Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

Wewe vipi?wala usimwonee kwa udogo wake unaweza kuwa mkubwa lakini huna cha maana.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya SAMWEL KIVUITU alikiri kushinikizwa kumtangaza Kibaki kama mshindi.Wakaguzi wa nje waliwaganyika wengi walisema ODINGA alishinda.Acha kutoa maoni kwa hisia za ukada!!
wakati tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi wa kimataifa walisema kikwete kafanya je ?nashukuru sana kwa kunisaidia kumfundisha ndugu yako.
 
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?

Mkuu betlehem ni kheri kuwa na hofu ya Mungu kwani usingeweza tumia nguvu kubwa kupindisha ukweli. Thanx LORD wanajamvi hatudanganyiki. Nakuomba usome vipengele vifuatavyo kwa umakini otherwise hutanielewa;

1.Kwa maelezo yako unataka tuamini kuwa Kibaki alishinda ki-halali kwa njia ya kura zilizopigwa na wakenya au ni kutumia nguvu ya tume ya uchaguzi? Wakenya wanasema aliyeshinda ni Odinga we mtz hata ambaye huku hudhuria uchaguzi huo unasema hapana Kibaki ndo' aliyeshinda, je tumwamini nani?
2.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alikimbilia ugaibuni?
3.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini baadhi ya viongozi nchini kenya wakabiliwe na kesi ya kujibu ICC the Hegue?
4.Je unataka tuamini kuwa Jeikei alishinda kwa kura tulizopiga mwaka 2010 au alishinda kwa nguvu ya tume ya uchaguzi,usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola?
5.Kama Jeikei alishinda kihalali,kwa nini hadi leo hii hawajaweka matokeo ya u-rais kwenye website ya NEC?.
6.Ukweli utabaki palepale Dr. Slaa alishinda kwa kishindo. Hakupinga matokeo kwa sababu katiba ya nchi hairuhusu,ila unapaswa kufahamu kilicho sababisha nchi hii kuendelea na utulivu tulionao ni busara za. Dr. Slaa, otherwise angekuwa ni mtu mwenye tamaa ya madaraka nchi hii ingewaka.

7. Dr. Slaa ni tishio ndo' maana mara tu baada ya uchaguzi mlianza kumuandama ili kumdhoofisha yeye mwenyewe na CHADEMA,lakini nachelea kusema magamba mmechemsha.

8.Inaonekana wewe ni mvivu wa kusoma, nakuomba ukasome report ya waangalizi wa ki-mataifa ilisemaje kuhusiana na uchaguzi wa 2010 nchini Tanzania.

9.Umejikita sana kwenye msimamo wa tume ya uchaguzi. Lakini inakupasa utambue ya kuwa maamuzi ya tume ya uchaguzi siyo maamuzi ya watanzania zaidi ya milioni arobaini, ndo' maana tunaomba tume huru na siyo kuteuliwa na mgombea.
10.Mkuu inabidi ukubali uwezo wako wa ku-analyse issues ni mdogo sana ndo' maana hata kijana wa kidato cha tatu amekufunika.

Wana janvi naomba kuwasilisha.
 
Kwa kuanzia tu, kipenzi cha watu sio mtu apatae kura zaidi ya 80% na baada ya miaka mitano tu zinashuka mpaka 60%, mfana rahisi tu, kama ni darasani ni sawa na mtoto kushuka kielimu toka A+ mpaka B, halafu kumuita kijana wa kidato cha sita mtoto ni makosa, huyu atatuongezea kura kwa Dr. Slaa 2015 na kama sikosei hakupiga kura 2010, wewe kalahabao ambaye unaamini bado tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na huyo huyo mgombea uraisi, kwa mtindo huu tutafika kweli?
 
