Katika hili, namwamini Shetani

Katika hili, namwamini Shetani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.

Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.

Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.

Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.

Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.

Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.

Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?

Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?

Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"

Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani

Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .

Pia Soma

Nakupenda sana Shetani - JamiiForums

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini warumi najaribu tu kuwaza kuwa kufa walikoambiwa wanadam na MUNGU ni kule kuwa na ukomo wa kuishi! Mwanzoni ilikuaa mwanadan aishi milele na kutokuzeeka.
Sema nnachoshangaa hapa ni kwann hii hukumu ilienda kwa viumbe vyote na haikuishia kwa wanyama tu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangeishije milele wakati hawakula mti wa uzima,nafikiri kifo kingekuwepo tu,hata tusingejua Mema na mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua Shetani Bado Muongo na anawafuasi wengi kwenye uongo wake zaidi ya Bil 6.
Ameaminisha watu kuwa wanadamu ni Immortal (hawafi) ila wanabadilika tu form.
Ndio Maana watu wanafundishana ROHO/NAFSI HAIFI.
Mungu aliweka wazi '' mwanadamu ni Udongo hakika mavumibi (Sio kwingineko, naa kama kuna kingine kinabaki hicho sio mwanadamu na hakipaswi kujadiliwa) UTARUDI.

Ukisikia mtu anakuambia kuna kitu chenye uwezo wa kibinadamu huwa kinaenda mahala mtu afapo huyo ni Muongo au Product ya Uongo wa shetani (Hamtakufa).
Huyo au kikundi hicho Kinamuamini Shetani kuliko Mungu. '' Kila roho itendayo dhambi ITAKUFA).

Haihitaji ujue kigiriki au kiebrania kung'amua hilo.
 
Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:

Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.

Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...

Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'

_99726234_6c21260a-3cc2-4a16-8b59-d8decdcc1fbd.jpg

Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.

The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.

Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.

He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.

The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.

It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.

"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.

Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."

He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.

Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".

He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"

Source: Pope likens fake news to Bible's serpent
 
Hivi wewe faiza aliyekwambia Papa ndo mwakilishi wa ukristo Ni nani?mbona unapendaga kuwa Na kimbelembele kweny mambo hata usiyoyajua?so akisema papa ndo unadhani Ni Kweli ?sasa kwa taarifa yako papa anasikilizwa Na wakatoliki tu tena wakatoliki baadhi sio wote.Asilimia kubwa ya madhehebu ya kikristo yako against papa.Wewe kusema papa ndo anawakilisha ukristo Ni sawa Na Mimi MKRISTO Leo niseme sheikh wenu sheikh yahya ndo anaewakilisha uislamu huku Tanzania Na yale majini aliyokuwa anatumia basi Dini yenu waislamu wote inakubali kutumia majini.Upunguze kiherehre kwa vitu usivyovijua especially Dini za watu unaboaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mleta kwani adam na hawa wapo mpaka leo? siwalikufa? au tatizo ni kwakuwa ilichukua muda wao kufa ulitaka Mungu awambie mtakufa baada ya kipindi fulani mana sio kwamba Mungu aliwambia mtakufa hapo hapo aliwaambia tu mkila mtakufa na kweli mwisho wa siku walikufa
 
Hivi wewe faiza aliyekwambia Papa ndo mwakilishi wa ukristo Ni nani?mbona unapendaga kuwa Na kimbelembele kweny mambo hata usiyoyajua?so akisema papa ndo unadhani Ni Kweli ?sasa kwa taarifa yako papa anasikilizwa Na wakatoliki tu tena wakatoliki baadhi sio wote.Asilimia kubwa ya madhehebu ya kikristo yako against papa.Wewe kusema papa ndo anawakilisha ukristo Ni sawa Na Mimi MKRISTO Leo niseme sheikh wenu sheikh yahya ndo anaewakilisha uislamu huku Tanzania Na yale majini aliyokuwa anatumia basi Dini yenu waislamu wote inakubali kutumia majini.Upunguze kiherehre kwa vitu usivyovijua especially Dini za watu unaboaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hilo bandiko umeona wapi nimeAndika hayo uyasemayo? Weka nukuu... Ukishindwa basi elewa kuwa una "hallucinations" na hiyo ni dalili kuwa u "schizophrenic".
 
