mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Ama kweli wewe ndio kibaraka wa propaganda. naona ulipigwa propaganda na ikakushika sana. Yaani mpaka leo hii uelewa wako ni kuwa makanisa yalichomwa na waislam? Kama ni kuyachoma kwanini iwe leo? Unajua kama kamati ya uchunguzi iliundwa na ripot ilisha kamilika? kwanini hawataji majina ya waliohusika kuchoma? na matokeo yake walitangaza kuwa serikali itayajenga? Ebu jitahidi akili yako kuwa unaiachia free ili upate mwenyewe binafsi kuyawaza mambo kwa upeo wako wa akili na si kupigiwa tu ngoma nawe ukaanza kuicheza.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa waliochoma makanisa kuanzia yale ya Zanzbar hadi ya le ya Mbagala ndio Wahuni kama mnavyojisafisha????????????
Je, na wale walioua Askari pamoja na raia kule Visiwani pia ni Wahuni.
Je, na wale walioenda kuvunja na kuvamia kiwanja pale DSM ni wahuni.
Je, na wale waliokuwa wanafanya maandamano kwenda Ikulu ni wahuni.
Je, na wale waliotangaziana kuwa tarehe 01 Nov. wanafunzi na walimu wote wasiingie madarasani kwenda Mahakamani ni wahuni.
Je, na wale waliotangaza kwua Tarehe 02 Nov. kutakuwa na maandamano nchi nzima ni Wahuni.
TAFADHARINI MSITUDANGANYe, MMECHOMA MAKANISA TUMEKAA KIMYA sasa KAMA WACHAWI MNAANZA KUTAFUNANA WENYEWE!!!!!!.
DHAMBI YA MAKANISA YALE na MACHOZI TULIYOTOA HAYATAENDA Bure, TUMEMKABIDHI MUNGU.
Sisi ni watu wa Amani na Dini yetu inatufundisha hivi kamwe hatutaripiza kisasi bali tutazidisha maombi na Mungu atatenda miujiza dhidi yenu wote mliofurahia kuteketezwa kwa Mahekaru ya Ibada
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!