Mkuu betlehem ni kheri kuwa na hofu ya Mungu kwani usingeweza tumia nguvu kubwa kupindisha ukweli. Thanx LORD wanajamvi hatudanganyiki. Nakuomba usome vipengele vifuatavyo kwa umakini otherwise hutanielewa;

1.Kwa maelezo yako unataka tuamini kuwa Kibaki alishinda ki-halali kwa njia ya kura zilizopigwa na wakenya au ni kutumia nguvu ya tume ya uchaguzi? Wakenya wanasema aliyeshinda ni Odinga we mtz hata ambaye huku hudhuria uchaguzi huo unasema hapana Kibaki ndo' aliyeshinda, je tumwamini nani?
2.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alikimbilia ugaibuni?
3.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini baadhi ya viongozi nchini kenya wakabiliwe na kesi ya kujibu ICC the Hegue?
4.Je unataka tuamini kuwa Jeikei alishinda kwa kura tulizopiga mwaka 2010 au alishinda kwa nguvu ya tume ya uchaguzi,usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola?
5.Kama Jeikei alishinda kihalali,kwa nini hadi leo hii hawajaweka matokeo ya u-rais kwenye website ya NEC?.
6.Ukweli utabaki palepale Dr. Slaa alishinda kwa kishindo. Hakupinga matokeo kwa sababu katiba ya nchi hairuhusu,ila unapaswa kufahamu kilicho sababisha nchi hii kuendelea na utulivu tulionao ni busara za. Dr. Slaa, otherwise angekuwa ni mtu mwenye tamaa ya madaraka nchi hii ingewaka.

7. Dr. Slaa ni tishio ndo' maana mara tu baada ya uchaguzi mlianza kumuandama ili kumdhoofisha yeye mwenyewe na CHADEMA,lakini nachelea kusema magamba mmechemsha.

8.Inaonekana wewe ni mvivu wa kusoma, nakuomba ukasome report ya waangalizi wa ki-mataifa ilisemaje kuhusiana na uchaguzi wa 2010 nchini Tanzania.

9.Umejikita sana kwenye msimamo wa tume ya uchaguzi. Lakini inakupasa utambue ya kuwa maamuzi ya tume ya uchaguzi siyo maamuzi ya watanzania zaidi ya milioni arobaini, ndo' maana tunaomba tume huru na siyo kuteuliwa na mgombea.
10.Mkuu inabidi ukubali uwezo wako wa ku-analyse issues ni mdogo sana ndo' maana hata kijana wa kidato cha tatu amekufunika.

Wana janvi naomba kuwasilisha.
hayo yote hapo juu unasema wewe ;sijasema mimi.wewe unasema halafu unanipakazia.mimi sijasema kibaki alishinda uchaguzi.nimekuuliza maswali kibao hapo juu baada ya kuona unajaribu kufananisha chaguzi zisizofanana hata kidogo.chakushangaza hujajibu hata swali moja na sasa unanipakazia kusema mambo ambayo sijasema.sasa ngoja nikuambie.uchaguzi wa kenya haukua huru na haki hivyo haukuwa halali wakati wa tanzania ulikuwa huru na haki hivyo ulikuwa halali.kama una swali uliza.
 
Wewe utakuwa unasoma shule za kata unahitaji kusoma sana.Wewe ingia huku upoteze muda wako
 
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?

Alikuwa hana sababu ya msingi ya kuwaambia watanzania kuwa ndiye mshindi wakati ukweli anaujua na alikuwa anaendekeza hasira za kabila lake. Idadi ya Wabunge wa CDM ndo kipimo tosha hata kwa mtoto mdogo kama wewe kuwa kura alizopata SLAA ndiyo ilikuwa stahiki yake na si vinginevyo. Hakuna mwananchi ambaye angemwaga damu wakati wengi wanajua walimpigia JK.

Mtachakachua mpaka siku itakaposhindikana kuchakachua!!

No wonder matokeo ya Longido na Mpanda mpaka Kigoma yaliwahi kutoka kabla ya Kinondoni au Temeke!!
 
Dogo, Dr Slaa hana sifa kuongoza taifa la watu milioni 45. Kashindwa kusimamia familia yake atawezaje kutuongoza.

dakt slaa amewapiga pini ya masaburi magamba wote ndo maana kila magamba anayeamka ni kutapatapa tu kutafta namna gani aitoe pini kwenye masaburi yake. Kuanzia kwa mkulu akiamka anatafta nini cha kusema kuhusu daktari huyu aliyempiga pini ya masaburi wakati wa uchaguzi mkuu. Wenye kumbukumbu mtaona siku ya kupiga kura jinsi mkulu alivyokuwa amepaniki loh! pini ya daktar hatari. Awashukuru wachakachuzi wake. Pini haijaishia kwa mkulu tu bali imesambaa kwa magamba wote ndo maana utawasikia akina nape,madelu,tyson,mgeja na wengine wengi mtandaoni wakiweweseka. Nawakumbusha mmepigwa pini na daktar ndo maana hamuishi kuweweseka,mwombeni awaachie mtapumua
 
Mtachakachua mpaka siku itakaposhindikana kuchakachua!!