Ningemuamini shetani endapo Adam na hawa wangekuwepo hai mpaka leo..
Mungu hakusema mtakufa papo hapo alisema mtakufa na kweli walikufa
Kudos kaka! Huyo shetani angeaminiwa Kama kina Adam wangekuwepo Leo Ila kwa hakika walikufa?kaka mleta mada kifo hakikuwa Mpango wa Mungu in the beginning kimekuja baada ya dhambi Na hakika watu wanakufa.Mungu alimwmbia hakika atakufa lakini hakukuwa Na timeframe .Mungu hata Leo anaweza kukwambia I will bless you.Unaweza ukawa blessed Leo au hata after 3yrs ndo uka receive blessings zako.Yusufu aliomgea Na Mungu katika njozi like kitu kilikuja kutimia ages after .Mungu alimwmbia Ibrahim atambariki atakuwa baba wa mataifa mengi wakati mkewe akiwa mgumba.Ile haikutimia kesho yake but ilitimia.You need to learn about the promises of God first and how he operates ...he promised they would and they did

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu warumi, pengine Mungu alizungumzia matokeo ya utambuzi, yamkini mkila tunda mtajua mema na mabaya ambayo yatapelekea maangamizi (kifo).
Mi sina shida na Mungu ingawa kwa hili ali over react sana ukilinganisha na mazingira ya kosa lenyewe, Kwanza alimuumba mtu kwa mfano na sio kitu harisi hivyo alikuwa na uhakika gani hiki kitu cha mfano wake kingeweza kushindana na kuepuka ulaghai wa nyoka. Mtu (bila msaada wa Mungu) alikuwa hana uwezo wa kushindana na Malaika (Shetani) (ukilinganisha nguvu na uumbwaji wao) kwa mantiki hii hata kama Eva angekataa ulaghai wa shetani, shetani alikuwa na nguvu ya kumkamata na kumlisha, kisha akamfata Adam nae akamlisha. Vile vile, Binadam hakuwa mkamilifu hivyo Mungu alikuwa na option yakuumba kitu kikamilifu ina maana Mungu angemuumba Mungu akamueka Eden au angesamee kosa kwa kuwa kitu alichokiumba kilikuwa kina possibility kubwa kufanya makosa (sio kikamilifu).
Lakini mbaya zaidi ni pale Mungu alipoamua ku generalize adhabu kwa watu wote vizazi hadi vizazi. Au pengine hakujua law of causality.

Nimefikiria kwa uandishi tu.
Back soon
 
Mungu hakuongopa kusuhu kufa, kabla ya adam kula mti wa kati Mungu aliwaambia hawatakufa wataishi milele hii ina maana kama adam angemtii Mungu basi mpaka saivi tungekuwa nae.
kwaiyo Mungu hakuongea uongo aliwaambia mkila mtakufa na kweli adamu alikufa na eva nae alikufa na wewe mkuu utakufa.
mkuu mtoa mada uelewa wako hapo kwenye kufa ulidhani yani pale adam kaling'ata tu tunda basi palepale alitakiwa kufa, Mungu hakumaanisha hivo mkuu
 
Alitoa adhabu ya kifo baadae, lile tunda liliwapa ufahamu kama shetan alivyosema, Adhabu ya kifo alitoa Mungu baada ya kuogopa wana damu mana walikua na ufahamu kama yeye, akaogopa watakula matunda ya mti wa uzima waishi nilele akawafukuza bustanini'

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
S0

Sent from my iPhone using JamiiForums

Wangekula tunda la uzima wangeishi milele ndio maana Mungu akawafukuza, rejea kwenye kitabu cha mwanzo 3:22, hakutaka waishi milele

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu hakuongopa kusuhu kufa, kabla ya adam kula mti wa kati Mungu aliwaambia hawatakufa wataishi milele hii ina maana kama adam angemtii Mungu basi mpaka saivi tungekuwa nae.
kwaiyo Mungu hakuongea uongo aliwaambia mkila mtakufa na kweli adamu alikufa na eva nae alikufa na wewe mkuu utakufa.
mkuu mtoa mada uelewa wako hapo kwenye kufa ulidhani yani pale adam kaling'ata tu tunda basi palepale alitakiwa kufa, Mungu hakumaanisha hivo mkuu

Aliwadanganya tu ili kuwatisha wasiule, we all know what happened baada ya tunda kuliwa lilileta ufahamu na sio kifo , so wangeendelea kukaa bustanini wangekula tunda la uzima wakaishi milele na Mungu alikua hataki tuishi milele

Mungu alijua vizur kuwa nyoka alikua mwerevu kuliko wanadamu, kwa vyovyote vile hawa asingeweza kupindua, sidhan kama tunda Ndo ilikua sababu pekee huenda kuna mambo mengi nyuma ya pazia yalitokea

Au kuna makosa mengine walifanya ambayo hayakuandikwa kokote, ikiwemo uwezo aliokua nao adam baada ya kula tunda, maana bible says walikua na ufahamu kama Mungu so hii si mchezo ufahamu wa Mungu wapita fahamu zote, so bila shaka kuna mambo mengi yaliendelea kwenye bustani and they remain untold to people

Na ni kweli baadhi ya binadamu wana uwezo wa kutisha, mfano tu wazungu tunaona mambo wanayoyafanya, hayo yote yanatokana na faida ya mti wa katikati(lol) ahaha , na sisi wengine tumefichwa au kupumbazwa tusijue chochote kuhusu mamlaka na nguvu tulizopewa na Mungu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom