Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi Nina ujumbe wako!! Ninakupataje?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,599
22,535
Mwenye mawasiliano ya Dr Nchimbi tafadhali!

Au kama yupo humu Jf ili niingie PM nimtumie!!

Ni ujumbe muhimu kwa chama changu Cha Mapinduzi.
 
Mwenye mawasiliano ya Dr Nchimbi tafadhali!

Au kama yupo humu Jf ili niingie PM nimtumie!!

Ni ujumbe muhimu kwa chama changu Cha Mapinduzi.
Kama huna access hiyo ya kumuona katibu mkuu ujuwe wewe unajipendekeza tu, ccm ina wenyewe.

Wenye chama chao wanajuwa ofisi ya katibu mkuu ipo Dodoma na Lumumba, wewe unajipendekeza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…