No wonder matokeo ya Longido na Mpanda mpaka Kigoma yaliwahi kutoka kabla ya Kinondoni au Temeke!!
asiyekubali kushindwa si ....................! silaa mwenyewe kakubali kwamba kashindwa halafu ninyi mnakomaa alishinda hamna hata aibu.mbona hawatoki tena bungeni? walidhani jk atawagwaya kumbe mzee anacheka cheka tu kutoa stress lakini lakini akili imekomaa.jk yoko njema bwana huwezi kumtikisa kitoto.
 
hayo yote hapo juu unasema wewe ;sijasema mimi.wewe unasema halafu unanipakazia.mimi sijasema kibaki alishinda uchaguzi.nimekuuliza maswali kibao hapo juu baada ya kuona unajaribu kufananisha chaguzi zisizofanana hata kidogo.chakushangaza hujajibu hata swali moja na sasa unanipakazia kusema mambo ambayo sijasema.sasa ngoja nikuambie.uchaguzi wa kenya haukua huru na haki hivyo haukuwa halali wakati wa tanzania ulikuwa huru na haki hivyo ulikuwa halali.kama una swali uliza.

Mkuu inaonekana wewe ni mvivu wa kufikiri, nimeshakujibu hadi leo NEC hawajaweka matokeo ya urais 2010, sasa unapodai wanajanvi tukuambie Dr. Slaa alipata asilimia ngapi ya kura naona kama maigizo. Nimekwambia ukasome report ya waangalizi wa ki-mataifa kuhusiana na uchaguzi wa 2010 nchini Tanzania lakini hutaki kunielewa. Kwa taarifa yako report hiyo inasema hivi, nanukuu " Dr.Wilbroad Peter Slaa aliungwa mkono na watanzania walio wengi". Tafasiri yake ni kwamba Dr. Slaa ni kipenzi cha watanzania na si vinginevyo. Kama huamini subiri majibu 2015.
 
Mkuu betlehem ni kheri kuwa na hofu ya Mungu kwani usingeweza tumia nguvu kubwa kupindisha ukweli. Thanx LORD wanajamvi hatudanganyiki. Nakuomba usome vipengele vifuatavyo kwa umakini otherwise hutanielewa;

1.Kwa maelezo yako unataka tuamini kuwa Kibaki alishinda ki-halali kwa njia ya kura zilizopigwa na wakenya au ni kutumia nguvu ya tume ya uchaguzi? Wakenya wanasema aliyeshinda ni Odinga we mtz hata ambaye huku hudhuria uchaguzi huo unasema hapana Kibaki ndo' aliyeshinda, je tumwamini nani?
2.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alikimbilia ugaibuni?
3.Endapo uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki kwa nini baadhi ya viongozi nchini kenya wakabiliwe na kesi ya kujibu ICC the Hegue?
4.Je unataka tuamini kuwa Jeikei alishinda kwa kura tulizopiga mwaka 2010 au alishinda kwa nguvu ya tume ya uchaguzi,usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola?
5.Kama Jeikei alishinda kihalali,kwa nini hadi leo hii hawajaweka matokeo ya u-rais kwenye website ya NEC?.
6.Ukweli utabaki palepale Dr. Slaa alishinda kwa kishindo. Hakupinga matokeo kwa sababu katiba ya nchi hairuhusu,ila unapaswa kufahamu kilicho sababisha nchi hii kuendelea na utulivu tulionao ni busara za. Dr. Slaa, otherwise angekuwa ni mtu mwenye tamaa ya madaraka nchi hii ingewaka.

7. Dr. Slaa ni tishio ndo' maana mara tu baada ya uchaguzi mlianza kumuandama ili kumdhoofisha yeye mwenyewe na CHADEMA,lakini nachelea kusema magamba mmechemsha.

