Hayo ndo magamba bwana,hayoni wala haya sikii na wala haya elewi,sasa wao wanataka maelezo gani tena,hiyo ilikuwa mkutano wa hadhara hawakusikia kilichoongelwa?wanajaribu kumtisha na kumdhoofisha,lakini namumba hata huko sero amwage sera pia.
Hawajifunzi hawa watu,kama ilivyokuwa huko tarime,diwani aliekuwa mahabusu kwa takribani mwaka sasa ametoka na wakati wa kupiga kura yeye tayari alikuwa yuko sero lakini akashinda,na juzi katoka na ni wa chadema.
sasa huyu mwenezi nae wanatafuta namna ya kumtisha kwa kumtegenezea kesi.
hakuna kulala