Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".
"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.
Pia soma Yaliyotokea kwa Katibu Mkuu wa TEC, Fr. Raymond Saba enzi za Magufuli yanataka kutokea kwa Katibu wa sasa Fr. Kitima?