Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

Kuna njia nyingi za kujionyesha ulivyo.........

Balotelli+flag+pole.jpg

tembelea ofisi za tume ya uchaguzi uwaombe makabrasha ukatoe copy.
 
I suspect nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania na Kenya hakuna tume za uchaguzi zaidi ya watekelezaji wa ushindi wa upande mmoja tu. Katika records nyingi zinaonyesha wasimamizi wa kimataifa, kikanda na makundi maalum yakitoa taarifa za kutokuridhika na uchaguzi kuna hatua gani inachukuliwa hakuna zaidi ya baada ya muda kuungana na kumpongeza aliyeshinda. Je katika mazingira kama hayo asimilia ya ushindi iliyotangazwa dhidi ya mshindi fulani zina-akisi hali halisi ya matokeo. Kwangu jibu ni hapana. Sijui wewe jibu lako nini hapo.

mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?
 
Alikuwa hana sababu ya msingi ya kuwaambia watanzania kuwa ndiye mshindi wakati ukweli anaujua na alikuwa anaendekeza hasira za kabila lake.

Idadi ya Wabunge wa CHADEMA ndo kipimo tosha hata kwa mtoto mdogo kama wewe kuwa kura alizopata Dr. Slaa ndiyo ilikuwa stahiki yake na si vinginevyo. Hakuna mwananchi ambaye angemwaga damu wakati wengi wanajua walimpigia JK.

tunaomba kura za urais za kila jimbo ili tuupate ukweli
 
I suspect nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania na Kenya hakuna tume za uchaguzi zaidi ya watekelezaji wa ushindi wa upande mmoja tu. Katika records nyingi zinaonyesha wasimamizi wa kimataifa, kikanda na makundi maalum yakitoa taarifa za kutokuridhika na uchaguzi kuna hatua gani inachukuliwa hakuna zaidi ya baada ya muda kuungana na kumpongeza aliyeshinda. Je katika mazingira kama hayo asimilia ya ushindi iliyotangazwa dhidi ya mshindi fulani zina-akisi hali halisi ya matokeo. Kwangu jibu ni hapana. Sijui wewe jibu lako nini hapo.
unachokisema kinawezekana japo silazma kitokee.na ikiwa hatuna ushahidi wa kwamba kimetokea tusiseme kimetokea.je?ni tume gani ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi ambao umetoa wabunge kibao wa upinzani 2010?ni tume gani iliyokuwepo ambayo imekuwa ikiwatangaza wabunge wa upinzani kuwa ndio washindi kwenye chaguzi ndogo zinazofanyika mara kwa mara nchini?je?unadhani maokeo wanayotoa yanakuwa si sahihi?mazingatio.sipingi kwamba tume ya uchaguzi haina mapungufu tena makubwa.
 
Hapana shaka unasubiri kwa hamu watokeo ya uchaguzi wa marudio utakaofanyika kesho tarehe 16.06.2013. Uchaguzi huu ni ishara ya kutambua mwelekeo wa CCM na CHADEMA kuelekea uchaguzi wa 2014/2015. Si vibaya ukapata muda wa kupitia ufafanuzi huu juu ya Dr. Slaa na Hatma ya Taifa letu.

Wakati unasubiri kwa hamu matokeo, hapana shaka leo hii Dr.Slaa ni moja ya Wanasiasa maarufu nchini. Kukataa kukiri ukweli huu ni ukosefu wa ukomavu wa kisiasa au mgogoro wa nafsi juu ya umaarufu huu. Lakini vilevile ni jambo lisilo na ubishi kwamba umaarufu wa Dr.Slaa nchi nzima unadhihirishwa na:

  1. Umati unaohudhuruia mikutano yake
  2. Jinsi vyombo vya habari vinavyomfuatilia na
  3. Homa ya Dr.Slaa kwa viongozi na wanachama wa CCM juu ya hatma ya chama chao.

Baadhi ya mambo mahususi yanayomtafautisha Dr.Slaa na wanasiasa wa vyama vingine hasa Chama Cha Mapinduzi(CCM) ni kama ifutavyo:

  1. Wakati Wapinzani wake kisiasa wanapanga mbinu na mikakati ya kumchafua, Dr.Slaa anazidi kuimarika kisiasa nchi nzima.
  2. Wakati wanasiasa maarufu nchini wanatafuta fedha, kujipendekeza kwa viongozi wa madhehebu ya dini, asasi za kiraia na makundi mengine katika harakati za kujenga mtandao wa kusaka Uraisi, Dr.Slaa anaendelea kuelimisha umma na kuibua fikra chanya juu ya mustakabali wa kizazi cha leo na vijavyo.

