Katika hii picha unaona nini?kisa cha kweli

Katika hii picha unaona nini?kisa cha kweli

quote_icon.png
By kabanga

hapo juu kwenye miwani kuna kondomu mbili ambazo zimetumika....!

quote_icon.png
By mwekundu

ha ha ha ha Big Nooooo kabanga

mwekundu angalia hapo....

Ulikuwa sahihi kabanga, mwekundu alikubishia tu jambo linaloonekana kuwa hata yeye hakuziona...
 
Back
Top Bottom