Kimsingi tume ya uchaguzi inataka cdm washirika huo uchaguzi ili upate mvuto, hivyo KM akiwaandikia cdm hawatashiriki tume haipati raha hivyo wanapotelea hewani. Ukitazama kwa sasa ni kama sheria ziko likizo na zinatekelezwa kwa utashi za viongozi wa ccm.
Hakuna uwezekano wa kuwalazimisha cdm kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi, na kwa vile kususia kwa cdm huo uchaguzi hakuathiri vizuri maslahi ya ccm, huweza kuona msajili au mkurugenzi wa tume akiaagizwa achukue hatua yoyote.
Jambo likiwa na athari ya uhakika kwa ccm ndio utaona mkurugenzi au msajili akitolewa ofisini kwenda kudeal na cdm.