Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

Uamsho ni kikundi cha kigaidi!Sheh Farid,na Sheh Ponda Issa Ponda ni magaidi waandamizi!

ANGEKUWA KAMWAGIWA WA SHEIKH SIMBA NINGEKUWA NA MENG YA KCHANGIA LKN WA UKO ZBAR WATAKUWA WANAJUANA KUNA MKONO WA CCM UMO WASITUADAe
 
Kanisa Katoliki Zanzibar Vijana wake Wajibu mapigo Sasa tuone Jeshi la Polisi litawachukulia hatuwa gani?

Kwa namna unavyodandia na kuchangia kwa ushabiki ipo siku utarukia kitu chenye ncha kali
 
hamchoki na habari za mgonjwa?? karibuni lunch! ni pork mtamuje sasa?
pinoy-style-pork-barbecue.jpg
Kata nusu ndizi 2 tumplekee mgonjwa, usishau chachandu. Aaaaa pokiiiii loh!
 
Haya ndiyo mavuno ya mbegu zilizopandwa kwenye miiba na miamba;mtashuhudia Mengi hadi kipindi kile kitakapofika.
 
Mwalimu alisema: dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukianza hutoacha kamwe! Usidhani mkiwabagua wengine kwa kigezo chochote mtabaki salama;

mtawabagua watanganyika halafu mtagundua ha, kumbe miongoni mwetu kuna dini yetu na wasio dini yetu mtaendelea kubaguana!

Mkishamaliza wote, mtagundua hata miongoni mwa dini yetu kuna sisi na wao kisha dhambi ile itaendelea; mtamwagiana tindikali na hatimaye kuuwana.

Jamani, hakuna mwenye mwenye hati miliki ya kuishi sehemu fulani ya nchi yetu (yenu) kwa kigezo chochote kile - la msingi ni kuvumiliana tu.

Chezeni na akina Ponda na Uamsho mkidhani ni wenzenu, mtaishia pabaya hata kama wengine wote tutakuwa tumekwisha kuuwawa na nyie mtauwana tu.

Mola wetu tujalie hekima na maarifa ya kutambua nyakati na majira na kupambanua roho.
 
Hapo CUF na Profesa wao watasemaje sasa maana wanawatetea Uamsho kwa nguvu zao zote pamoja na wachochezi wengine kama Ponda na kundi lake
 
Adulahasaf hivi unachuki na wakatoliki?Au intelijensia yako imekuambia?Na kama wakiwa waislamu wenzako utawaomba radhi hao wakatoliki?Na wakiwa wa dini nyingine je?
Usiwe unapenda kuwa mdini wa kupitiliza.Ina kera kila kitu wakatoliki.Kama unashindwa kuchangia basi jitahidi kunyamaza au kupita tu.
 
Hakuna kitu kinachoitwa Jamhuri ya Pemba! Usipotoshe umma.
1.sio kama sijui hakuna iyo jamhuri ila migogangano ya zanzibar chanzo chake huwa ni tofauti zilizopo za wakazi wa visiwa hivyo ndo maana UAMSHO inaungwa mkono na Wapemba zaidi kuliko waunguja

2.TANZANIA=TANGANYIKA&ZANZIBAR 2

3.ZANIBAR=CUF=JAMHURI YA PEMBA Vs CCM=JAMHURI YA UNGUJA
2
 
Adulahasaf hivi unachuki na wakatoliki?Au intelijensia yako imekuambia?Na kama wakiwa waislamu wenzako utawaomba radhi hao wakatoliki?Na wakiwa wa dini nyingine je?
Usiwe unapenda kuwa mdini wa kupitiliza.Ina kera kila kitu wakatoliki.Kama unashindwa kuchangia basi jitahidi kunyamaza au kupita tu.

Sio siri inakera,ss mtu unaanza kuropoka 2...eti wakatoliki!hv do u think wakristo wana muda huo?sahau aisee,nyie wenyewe
 
Hayanihusu! Wao ni nchi kwanini asipelekwe hospitali yao ya taifa? Why aletwe Tanganyika?

Acha pumba wewe unakua na mawazo darasa la kwanza..hii page ya wenye akili..hiv wanaoenda kutibiwa india,s.Africa hawana nchi?kuna kuzidiana wewe tanzania sio sawa na s.Africa!
Uwe unafkir bas kabla hujatupia post sawa kijana!itoe sasa kabla watu hawajaona wengi!!
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema Sheikh Soraga amemwagiwa tindi kali na watu wasiojulikana asubuhi ya leo wakati akiwa katika mazoezi.

hivi sasa inasemekana yuko njiani kuelekea Dar kwa matibabu.

Sheikh Soraga ni pro-government na ni 'critic' mkubwa wa Uamsho. Katika hotuba yake ya Sala ya Iddi, aliiponda sana jumuiya hii. Sasa whether there is causal relationship between the two, ni kazi ya vyombo vya dola kung'amua

-------------------UPDATE-----------------------
Kama nilivyowahi kuandika kabla.Muanzishaji wa mada kama hizi ni sehemu ya mtandao wa kuleta fujo duniani.Kama ni uraiani huyu ndiyo wa kuunganishwa kwenye kesi.Lakini kwa hapa JF sehemu yao ya kuendeshea propaganda hakamatiki.
Maelezo yake tu yenyewe inaoneshwa anajua nini kimetokea.Hakuna Uamsho wala nini ni nyinyi wenyewe.Nawaonea huruma akina Musa,Kova na Said Mwema kwani hawa watu wamo katika jeshi lao lao hawakamatiki.Atakayefuata atakuwa ni sheikh Shaaban Simba si rahisi kuwa askofu katika hatua za mwanzo za fitna.
 
Back
Top Bottom