8.Inaonekana wewe ni mvivu wa kusoma, nakuomba ukasome report ya waangalizi wa ki-mataifa ilisemaje kuhusiana na uchaguzi wa 2010 nchini Tanzania.

9.Umejikita sana kwenye msimamo wa tume ya uchaguzi. Lakini inakupasa utambue ya kuwa maamuzi ya tume ya uchaguzi siyo maamuzi ya watanzania zaidi ya milioni arobaini, ndo' maana tunaomba tume huru na siyo kuteuliwa na mgombea.
10.Mkuu inabidi ukubali uwezo wako wa ku-analyse issues ni mdogo sana ndo' maana hata kijana wa kidato cha tatu amekufunika.

Wana janvi naomba kuwasilisha.

Dawa ya magamba ni mafuta ya taa kwisha habari yake,humu jf dawa ya magamba ni kuyafundisha kufikiri maana mwenye magamba yuko slugish mpaka kufikiria,so endelea kuwapa somo magamba waache uvivu wa kufikiria
 
2008 uko form leo umeua form six.... That doesnt add up
 
Mkuu inaonekana wewe ni mvivu wa kufikiri, nimeshakujibu hadi leo NEC hawajaweka matokeo ya urais 2010, sasa unapodai wanajanvi tukuambie Dr. Slaa alipata asilimia ngapi ya kura naona kama maigizo. Nimekwambia ukasome report ya waangalizi wa ki-mataifa kuhusiana na uchaguzi wa 2010 nchini Tanzania lakini hutaki kunielewa. Kwa taarifa yako report hiyo inasema hivi, nanukuu " Dr.Wilbroad Peter Slaa aliungwa mkono na watanzania walio wengi". Tafasiri yake ni kwamba Dr. Slaa ni kipenzi cha watanzania na si vinginevyo. Kama huamini subiri majibu 2015.
yaani watu wengine bwana?kwa hiyo alipotangazwa kikwete kuwa rais,kwa kumbukumbu zako wewe unakumbuka walisema kikwete kashinda lakini kura zake hazijulikani.anafuatia ni dr,silaa naye kura zake hazijulikani.anayefuatia,ni lipumba yeye kuza zake ni .......kama huna cha kujadili tulia .
 
Leo nimevuta fikra sana na hatima yake nimeona Slaa anastahili sifa na ikiwezekana anafaa kuwa rais wa nchi yetu.

Kikubwa zaidi kilichonifanya niseme hivi ni baada ya kukumbuka majirani zetu Kenya mwaka 2008 nikiwa kidato cha kwanza.Katika uchaguzi uliofanyika mwaka huo, Kibaki Mwai ndo alitangazwa mshindi dhidi ya Odinga Raila. Kutokana na madai ya kuwa Mwai hakushinda kwa uhalali, Odinga aliwaambia wafuasi wake kuwa yeye ndiye alikuwa mshindi na badala yake wananchi walimwaga damu.

Pia kumbukumbu yangu ikanijia kufikiri tukio jingine hapa kwetu Z'bar. Sharif Hamad alidai kuwa ktk uchaguzi uliofanyika mwaka 2000, yeye ndo alikuwa mshindi na hatimaye wazanzibar walimwaga damu isivyo kifani.

Ninachotaka kukizungumzia hapa ni kwamba,kiongozi anaweza akawa msomi,mwenye lundo la shahada na hata masters lakini bila kuwa na hekima na busara,huyo mtu hafai.Kiongozi anayekuwa hana huruma na roho za binadamu ama analazimisha siasa hadi kwenye uhai,huyo hafai.

Kwanini nimesema Dr Slaa anafaa kusifiwa?

Katika uchaguzi huu uliofanyika mwaka 2010 nikiwa kidato cha tatu umenifanya nimpende Slaa na kummwagia sifa kemkem japo bado nipo mwanafunzi na sijaijua vizuri siasa lakini kwa hili imenibidi leo nivunje ukimya. Tuhuma nyingi zilionekana kuwa Slaa alikuwa na kura nyingi katika majimbo mengi na hivyo angeamua kuwaambia mashabiki wake kuwa yeye ndo alistahili ushindi, sidhani kama vita vingekosekana kama kenya na Z'bar.

