised they would and they didNingemuamini shetani endapo Adam na hawa wangekuwepo hai mpaka leo..
Mungu hakusema mtakufa papo hapo alisema mtakufa na kweli walikufa
Mungu hakuongopa kusuhu kufa, kabla ya adam kula mti wa kati Mungu aliwaambia hawatakufa wataishi milele hii ina maana kama adam angemtii Mungu basi mpaka saivi tungekuwa nae.
kwaiyo Mungu hakuongea uongo aliwaambia mkila mtakufa na kweli adamu alikufa na eva nae alikufa na wewe mkuu utakufa.
mkuu mtoa mada uelewa wako hapo kwenye kufa ulidhani yani pale adam kaling'ata tu tunda basi palepale alitakiwa kufa, Mungu hakumaanisha hivo mkuu
Mungu hakuongopa kusuhu kufa, kabla ya adam kula mti wa kati Mungu aliwaambia hawatakufa wataishi milele hii ina maana kama adam angemtii Mungu basi mpaka saivi tungekuwa nae.
kwaiyo Mungu hakuongea uongo aliwaambia mkila mtakufa na kweli adamu alikufa na eva nae alikufa na wewe mkuu utakufa.
mkuu mtoa mada uelewa wako hapo kwenye kufa ulidhani yani pale adam kaling'ata tu tunda basi palepale alitakiwa kufa, Mungu hakumaanisha hivo mkuu