Umakini, ujasiri na uthubutu wake kisiasa unamtafautisha sana na wanasiasa wengi ambao wameifanya tasnia ya siasa kuwa mradi wa kiuchumi na kusaka madaraka kwa gharama yoyote ile. Kwa mafisadi, umaarufu wa Dr.Slaa katika kutetea maslahi ya makundi mbalimbali katika jamii ni KIKWAZO.

Katika muongo mmoja, Dr.Slaa amechangia sana kuibua kashfa mbalimbali ambazo ni kikwazo kwa ustawi wa Taifa. Mfano:

  1. Ufujaji wa fedha ndani ya benki kuu kupitia mfuko wa madeni ya nje (EPA),
  2. Kashfa ya mkataba wa serikali na kampuni ya Alex Stewarts.
  3. Kashfa inayohusu Makampuni ya Mwananchi Gold na Deep Green,
  4. Kashfa ya Richmond iliyomwondoa Bwana Lowassa, Nazir Karamagi na Msabaha n.k.

Ni wanasiasa wachache sana nchi hii ambao wanafanya tafiti na wana-uthubutu wa kuibua ufisadi unaoathiri ustawi wa Taifa hili. Bila tafiti Dr.Slaa angeingia kwenye matatizo makubwa ya kisiasa.

Pamoja na mijadala inayoibuliwa ya kifamilia, kidini n.k, ambayo inatokana na hila na njama zinazosukwa na washindani wake kisiasa kuwafanya watu waamini kuwa hana maadili na Mbaguzi. Dr.Slaa anazidi kupendwa, kuheshimiwa na kuaminiwa na wananchi. Kama wahenga walivyosema "Dua ya Kuku halimpati Mwewe", vilevile njama hizi hazitafua dafu juu ya Mpango wa Mungu kwa Taifa hili.

Baada ya kupitia Maelezo haya ni ukweli usipingika (undeniable truth) kwamba Dr.Slaa ni Mwanasiasa bora wa Muongo (Decade) na nyota inayoongoza kwa kung'aa katika tasnia ya siasa nchini. Ni Wanasiasa mchanga tu kifikra au wafitini ambao wanamuona Dr.Slaa ni mtu mzushi na asiye na akili nzuri, bila kutambua wanafanya kazi ambayo hawaijui.

Nawakilisha.
Mkuu big up, unajua kiswahili wakati mwingine ni kigumu, nashauri tumia neno la kiingerea tu, I mean decade. Makala yako ni nzuri ila sema mi nilidhani neno muongo ni a lier of the decade, sasa sikuzama kusoma nikajua wewe ndiye lier, kumbe ni kinyume. Samahani sana kwa kukukwaza!
 
Mkuu,ingependeza zaidi kama heading ingekuwa DR SLAA NI MWANASIASA BORA KWA UHONGO (KUDANGANYA)
 
Muongo ni mama yako alimdanganya mwanaume aliyekuambia ni baba yako kumbe kuwa wewe ni mtoto wa msukuma mkokoteni alimchapa nao mama yako. Nenda umtafute baba yako wa ukweli huko kitaa.

Mkuu,ni vyema ukanyamaza kuliko kuandika matusi, argue don't shout kwa lugha zisizo na staha...
 
slaa ni raisi haina malumbano hiyo ccm kifo chenu 2015
 
Mkuu,ni vyema ukanyamaza kuliko kuandika matusi, argue don't shout kwa lugha zisizo na staha...
kweli mkuu Mbelwa Germano samahani sana tena sana! Nimerekebisha quote yangu hapo juu. Makala yako ni nzuri tu sema kiswahili. Pitia hapo juu uone ufafanuzi wangu. Ila so sorry kwa kukukwaza, sikufahamu ila so sorry pia kwa wazazi wako, I believe chukulia hii ni kama joke ndani ya jukwaa maana Dr Slaa ni tegemeo, ni mtu pekee aliyetuwezesha sisi watanzania kujitambua kuwa tuna stake ktk maendeleo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom