TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

Namna mwanasiasa anavyoweza kukuondoa hofu

Atakwambia;

1. Huu si ugonjwa wa kutilia shaka, lakini jilinde usiupate, endelea na shughuli zako
2. Huyu hajafa na ugonjwa huu, bali homa tu, zake hata hivyo zilishafika, chapa kazi usife njaa
3. Dawa ya ugonjwa huu ipo, wenzetu wanaitumia, na imeonyesha mafanikio makubwa, nasi tumeagiza inakuja

Wakati akikwambia wewe hayo, yeye yupo karantini tuliiii.
 
Back
Top Bottom