Wahafidhina wa kikristo wanahusika
Mkuu sosoliso tunashukuru kwa dodoso hii kwani wengine wangeanza kuunganisha hili tukio la arusha na matukio yalitokea dar kati ya kanisa na msikiti kitu ambacho ni tofauti kabisa. ni wazi kwamba huu ni mgogoro wao wenyewe kwa wenyewe na ni muendelezo wa chuki za ndani
Jamani si vema kutoa elimu ya utengenezaji mabomu hadharani. Kuna wajinga wataitumia elimu hiyo kudhuru wengine.
Hawa watu wanataka nini? Mara wapige wakristo,Mara wapige waislam wenzao
Too bad.. People killing, People die and Children hurts.. where is the love? Kikwete Kikwete Kikwete.....:whistle:
Hao Bakwata watajua kuwa kujifanya poa na kujipendekeza kwa maaskofu wala hakuwasaidii kujiepusha na fitna zao.Haja yao ni muislamu na ugomvi baina ya waislamu.Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya Mount Meru.
Chanzo: Wapo Radio
Haya! 2015 tutama Padri Slaa tuone atafanya nini.sheikh kikwte kalala usingizi wa pono poti
What is the role of Kikwete here???? You people you are always blaming president, but you can not see the problems with executives who let Kikwete down. You do not play your part properly then you say Kikwete? By the way, nobody is talking about killings that happened when Mkapa was in power. Just to take you back...........
I tell you 'the people's patience is not endless'. let's speak the truth and be free
- Mkapa killed two people at Mwembechai and refused to investigate the incidence because they were Muslims
- Mkapa killed more than 76 people in Pemba, Pengo and others praised the government for killing.
Mhh!! Shughuli imeanza. Ila nina mashaka na branch ya uamsho tanganyika.
na huko tanga nimesikia kwamba makanisa kadhaa yameshambuliwa kwa moto ila waumini walifanikiwa kuuzima...ukikosa elimu dunia unakosa na maarifa...Nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti asubugi kuwa huko huko Arusha kuna vijana wametekwa na kukatwa masikio na kisha kutishiwa kuwa Shehe wao atauawa kwenye ugomvi wa kugombea msikiti wa Mianzini kama sio Kichangani, ni sakata hili hili au jingine?
Kweli hii ni dini ya amani.
Usingizi wa pono kweli.Atakaposhtuka waislamu wenzake wamemalizwa na yeye muda wake madarakani umekwisha.sheikh kikwte kalala usingizi wa pono poti