Katika hili Magufuli uwe DIKTETA

Katika hili Magufuli uwe DIKTETA

Hay yawepo ili muradi:
(i) Sheria zifwatwe tusije ingizwa hasara za KiDowanzi,
(ii) Udikiteta usizidi ama kukaribia ule wa Hitla,
(iii) Maamuzi yasifanywe kutafuta zaidi SIFA.
(iv) Maoni ya WENGINE wenye mapenzi mwema na Nchi yasipuuzwe sababu tu wako "upande wa pili", nk. nk..
Maoni kama ya zito? Nchi hii mnathamini siasa kuliko utendeji
 
iyo mikataba hata yeye ameusika sana kuisign nakuipigia kura za ndioo tena ilivyokuwa inapitishwa kwa dharura waliruka ruka kama mbuzi Leo anajidai kuongea kama mgeni kutoka sayari nyingine wazungu watatunyoosha na iyo mikataba tuliyosign anathani iyo. ni katiba ya muungano anaichezea anavyotaka eeh lets wait and see tuone nani ataloose
*** argues!
 
Maulana Mola wetu mlinde rais wetu JPM, mpe wingi wa baraka na hekima milele yote! Katika jina la YAHUSHUA HA MASHAICH, AMUN RA
 
Udictata ni kama Mimba Inatungwa unabebwa kwa muda kiumbe kinazaliwa kinakuzwa kinazeeka na kufa
 
Wewe ni kilaza kweri. Kiongozi wa nchi kusimamia uchumi na kuwa dictator vinausiana vipi? Kukataa ufisadi na ubadhilifu unashauli lazima kwanza awe dictator? Namashaka na vyeti vyako kama sio feki basi elimuyako ni feki vyeti original. Nikwambie tu in advance. Kiongozi ambae anadhamila ya dhati kwa taifa lake kweli. Kitu cha kwanza kabisa analipa taifa lake misingi imara. Yani analipatia katiba ilio bora!!.yenye usawa kwa watu wote. Kisha anaimalisha utawala wa sheria. Dheni ayo mengine ni kama kusukuma mlevi tu.
 
Udikteta ni kama hadithi ya jini lililo kwenye chupa ambalo ukilifungulia kulirudisha kwenye chupa huwezi.

Kwa hiyo usitake kujifariji kwamba kuna udikteta mzuri.
Soma KAMUSI ya kiingereza na ujue maana ya TOFAUTI hizo badala ya kujibu kwa lawama.
 
Hiyo kampuni ni ya kimataifa na uwa inadeclare inachokipata dunia nzima kuwa kiko genuine, na wana pata fedha za kuendesha biashara zao na pia soko la kuuza biashara zao kwa sababu ya uwazi wao, leo RAISI WA NCHI ANAPOTANGAZA KUWA HAO JAMAA NI WEZI TAYARI JAMAA WANAINGIA DOSARI KWENYE SOKO LAO NA PIA WANAHARIBU SIFA ZAO, SO WATAULIZWA NA WATASEMA KUWA WAO WAKO RIGHT, NA WATAKAO AMBIWA WATACHUNGUZA ILI KUJIRIDHISHA NA WAKIKUTA NI UONGO BASI TANZANIA NDIO IMEJIFUNGIA FURSA NA NDIO MWANZO WA KUWA NA VIKWAZO RASMI NA VILE AMBAVYO SIO RASMI

Ntawaeka uzi hapa kesho na ntakuquote
Ahsante mkuu. Kama nilielewa vizuri. Kamati haikusema a kutaja jina za Kampuni bali UKIUKWAJI unaouhusika na KU DECLARE kiukamilifu bila kudanganya.

Hiii ni kusema Rais anajaribu kuwafanya wawe na UWAZI badala ya UJANJA. Kwa muda MREFU AFRIKA imebaki nyuma kwa vitunkama hivi. Ni vizuri akawa FIRM iki yeyote atakayetaka kufanya biashara na sisi atajua huko Tanzania HAMNA UJANJA
 
Ushoga ni kukubali udikteta, dikteta hana mipaka anaweza kutaka kukudictetia mpaka ubong'oe.

Utafanyaje na ushakubaliawe dikteta?
Nikukosa ufahamu wa neno "Benevolent Dictator"
ukilifahamu maana yake. Yamkini jibu lako litabadilika.
 
Hiyo kampuni ni ya kimataifa na uwa inadeclare inachokipata dunia nzima kuwa kiko genuine, na wana pata fedha za kuendesha biashara zao na pia soko la kuuza biashara zao kwa sababu ya uwazi wao, leo RAISI WA NCHI ANAPOTANGAZA KUWA HAO JAMAA NI WEZI TAYARI JAMAA WANAINGIA DOSARI KWENYE SOKO LAO NA PIA WANAHARIBU SIFA ZAO, SO WATAULIZWA NA WATASEMA KUWA WAO WAKO RIGHT, NA WATAKAO AMBIWA WATACHUNGUZA ILI KUJIRIDHISHA NA WAKIKUTA NI UONGO BASI TANZANIA NDIO IMEJIFUNGIA FURSA NA NDIO MWANZO WA KUWA NA VIKWAZO RASMI NA VILE AMBAVYO SIO RASMI

Ntawaeka uzi hapa kesho na ntakuquote
Sawa mkuu.
 
Utabaki Kuwa hivo hivo na akili zako za mgando mpaka lini??! Ebu badikika Sasa
Ufahamu wa wengine sijui ukoje.Jibu lako labda atalielewa. Akili akili jamani Watazania. Wengine wangependa nchi IBAKI MASKINI tu. Ili mradi anakula ka ugali kake analala badala ya kutamani nchi yake ibadilike KIUCHUMI zaidi ya ugali na mlenda.Baadhi ya Watazania ni waajabu kweli.
 
Ni kuchukuwa kile KISICHO chako bila RUHUSA ya mwenyewe.
Ama kuna maana tofauti?

Sasa Wapi hao Wazungu wamechukua kisicho chao bila ya Ruhusa wakati na Mikataba tuli sign.
 
Sasa Wapi hao Wazungu wamechukua kisicho chao bila ya Ruhusa wakati na Mikataba tuli sign.
Kama ulisoma in BETWEEN lines. Rais anataka kufanya MABADILIKO MAKUBWA. Ndo maana aliweka IWE LIVE kila Mtanzania AJUE.
Ili akichukuwa HATUA za KU REVISIT mikataba Watanzania watakuwa NYUMA yake na wala si nyuma ya MAKAMPUNI yanayotufanyia UJANJA.
 
Mm sion udikteta wa Magufuri. Yy apge kazi mambo mengine yana uma sana. Nashauri achukue pesa zooooote za mafisadi ziende kwenye huduma za jamii. Inauma hata ukichunguza privatization ni wizi na upuuzi mtupu. Mbafu zao shenz kabsa
 
Ni kweli ACHUKUE hizo hela. Hilo ndo suluhisho.
 
Nikukosa ufahamu wa neno "Benevolent Dictator"
ukilifahamu maana yake. Yamkini jibu lako litabadilika.
"Benevolent Dictator" is an oxymoron.

Benevolence is a magnificent character that would diminish itself the more you associate it with dictatorship.

Lord Acton said "Power corrupts, and absolute power corruots absolutely". Heed that.

Allowing someone to be a dictator is like clumbing in the back of a tiger with the untent of goung sinewhere fast, you may get anywhere (including where you want to go( but you may find stopping the tiger to get iff at your station unmolested is extremely hard.

Magufuli is a madman without even being a dictator, now you want him to go stir crazy?
 
Back
Top Bottom