Mwenyezi Mungu amjalie 2015 aweze kuichukua nchi maana hata mimi nitakuwa ndiyo kwanza nimemaliza kidato cha sita hivyo nitakuwa na muda kumpigia debe. Dr Slaa ana uamuzi mzur wenye hekima na busara.Nampenda sana Slaa.

Una akili sana Sir H cha msingi jiandikishe na shiriki mchakato wa CHAMA nyie ndo CHADEMA ijayo baada ya akina Dr. Slaa
 
Last edited by a moderator:
yaani watu wengine bwana?kwa hiyo alipotangazwa kikwete kuwa rais,kwa kumbukumbu zako wewe unakumbuka walisema kikwete kashinda lakini kura zake hazijulikani.anafuatia ni dr,silaa naye kura zake hazijulikani.anayefuatia,ni lipumba yeye kuza zake ni .......kama huna cha kujadili tulia .

Matokeo ya tume ya uchaguzi hayakuwa na uhalisia hata kidogo sisi tukiopiga kura tunajua! Usilazimishie watu wakubali kitu fake wakati halisi kipo bana!
 
dakt slaa amewapiga pini ya masaburi magamba wote ndo maana kila magamba anayeamka ni kutapatapa tu kutafta namna gani aitoe pini kwenye masaburi yake. Kuanzia kwa mkulu akiamka anatafta nini cha kusema kuhusu daktari huyu aliyempiga pini ya masaburi wakati wa uchaguzi mkuu. Wenye kumbukumbu mtaona siku ya kupiga kura jinsi mkulu alivyokuwa amepaniki loh! pini ya daktar hatari. Awashukuru wachakachuzi wake. Pini haijaishia kwa mkulu tu bali imesambaa kwa magamba wote ndo maana utawasikia akina nape,madelu,tyson,mgeja na wengine wengi mtandaoni wakiweweseka. Nawakumbusha mmepigwa pini na daktar ndo maana hamuishi kuweweseka,mwombeni awaachie mtapumua
Lini mnafungua shule?
 
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?

Mazingira yalionesha wazi kuwa Kibaki alipora ushindi kule Kenya tukizingatia matamshi ya Bwana Kiviutu aliyekuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Kenya.
Hata Zanzibar 1995 kulikuwa na kila dalili za mshindi kuwa ni Seif. Hata kituo cha DTV kilishatangaza kabla ya kupigwa mkwara ya tume kutangaza kuwa komandoo kashinda kwa chini ya asilimia moja. Nafikiri kijana ana hoja.
 
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?

Mkuu better kuwa na Sir H ambaye ameonyesha hekima pamoja na kutokomaa kisiasa,
kuliko kuwa na watu waliokomaa kisiasa lakini wakawa dizaini ya Mwigulu Nchemba"
 
asiyekubali kushindwa si ....................! silaa mwenyewe kakubali kwamba kashindwa halafu ninyi mnakomaa alishinda hamna hata aibu.mbona hawatoki tena bungeni? walidhani jk atawagwaya kumbe mzee anacheka cheka tu kutoa stress lakini lakini akili imekomaa.jk yoko njema bwana huwezi kumtikisa kitoto.

Ndiyo maana kuna usemi wa kuwa "COMMON SENSE IS NOT COMMON"

Kama uliamua kunijibu basi jibu point yangu na si kuniambia kuwa Slaa amekubali ooh nini vile. No wonder hasira zimekupanda kujibu hoja ndogo kama hii!! It seems as if you know the inside story........ pofu linafuka hivyo!!
 
Mkuu better kuwa na Sir H ambaye ameonyesha hekima pamoja na kutokomaa kisiasa,
kuliko kuwa na watu waliokomaa kisiasa lakini wakawa dizaini ya Mwigulu Nchemba"
sasa mwigulu anaingia je hapa?au ndo unataka kuniambia mwigulu ni mfano wa wanasiasa waliokomaa kweli kweli? yaani visiki vya mpingo! au hoja yako ni ni nini hapa hata ukamuingiza huyu bwana kwenye mjadala usiomuhusu?
 
Back
Top Bottom