Katibu mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Mwanga anashikiliwa na polisi

Nchi hii bana! Kama amavyo Mungu anatusamehe makosa yetu,basi awasamehe kwani hawajui walitendalo!!
 
mpaka 2015 kila kiongozi wa chadema atakuwa na kesi na wengi wao watakuwa nazo zaidi ya tano..kileo mwambie huyo kamanda amwange sera huko sero na akitoka ame na kero zao..
 
mpaka 2015 kila kiongozi wa chadema atakuwa na kesi na wengi wao watakuwa nazo zaidi ya tano..kileo mwambie huyo kamanda amwange sera huko sero na akitoka ame na kero zao..

kweli bana, maana polisi nao wanahitaji kuokoka...
 
Polisi bwana kwani si ulikuwa mkutano wa hadhara na wao kama walitoa kibali je halikuwa jukumu lao kwenda kulinda usalama? Je si ulikuwa mkutano wa hadhara na kila mtu alisikia sasa wao ni lipi gumu ambalo wanalitaka tena kwa mtu mmoja ?
 
hahahahaa!!!
Yni unaweza ukakuta nkwere kapiga simu anataka report ya mkutano wa CHADEMA.
kiwewe kimewaingia.
 
Hayo ndo magamba bwana,hayoni wala haya sikii na wala haya elewi,sasa wao wanataka maelezo gani tena,hiyo ilikuwa mkutano wa hadhara hawakusikia kilichoongelwa?wanajaribu kumtisha na kumdhoofisha,lakini namumba hata huko sero amwage sera pia.
Hawajifunzi hawa watu,kama ilivyokuwa huko tarime,diwani aliekuwa mahabusu kwa takribani mwaka sasa ametoka na wakati wa kupiga kura yeye tayari alikuwa yuko sero lakini akashinda,na juzi katoka na ni wa chadema.
sasa huyu mwenezi nae wanatafuta namna ya kumtisha kwa kumtegenezea kesi.
hakuna kulala
 
Wakuu Punguzeni jazba na ushabiki, Mwnye taarifa kamili za uhakika plz azimwage ukumbini.
 
.......Hoja zao eti atoe maelezo kuhusu mkutano wa jana nini kilizungumzwa.

Kweli hii serikali imeishiwa na kuchanganyikiwa sasa.
Siamini kama hiyo inaweza kuwa sababu ya yeye kukamatwa! Hawakuzidisha muda? Ikiwa hoja ni hiyo aende na kibali cha mkutano kisha amwambie mkuu wa kituo mkutano wao ulikuwa ni wa halali na walichokiongea ni .......
 
Kamanda kaachiwa na kaambiwa arudi saa nane mchane, wanasema mkutano wa jana ulikuwa unahamasisha wananchi kuandamana kupinga amri halali ya mahakama kulipa dowans, ila maaskari wadogo wanasema ocd kaigizwa upepo na maghembe maana yupo mwanga na moja ya kauli ya maghembe ni kuhusu ufisadi aliyoufanya kwenye Lambo la vijiji vya Lwami, ibweijewa, kiruru, kisangiro la zaidi ya sh 38 ml.

Haki ya mungu ccm wamechanganyikiwa kwa mkutano wa jana wa chadema.
 
Kwa mtoa mada, hajasema habari za magamba, nilivyelewa ni kwamba polisi wanamshinikiza huyo katibu mwenezi wa chdm aeleze kilichoongelewa kwenye mkutano hiyo jana! hapa inaonesha kuna taratibu za kinchi ambazo chdm hawakuzifuata, hivyo polisi wanafanya wajibu wao, cha ajabu watu mmeshapandwa na jazba na kuanza kuwaporomoshea "polisi/magamba" lawama! mbona hamhoji kama taratibu zilifuatwa ama la? je ni halali chdm kuvunja sheria kwa7bu tu kwamba magamba wana utawala mbovu?
 
Duh!!! Maghembe naye ana nguvu hivyo hadi OCD anapata kichaaa ?Kwani si kala pesa kweli kama uongo si afungue kesi mahakamani dhidi ya Chadema aone moto ?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom